majina

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mohamed Said

    Kauliza muulizaji kwanini majina ya Waasisi wa African Association hayapo katika historia ya TANU

    KAULIZA MUULIZAJI: ‘’KWA NINI MAJINA YA WAASISI WA TANU 1954 YAPO KATIKA HISTORIA YA UHURU WA TANGANYIKA LAKINI WAASISI WA AFRICAN ASSOCIATION 1929 HAYAONEKANI POPOTE?’’ Kijana alichonitafutia ni historia ya Muungano wa Tanzania mwaka wa 1964. Akanifahamisha kuwa amesoma kitabu cha historia ya...
  2. Mhaya

    Movie za Marekani uwa zina Majina fulani hivi ya Miji ambayo yanasadikika kuwepo

    Ukiangalia muvi za Kimarekani unakutana na miji tofauti... Mfano.. Hogwarts muvi za Harry Potter. Asgard muvi za Thor. The Land of Oz. Pandora muvi za Avatar. Narnia muvi za Narnia. Super Mario. Disney Land Middle East. Wonderland. Mushroom Kingdom. Ushawahi kugoogle hii miji in real world...
  3. JamiiCheck

    Wakati wa Uchaguzi watu hutengeneza Akaunti feki zenye majina ya Wagombea

    Wakati wa Uchaguzi baadhi ya Watu huibuka na kutengeneza akaunti 'feki' na kuzipa majina ya Wagombea au kubadili jina la akaunti zao na kutumia jina la mgombea fulani. Akaunti hizo hutumika kutengeneza taarifa au maudhui mbalimbali yanayomuhusu Mgombea wa Uchaguzi, hutumika kupotosha taarifa...
  4. E

    Dhana ya majina ya sifa/ utambulisho

    Hapa nazungumzia majina kama Mheshimiwa, Mstahiki, Daktari (Dr.), Mhandisi (Eng.) Wakili Msomi (Adv.), Mwalimu, Mkadiriaji majenzi (Arch.), Muhasibu (CPA), Mkemia; na mengine mengi kadiri yanavyoongezeka! Tulipotoka huko zama za Ujamaa, Watanzania wote tuliitana "Ndugu", bila kujalisha wadhifa...
  5. G

    Diamond aliemuangusha Ruge sioni kama bifu litamuathiri, wasanii wanaofungua radio kwa kutegemea majina wajiaandae kunyonywa sana.

    Bifu linalosemekana kuwepo (kama kipo) kati ya Diamond na Kusaga pale wasafi ni marudio yale yale kipindi cha clouds msanii ni aidha ukubaliane nao wanavyotaka wao ama nyimbo zako hazipigwi, Ni Diamond pekee ndie aliweza kuvunja hii cycle, alivyomdindia Ruge watu wengi tulijua ndio mwisho wake...
  6. Mohamed Said

    Majina ya Ali (Ally) Katika Historia ya Kupigani Uhuru wa Tanganyika

    MAJINA YA ALI (ALLY) KATIKA HISTORIA YA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA Katika vibao hivyo vitatu kimoja kimekosekana. Kimesosekana kibao cha Ali Masham wa Magomeni Mapipa. Ali Masham alifungua tawi la TANU nyumbani kwake na tawi hili lilifanya makubwa katika kupigania uhuru wa Tanganyika...
  7. MIXOLOGIST

    Naona majina haya ya kiasili yakienda kuvuma siku za usoni

    Nakiri kwamba mimi siyo muumini wa majina ya kikoloni. Wakati wa utoto wangu nilipenda na kutamani majina ya kiasili kama UHURU, VITA, KWAME, MAPINDUZI, AZIMIO, UJAMAA na mengine yanayofanana na hayo Gone are those names kwakuwa zilikua zina reflect struggle za independence. Sasa tuna majina...
  8. Analogia Malenga

    Haya majina ya wanaCCM wanaotaka kuwa maaskari ni ya kweli?

  9. Mkalukungone mwamba

    Hivi majina yanaendana na tabia zinazozungumzwa kwenye jamii?

    Hivi majina yanaendana na tabia zinazozungumzwa kwenye jamii?
  10. mtwa mkulu

    Kama wewe ni mkongwe taja majina yao

  11. passion_amo1

    Sikuwahi kujua majina ya wanyakyusa yana maana😀

    Wakuu habari za asubuhi? Nafika kazini asubuhi hii, namsalimu jirani yangu ananiambia Tuntufye. Namuuliza hao si wanyakyusa, anasema majina yote ya wanyakyusa yana maana Tuntufye ni - tumsifu😀 Gwamaka- mwenye nguvu Embu wanyakyusa tupeni maana ya majina yenu?
  12. N

    List ya nyimbo zilizopewa majina mazuri lakini zikaimbwa hovyo hadi kushangaza!

    1. Zanzibar ya Harmonize. Niliposikia tangazo lake la kutoa wimbo wake wenye jina hilo nikajua tunaenda kusikia bonge la wimbo utakaotetemesha si tz tu bali afrika mashariki yote. Matokeo yake hiko kitu kilichotoka ni bora angeupa jina jingine tu. Yaani kibao ni hovyo hata kile cha yule...
  13. Boss la DP World

    Majina ya kazi yanafanya vijana wachukie na kudharau kazi

    Majina kama kuli, nyoka, bodaboda, mzibua vyoo na mzibua mitaro hayawezi kukupa morali ya kazi. Badala yake, fani hizi tukufu zingetumia majina kama 1. Kuli (angeitwa afisa wa mizigo) 2. Nyoka (angeitwa afisa msaidizi wa uchimbaji) 3. Bodaboda (angeitwa afisa msafirishaji) 4. Mzibua vyoo na...
  14. S

    Waafrika ni wamoja ushahidi majina ya wachezaji wa Afrika magharibi AFCON

    Nilianza kumsikia Ibrahim Bakayoko akiwa mchezaji wa Ivory Coast akitamba Ulaya miaka kama 18 iliyopita. Nikamsikia Camara akitamba pale Liverpool miaka zaidi ya 22 iliyopita, alikuwa akirudi afrika anachezea timu ya Taifa ya Guinea. Nikamsikia Souleymane Sane akichezea Ivory Coast miaka 30...
  15. P

    Wenye majina yanayoanza na S, C, M na D wanapenda sana kufanya mapenzi. Ya kweli haya?

    Mtaalamu wa ufahamu wa majina, Shekhie Mussa ametaja baadhi ya majina wanaopenda sana kufanya mapenzi, akisema kupenda kwao sana tendo hilo ni afya. Akataja watu wenye majina yanayoanza na herufi S, C, M na D wanapenda sana lipofika suala hilo. Wenye herufi zenu, ya kweli haya?
  16. M

    Sheria ya kukataza uhusiano wa mali za umma na majina binafsi itungwe

    WanaJamiiForums, Siku za karibuni kumeibuka wimbi kubwa la watu kuwanasibisha viongozi wakubwa wa nchi hasa Mh. Rais Samia na hata Rais aliyetangulia na hela ya bajeti ambayo inatolewa na hazina kuu ya nchi. Hii siyo sawa kabisa kwa maendeleo ya nchi na uwajibikaji. Hela zinazotoka Hazina...
  17. G

    Majina ya usahili Uhamiaji tayari?

    Wakuu kuna yoyote anayefahamu mchakato wa usahili wa uhamiaji anijuze nasikia majina yametoka
  18. ward41

    Majina ya wa israel

    Ukiangalia mpaka sasa hivi majina ya Wa Israel ni Yale Yale ya kwenye Biblia Ukisoma Biblia utakutana na majina mengi ya wa Israel. Mfano ni Ehud Barrack, Ariel Sharon, Benjamin Netanyahu, Shimon Peres, Naftari Bennett, David Ben Gurion. nk Kwa hao wanaosema hawa sio wa Israel ni muongo.
  19. R

    Wananchi wafuta majina ya akina halima Mdee kwenye kumbukumbu za wana ukombozi na wapigania uhuru.

    Kupotea kwa Halima Mdee na wenzake katika siasa za jukwaani na kwenye mitandao kumetokana na kufutwa kwenye list ya wapigania uhuru Leo hawa wanasiasa pamoja na uwezo wao mkubwa wa akili hawana mchango wowote kwa Taifa. Wamebaki kimya hakuna anayewaalika wala kuwashirikisha jambo lolote la...
  20. Wakili wa shetani

    Majina ya kitanzania yanayosound kimamlaka na nguvu

    Kuna majina ukiyasikia tu unaona hili linawakilisha mamlaka. Yaani jina linakuwa na nguvu ndani yake. Umewahi sikia jina gani la mtanzania ukasema hili linasound kimamlaka na nguvu hasa? 1. Jidula Mabambasi 2. Kaselabantu 3. Fundikira 4. Kunjakuwili 5........
Back
Top Bottom