Hii ndio kauli mpya kutoka kwa Waziri wa Uchukuzi Mh Makame Mbarawa
HATA HIVYO MIMI NAPINGA JAMBO HILO KWA NGUVU ZOTE NA NITAHAKIKISHA HALITEKELEZWI KWA SABABU HALINA MAANA YOYOTE KWA WANANCHI NA WALA HALITOSAIDIA CHOCHOTE
Majina ya viongozi yabaki kuwa mali ya familia zao kwa faida ya koo zao...
Kuna mke, kuna muke, kuna mke mkeni, mke mke wenu, mke mke wao, mke mkeo, mke mke, kuna mke mkeka, mke mkemia, mke mkeketwa, mke mkimbizi, mke msindikizaji ,mke mdangaji,harafu kuna hii mke brilliant yaani mke baby sweet! Ni wachache hawa!
Sijui upo wapi hapo!
Wadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu pamoja na madai kuwa mayahudi wamekuwa wakiua Mitume mara kwa mara, bado Qur'ani tukufu haijataja majina ya mitume hao.
Je ni manabii gani hao ambao Wayahudi wanadaiwa kuwaua?
Je nini madhumuni ya mashambulizi haya ya mara kwa mara dhidi ya Wayahudi...
1. Sikudhani
2. Mwamvita
3. Chiku
4. Mwadhani
5. Sipati
6. Jualako
7. Ubaya
8. Havijawa
9. Havintishi
10. Hakai
11. Hazimala
12. Msichoke
13. Ongeza yako
Siku hizi mitaani kuna majina ya kisasa tu kama Janet, Happy, Ilham,Snura, Barkis, Barke, nk nk. Je ndiyo kuelimika au kuwa wa kisasa zaidi.
Nakumbuka alianzisha utaratibu kwa kusema ukimvaa basi Chawa wake watakuvaa. Hivyo anao hao chawa yaani viumbe wachafu.
Majuzi kasema yeye ni "Chura kiziwi" hivyo hasikii kelele za nje.
Sasa kazi kwenu, maandiko katika
Ufunuo wa Yohana 16:13 " Nikaona roho tatu za uchafu zilizofanana na...
Mo Dewji: Nitatoa taarifa kuhusu Wajumbe wa Bodi ya Simba Sports Club kutoka upande wa Mwekezaji, leo saa mbili na nusu usiku.
Unahisi jina gani halitokosekana?
=====
Kutoka kwa Ahmed Aliy Msemaji wa Simaba: Tajiri yupo kazini, Leo saa 2:30 Usiku anatoa taarifa kuhusu Uteuzi wa Wajumbe wa...
Wabongo tupunguze unafiki na udaku,sidhani kama kuna nchi yeyote duniani inaizidi tanzania kwa undimilakuwili,niwatu waliokosa ajenda watu wa kukurupuka.
Juzi kuna habari imetokea huko kwenye ziara za Rc mmoja hiyo habari kila mmoja amekurupuka eti wamejisikia uchungu kwa kuwa tu huyo mama...
Kuna mda huwa njiuliza najiona kuwa sisi waafrica ni wajinga na tusiojielewa kabiasa.
Hebu fikiria mtu alikuwa anaitwa labda mfumta, mkuyange, kilamuhama etc anaamua kuacha na jina lake eti ni la kishetani na kusnza kuitwa john, abdul au isack kisa amebatizwa au ameslim.
Huu ni ujinga...
Habari, karibuni tuwasajilie biashara na huduma mbalimbali na hizi ndo huduma zetu tunazotoa:
OUR SERVICES
1️⃣Company registration/ kusajili kampuni (200,000)
2️⃣Business name registration/Jina la biashara (60,000 pamoja na ada)
3️⃣Business license application/leseni ya biashara (50,000)...
Watu wengi wanajua tu majina ya nchi bila.kujua historia ya majina hayo kabla na baada ya kubadilishwa.
Songa nami.
Gold Coast → Ghana 🇬🇭 (1957)
Dahomey Republic → Benin Republic 🇧🇯 (1975)
Southern Rhodesia → Zimbabwe 🇿🇼 (1980)
Portuguese East Africa → Mozambique 🇲🇿 (1975)
British East...
Sasa ni Dhahiri kwamba Chadema ndio Nchi, Hii ni kwa sababu Habari za Chama hicho ndio pekee ambazo wananchi wanataka kuzisikia.
Bunge la Bajeti linaendelea lakini cha Ajabu Wananchi wote hawafuatilii kabisa! Sitaki kusema wamelipuuza, maana nitakuwa nafanya Uchochezi, Bali hali hii inatisha...
Simba kila mechi kuna Refa Ana wabeba . It’s not healthy kwa Ligi yetu . TFF na bodi ya Ligi wote kimya . That free kick was typical off side , the whole match Refa yupo upande mmoja .
Watu wa bodi ya Ligi watoe nyeti na cv zao . Na wasi wasi na Elimu zao . Kuna vilaza mule na La Saba ...
Kwa ujumla, vimbunga vya kitropiki vinapewa Majina kulingana na Jamii ya Ukanda Husika. Ni muhimu kutambua kwamba vimbunga vya kitropiki havijapewa jina la mtu fulani, wala kwa upendeleo wowote katika mfuatano wa kialfabeti.
Mchakato wa kuamua majina kwa dhoruba/Vimbunga vya kitropiki unafanywa...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), Lazaro Kilahala kuwasilisha majina ya Mameneja wa Kanda na Mikoa wa TEMESA ambao wameshindwa kutekeleza majukumu yao ya kuwahudumia wananchi ili waweze kuchukuliwa hatua.
Bashungwa ametoa agizo...
Mathalani, za kwenywe kidevu zinaitwa ndevu, chini ya pua kwenye lip ya juu ya mdomo zinaitwa sharubu, za machoni zinaitwa kope, za juu ya macho zinaitwa nyusi, za kifuani zinaitwa love garden, za kichwa zinaitwa nywele, na za huko chini ndio kama mnavyojua tena.
Sasa, hizi za kwenye kwapa...
Kila kukicha TANZANIA haikosi vituko.
Tume ya madini tuambieni mtumishi jina kuanza na neno CPA, ni nini maana yake na kirefu chake ni nini.
Mfano ni huu hapa👇wa watumishi wa Tume ya Madini.
1. CPA. William E. Mtinya
Director, Corporate Services Department.
2. CPA. Elikana P. Buremo...
Nimekua nikiona watu wengi sana sasa hivi wakitumia initial za CPA kwenye majina yao hii kiprofessional imekaa sawa like Dr's wanavotumia initials kwenye majina au tu ni ushamba na ku-force mambo kwa hawa wahasibu wetu? 😃
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.