Salaam wakuu.
Moja kwa moja kwenye mada.
1. Majohe "KWA NGOZOMA"
Huyu ngozoma nasikia yupo mpaka leo na ana bucha lake, alikuwa mfanyabiasha na alifungua duka kubwa sana maeneo hayo ya majohe wakati panaanzishwa miaka ya 2005 hivi.
2. Kwa Azizi Ali (Anayejua atuambie )
3. Kwa mpalange...
Wakati ukuta, tuliwahi kusema na watu walisema MICHAEL CLIFFORD anaenda weka majina ya wote walioshiriki katika unyama wa Lissu.
Kwakua tulizoea wafunga mdomo watanzania je tutaweza mfunga mdomo Michael Clifford?
Habari za zenu wakuu.
Kwa vijana waliofanya usaili wa kujiunga na jeshi la polisi July 29 2024 hadi august 2024 majina yametoka jana.
Naomba kuuliza kwa anayefahamu kunakuwaga na batch nyingine au yakishatoka mara moja ndio imeisha?
Ni wiki sasa tangu walimu waambiwe wa confirm their current address lakini mpaka mda huu kimya, Kuna watu hawaendelei na majukumu Yao kisa kusubiri hizo interviews ,kwa upande wa afya haikuchukua mda mrefu je ni kwamba wamezidiwa na idadi au ?
Tanzania, mara nyingi, ajira zinatangazwa na waombaji hutakiwa kusubiri kwa wastani wa miezi 2 kabla ya kuitwa kwenye mahojiano.
Baada ya mahojiano, waombaji wanapaswa kusubiri tena miezi kadhaa kabla ya kuripoti kazini. Hali hii imekuwa kama desturi katika utumishi wa umma.
Kwa mfano, ajira...
Hello wana jf
Natumai wote mko poa sana
Naulizia gani hivi hapa dar haina majina makubwa sana kama vile tandika, mbagala, kariakoo nk.
Lakini ina watu wengii na biashara zinafanyika kwa maana zinauzika
Nilikuwa mbagala na store yangu ya mchele ila kwa sasa nimenyoosha mikono ushindani...
Nimeona niweke thread tuweke majina ambayo kiuhalisia ni jina moja. .. tofauti ni jinsia Tu ya mtoto anaepewa.. .
Twendeni...
Joseph/Josephine .
Noel / Noela .
Shariff/Shariffa..
Aziz/Aziza
Hello,
Naomba mnisaidie ambao mmeudhuria interview za utumishi.
Kwenye vyeti vya form four, six, chuo na Cha kuzaliwa natumia majina mawili tu (AMANI FOCUS)
Kwanye kitamburisho Cha mpiga kura uwa wanalazimisha ujiandikishe Kwa majina matatu. Sasa ukitumia kitambulisho Cha NIDA, au Cha mpiga...
Ndugu zangu watanzania,
Sauti ya wengi ni Sauti ya Mungu. Maneno huumba. kwa kuwa mwakani ni Mwaka wa uchaguzi ,na kwa kuwa kuna wabunge wengine walishatangaza kustaafu siasa na kwa kuwa kuna wabunge wengine kutokana na Umri wanaweza kustaafu ubunge na kwa kuwa wengine kutokana na sababu...
Ni ukweli kwamba watu wengi wa afya walioitwa kwenye usaili wako wameajiriwa sehemu au kujishikiza sehemu .
Kuna watakao pita kwenye usaili , tatizo wale watakao shindwa uhakika wa ajira huko walikokuwepo utakuwaje ? Je waajiri wetu ni waelewa ?
Tujiandae kisaikolojia
Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Bukoba imelikubali ombi la Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP)
la kuzuia kutumika kwa majina na taarifa za mashahidi katika kesi ya mauaji ya moto mwenye albino, Asimwe Novath.
Uamuzi huo wa Mahakama unatokana na maombi ya DPP kupitia maombi ya jinai namba 23143 ya...
Mtanisamehe kwa makala ndefu ila hili inabidi leo tuliongelee.
Mimi ni mmoja wa watu ambao kuna kipindi nilikuwa nashangaa nikikuta mwanaume ana jina la kike. Kyrie, Shannon, Courtney, Lindsay, Klay yote ni majina yalikuwa yananishangaza kukuta amepewa mwanaume. Nikaja kukutana na Joyce ndiyo...
Yaani Shabaan Juma akiwa Yanga walimwita "Waziri wa maji" alipohama tu wakaacha kumwita.
Leo hii lile jina la "Triple C Mwamba wa Lusaka" washaacha kumwita tena Cloutus Chama.
Imekuwa kama ni kawaida watangazaji wa Azam kuwapachika majina ya utani "Nick names" wachezaji hasa wa Simba au Yanga...
Wengi tunatumia pesa na gharama kubwa kwenda kwenye Interview na tunaambulia patupu kwakuwa Kuna majina ya watu wenye connection zao tayari yapo
Tunaenda kwenye Interview kupigania kitu ambacho hakipo kitu ambacho tayari kilishakwisha ila ni geresha tu
Beautiful country some people Wana...
Habarini ndugu, Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa ya Mzee wangu, nimeamua kushare story hii fupi inayohusu jambo ambalo lilimkuta enzi za uhai wake.
Kama ilivyo kawaida katika jamii zetu, mtu akiwa na mafanikio huitwa majina yote mabaya pasipo kujali uhakika wa madai hayo..
Siku moja ya...
Mi mtu Mzima Kidogo ambaye nimeishi miongo kadhaa na kushuhudia uongozi wa awamu zote na nimekaa vijijini na mijini
Kwanini Kila mtaa au kijiji au mji mtu akionekana kupata maendeleo watu ukimbilia
1. Mwizi
2. Katoa Kafara
3. Free mason
4. Tapeli
Kwanini uwa wengi hawasujudu nguvu za kazi...
Kwani kuna shida gani katika kutamka DEBORA na DEBRA? Mchezaji wa Simba, Fenandez anaitwa Debora au Debra? Tamkeni inavyotakiwa majina ya watu, hizo nyingine ni shida zenu.
Wadau hamjamboni nyote?
Nimeona ni vema tukawajua angalao kwa ufupi tu Viongozi wakuu wa magaidi wa hamas wakiosalia hai hadi leo Agosti 1/2024
Hawa ndiyo Viongozi wakuu wa magaidi wa hamas waliopo hai leo hii huku msako mkali ukiendelea dhidi yao
Wengi wao wamenusurika kimaajabu majaribio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.