Habari wakuu wa jf, niende moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu, nimekua nikitumia whatsapp ya blustack kwenye laptop yangu, sasa shida imeanza juzi hapo nilipofungua whatsapp hii ya blustack na kushindwa kuona majina ya namba nilizosave na sijajua shida ni nini ebu wakuu nisaidieni hapo...