makamu

  1. CUF Habari

    Uchaguzi 2020 Bi.Hamida: Tumchague prof. Lipumba awe Rais wa nchi hii na mimi niwe Makamu wa Rais wa nchi hii tuwezeshe watu wenye ulemavu kupata elimu na ajira

    TUMCHAGUE PROF.LIPUMBA AWE RAIS WA NCHI HII NA MIMI NIWE MAKAMU WA RAIS WA NCHI HII TUWEZESHE WATU WENYE ULEMAVU KUPATA ELIMU NA AJIRA" BI.HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI MGOMBEA MAKAMU WA RAIS CUF." MWANZA Serikali itakayoongozwa na CUF itatenga fungu maalum la kuwawezesha watu wenye ulemavu wapate...
  2. GENTAMYCINE

    Kabla 'sijamjibu' David Mwakalebela (Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC) namwomba anijibu haya upesi

    Je, anayoiongoza Yeye ni Young Africans kama aliyokuwa akiitaja leo au ni Yanga African au ni Yanga Sports Club au Dar es Salaam Young African? Kisha akishamaliza 'Kunijibu' hili namwomba pia anipe tofauti kati ya neno 'Kintu' alilokuwa akilitaja katika 'Press' yake ya leo na neno 'Kitu' ambalo...
  3. CUF Habari

    Uchaguzi 2020 Bi. Hamida: Tumchague Prof. Lipumba awe Rais na mimi niwe Makamu wa Rais tuwezeshe watu wenye ulemavu kupata elimu na ajira

    TUMCHAGUE PROF.LIPUMBA AWE RAIS WA NCHI HII NA MIMI NIWE MAKAMU WA RAIS WA NCHI HII TUWEZESHE WATU WENYE ULEMAVU KUPATA ELIMU NA AJIRA" BI.HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI MGOMBEA MAKAMU WA RAIS CUF." KASULU, KIGOMA. Serikali itakayoongozwa na CUF itatenga fungu maalum la kuwawezesha watu wenye...
  4. CUF Habari

    Uchaguzi 2020 Kigoma: Mgombea Makamu wa rais CUF, Bi Hamida Huweishi agawa kadi kwa Vijana wa Uvinza, Nguruka

    MGOMBEA WA MAKAMU WA RAIS, BI.HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI AGAWA KADI KWA VIJANA WA UVINZA TARAFA YA NGURUKA MKOANI KIGOMA Makamu wa rais, Bi. Hamida Abdallah Huweishi amefika katika tarafa ya nguruka na kuzungumza na wananchi wa nguruka na kuwaomba ifikapo tarehe 28,octoba wasifanye makosa...
  5. CUF Habari

    Uchaguzi 2020 Wananchi wa Kijiji cha Mpeta, Tarafa ya Nguruka, Wilayani Uvinza, Kigoma wasimamisha msafara wa Bi. Hamida Abdallah Huweishi

    WANANCHI WA KIJIJI CHA MPETA TARAFA YA NGURUKA WILAYANI UVINZA MKOANI KIGOMA WAMESIMAMISHA MSAFARA WA MAKAMU WA RAIS, BI. HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI NA KUELEZA CHANGAMOTO ZAO KATIKA TARAFA YA NGURUKA. TUSIFANYE MAKOSA IFIKAPO OCTOBA 28,2020 TUMCHAGUE PROF.LIPUMBA AWE RAIS WA NCHI HII TUPATE...
  6. FrankLutazamba

    Kama tulikuwa na makamu wa Rais wawili, kwanini tusiwe na wakuu wa shule (Headmaster) wawili wawili kuongeza promotion na udhibiti wa shule?

    Kusema ukweli mwalimu mpaka aje kuwa headmaster ni ngumu sababu wapo wengi na mpaka mkuu wa shule aje kustaafu ina maana na mwalimu wa kawaida anastaafu. Sasa kwanini kila shule isiwe na wakuu wawili wanapeana majukumu, mmoja akisimamia taaluma mwingine anasimamia fedha za shule na miradi. Hiyo...
  7. GENTAMYCINE

    Kwa 'Mapungufu' haya ya 'Kimsingi' kati ya Makamu Mwenyekiti wa Yanga Mwakalebela na Mhamasishaji Nugaz bado tu tukisema Yanga kuna 'Shida' mtabisha?

    Akizungumza jana kupitia Kipindi cha Sports Extra cha Clouds FM Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC Fredrick Lugano Wilfred Mwakalebela alisema tena kwa 'Kujimwambafai' kabisa kuwa Wanachama na Mashabiki wa Yanga SC kama kawaida leo 'wajazane' na 'wajimwage' Uwanja wa Ndege wa Kimataifa ili Kumpokea...
  8. Miss Zomboko

    Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yabandika majina ya walioteuliwa kuwania Urais na Makamu wa Rais

    NEC leo inatarajiwa kutangaza waombaji walioteuliwa kugombea urais wakati wa Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba mwaka huu. Wagombea hao walitakiwa kupata wadhamini 200 kila mkoa kutoka mikoa 10 na kati ya hiyo miwili ya Zanzibar Tanzania ina vyama 19 vya siasa vyenye usajili, viwili...
  9. beth

    Uchaguzi 2020 Wagombea Urais na Makamu wa Rais kwa tiketi ya ADC wateuliwa kugombea na NEC

    UCHAGUZI 2020: Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Queen Cuthberta Sendiga kuwa mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Shoka Khamis Juma kuwa mgombea wa Kiti cha Makamu wa Rais kupitia chama cha ADC.
  10. C

    CCM ya Magufuli ni ya kijima kweli kweli: Hivi unamkataje Stephen Masele, Makamu wa Kwanza wa Rais Bunge la Pan-African, chombo muhimu cha AU?

    Tangu aingie madarakani Rais Magufuli amevuruga diplomasia ya nchi yetu kwa kiwango cha hali ya juu kuliko wote waliomtangulia. Kipindi cha Baba wa Taifa, Julius Nyerere, Tanzania ilikuwa maarufu sana katika diplomasia ya kimataifa huku yeye mwenyewe akiheshimika duniani lakini pia tulikuwa na...
  11. Analogia Malenga

    Walinzi sita wa Makamu wa Rais wa Sudan Kusini, James Wani Igga wameuawa kwa kupigwa risasi

    Walinzi sita wa Makamu wa Rais wa Sudan Kusini, James Wani Igga wameuawa kwa kupigwa risasi na wengine wawili wamejeruhiwa baada ya msafara wao wa magari kuvamiwa na waasi mjini Juba. Kiongozi huyo hakuwa katika msafara huo wakati shambulio hilo lilipotokea. Msemaji wa Kiongozi huyo, Kalisto...
  12. M

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Vikao vya CHADEMA: Tundu Lissu aibuka kidedea kuwania Urais wa Tanzania kwa kupata kura 405 dhidi ya Nyalandu 36 na Dkt. Majige 1

    Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo imewapitisha Tundu Antipas Lissu Lazaro Nyalandu na Dr Mayrose Majige kusaka nafasi ya kuwania Urais Tanzania. Katika kikao chake cha Kamati Kuu kilichomalizika usiku mnene majina hayo Leo yataletwa ndani ya Baraza Kuu ambao watakata mzizi wa...
  13. J

    Mama Samia: Paul Makonda alisimama ndani ya Bunge la Katiba na kusema mimi nafaa kuwa Makamu wa Rais na Bunge zima likashangilia!

    Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amesema ni Paul Makonda ndiye aliyemtabiria kuwa makamu wa Rais baada ya kusimama ndani ya bunge la Katiba na kusema " huyu mama ndiye anayefaa kuwa makamu wa Rais wa JMT " Mama Samia amesema hayo katika kongamano la Wasichana lililofanyika katika ukumbi wa...
  14. GENTAMYCINE

    Makamu Mwenyekiti wa Yanga ' Tumbo Tumbo ' Fredrick Mwakalebela tafadhali acha ' Kudanganya ' Hayati Mkapa hakuwa Shabiki wa Yanga SC

    Juzi ulipokuwa ukilialia kama ambavyo ' Voice Note ' yako ime ' trend ' kweli kweli kuhusu ' Kusakamwa ' na wana Yanga kwa kile walichodai kuwa ulikuwa ' ukiwahujumu ' nilikuonea Huruma na Kudhani wanakuonea ila kwa ' Uwongo ' uliousema Leo kuhusu Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Hayati Benjamin...
  15. CUF Habari

    Uchaguzi 2020 Waheshimiwa Maftah Nachuma, Magdalena Sakaya na Abdul Kambaya kupeperusha bendera ya CUF Mtwara Mjini, Mbagala na Kaliua

    #HABARI Makamu Mwenyekiti wa CUF Bara Mhe.Maftah Nachuma ameshinda kura za maoni katika Jimbo la Mtwara Mjini, Mhe. Maftah ndiyo atapeperusha bendera ya Chama cha Wananchi CUF katika Jimbo la Mtwara Mjini. Pia, Naibu Katibu Mkuu wa CUF Bara Mhe. Magdalena Sakaya ameibuka kidedea katika mchakato...
  16. J

    Uchaguzi 2020 CHADEMA teteeni nafasi yenu ya KUB na ACT Wazalendo watoe Makamu wa Rais Zanzibar. Nafasi ya Rais CCM haipingiki

    Nitoe tu angalizo kama ambavyo maalim Seif wa ACT Wazalendo ameona ni heri akainyemelea tena nafasi ya makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar. CHADEMA pambaneni muitetee nafasi mliyonayo Bungeni ya KUB kwa sababu bado hamjawa na uwezo wa kutoa Rais wa JMT. Kwa sasa Rais Magufuli hapingiki kwa...
  17. YEHODAYA

    Makamu wa Rais azungumza na Wajumbe wa Kamati ya Siasa na Sekretarieti ya CCM Wilaya ya Temeke

    Makamu Wa Raisi Azungumza Na Wajumbe Wa Kamati Ya Siasa Na Sekretarieti Ya CCM Wilaya Ya Temeke Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa...
  18. Roving Journalist

    Mabadiliko ya Sheria: Rais, Makamu wake, Jaji Mkuu, Waziri Mkuu na Spika wa Bunge kutofunguliwa kesi Mahakamani

    MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) kwa kushirikiana na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) wamepinga muswada wa sheria wa marekebiaho ya sheria mbalimbali nchini namba 3 wa mwaka 2020. THRDC na LHRC wametoa tamko la kupinga muswada huo leo Alhamisi tarehe 4 Juni 2020 mbele...
  19. Analogia Malenga

    Makamu wa Rais Sudan Kusini akutwa na Corona

    Hussein Albelbagi, makamu wa tano wa Rais wa Sudan Kusini amekutwa na #CoronaVirus. Pia ni kiongozi wa tano kutangaza kuwa ana #COVIDI19 Sudan Kusini ilipata maambukizi ya kwanza ya #CoronaVirus Aprili 5, yaliyokutwa kwa mwanamke aliyeingia nchini humo Februari 28 akitokea Ethiopia Awali Rais...
Back
Top Bottom