Kwenye uteuzi wa makamu wa raisi ndipo patajulikana mlengo na ukomavu wa Mama Samia
Kama ni mtu sahihi wa kuendeleza kazi za mtangulizi wake ama la!; ikiwemo miradi mikubwa
Kama yupo kwa ajili ya hapa kazi tu ama la!
Kama yupo kwa ajili ya vita ya rushwa, ubadhilifu, uzembe, uvivu ama la...
Majina yanayotajwa kupewa nafasi ya Makamu wa Rais na Waziri Mkuu ni majina yasiyo na chembe ya uhalali wa kushika nafasi hii. Si kwamba Taifa halina watu wenye uwezo la, watu wenye uwezo wapo wengi lakini hakuna aliyejengwa kusimama bila kusimamishwa na dola.
Uimara wa kiongozi utokana na...
Wakuu,
Nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa ni nafasi kubwa ndani ya chama hicho na kimsingi ndiye mchora ramani ya mwelekeo wa chama hicho.
Mzee Mangula (Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa wa sasa) yupo katika siku zake za mwisho katika nafasi hiyo.
Kumekuwa na utamaduni ndani ya CCM kwa...
Nimetafakari sana baada ya tukio la Rais kufia madarakani. Nafasi ya Makamu wa Rais ni lazima ijazwe kwa HEKIMA/BUSARA/ UWEZO na sio UDINI, UKANDA, UKABILA. Katiba yetu imeweka mtego mbaya sana kwamba Rais akifa anayekuwa Rais ni Makamu wa Rais mara moja.
Kama UKANDA/UKABILA/UDINI utaamua VP na...
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris ametuma salamu za pongezi kwa Rais mpya wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan ambaye ameandika historia ya kuwa Rais wa kwanza mwanamke nchini Tanzania. Kamala Harris amesema pia Marekani ipo tayari kushirikiana na Tanzania kuboresha mahusiano baina ya nchi...
Kweli nimeamini kufa kufaana na kwamba Mafanikio yako kwa muda fulani yasikufanye ukawadharau wa chini yako kwani huenda nao Siku Moja wakawa juu na Wewe ukawa chini yao.
Kutesa kwa zamu na sasa ni zamu ya Walinzi Wengine waliokuwa Wakichekwa na waliokuwa Juu yao na Kutanua na Boss wao...
Suala la katiba lipewe kipaumbele sana.
Katiba ni uhai.
Yapo mengi ya hatari sana kwenye katiba hii.
Lakini hili la Mrithi wa rais anayefariki dunia, kuwa ni makamu wa rais (automated) ni hatari sana kwa marais endapo tukipata Makamu asiyemwaminifu.
Pia linachangia sana kumuweka mbali...
Ningependa kujua ikiwa ikatokea bahati mbaya amefariki katika ajali au namna yoyote iwayo, nani ateyeshika nafasi ya uongozi wa taifa letu?
======
37(5) Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na...
Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto, amedaiwa kuwa na shamba la mahindi hekari 500,000 nchini DR Congo, ambapo ametumia nguvu yake kisiasa kupata uhakika wa soko la mahindi yake
Baadhi ya wabunge wa DRC wamethibitisha hilo. Ili kupata soko la mahindi alilazimika kuzuia mahindi kutoka Tanzania...
Makamu wa Rais mama Samia Suluhu ameanza rasmi ziara ya siku 6 mkoani Tanga akianzia wilaya ya Handeni ambako anapewa taarifa ya ujenzi wa jengo la ofisi za halmashauri za wilaya ya Handeni.
Tuko mubashara TBC.
Updates:
Madhumuni ya ziara yangu ni kuangalia miradi ya maendeleo, miradi yote...
Makamu wa Rais mama Samia Suluhu kesho ataanza ziara ya siku sita mkoani Tanga
Mkuu wa mkoa wa Tanga mh Shigekla amesema akiwa mkoani Tanga mama Samia atazindua miradi mbalimbali na programu za uwekezaji kwa wawekezaji wote.
Maendeleo hayana vyama!
===
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan...
Kabla ya vyama vingi kuja Rais wa Zanzibar alikuwa moja kwa moja ni makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano.
Vilipoanza vyama vingi ilibidi kubadili katiba tume ya Bomani (RIP) ikapendekeza kuwe na makamu wawili na wagombee pamoja uchaguzini na watoke chama kimoja.
Mapendekezo yakasema kwamba...
Hii ni kwa mujibu wa ITV .
Taarifa zaidi zitawajia ....
UPDATE
Mhudumu wa ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hamis Machenga amefariki dunia baada ya msafara wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar kupata ajali nje kidogo ya mji wa Zanzibar na watu kadhaa wamejeruhiwa.
Makamu wa Rais mama Samia Suluhu amewataka wanawake wa Tanzania kujiamini kwani wanawake ni jeshi kubwa.
Mama Samia amesema mataifa mengi huko duniani hujifunza kupitia Tanzania ndio maana hata Marekani sasa ina makamu wa Rais mwanamke na hilo ni jambo jema.
Chanzo: TBC
Maendeleo hayana vyama!
Rais wa Nigeria Muhammadu Buhari na makamu wake Yemi Osibanjo wamekuwa watu wa kwanza kupatiwa chanjo ikiwa ni njia ya kuwahakikishia wananchi kuwa chanjo ndiyo kinga muafaka dhidi ya virusi vya corona.
Nigeria wiki iliyopita ilipokea chanjo ya Covid 19 ikiwa ni mwanzoni mwa awamu ya pili ya...
Anaitwa Othuman Masoud Othuman Sharif Mzanzibari na mtu mashuhuri katika masuala ya sheria. Mh.Othumani alizaliwa kijiji cha Pandani huko Wilayani Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, tar 7 Februari 1963.Alizaliwa mwaka ambao Zanzibar ilikuwa chini ya utawala wa kisultan mwaka 1963 ,utawala ushirika...
Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar leo amemteua Othman Masoud Othman Sharif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais kufuatia kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad.
Uteuzi huo umefanywa na Rais kwa kuzingatia matakwa ya Kifungu cha 9(3) cha Katiba ya Zanzibar ya Mwaka 1984, na vilevile baada ya kushauriana na...
Kiongozi mkuu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema jina walilompelekea Rais Hussein Mwinyi kwa ajili ya uteuzi wa makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar limetokana na wosia aliouacha Maalim Seif mwenyewe.
Zitto Kabwe amesema mtu huyo anaenda kumsaidia sana Rais Mwinyi na pia atawaunganisha wana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.