Wakuu habari zenu mimi ni mtoto wenu Emmanuel Kasomi leo hii nataka kuongea na CAG aache kitete, asiogope na Afunge.
Ukifuatilia report za CAG anazo toa kuna sehemu anazilinda.
Kwa wanao fuatia report za CAG amelaani sehemu nyingi kua zilijiendesha kwa Hasara.
Swali kwa CAG
Je, katika report...
Makamu wa Rais Dr Mpango amesema TRA wanapaswa kuwalinda wafanyabiashara na kuhakikisha biashara zao zinagrow badala ya kuwababaisha na kuwavuruga.
Dr Mpango ameahidi kufuatilia kwa karibu ustawi wa wafanyabiashara.
Kadhalika makamu wa Rais Dr Mpango amewapa wanaparokia wenzake salamu za Pasaka...
Pongezi hizo ni kwa mujibu wa tweet yao hii:
#Burundi: Chama cha CNDD-FDD kinatoa pongezi kwa Dkt P.I. MPANGO baada kuidhinishwa kuwa Makamu wa raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Umahiri na utendaji kazi wake ni chachu ya kuleta maendeleo Tanzania chini ya uongozi wa Raisi Samia S...
Vijana wa CHADEMA ya Ufipa wanaonekana kutofurahia uteuzi wa Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais.
Je, ni kwa sababu amewashauri Wabunge wa upinzani kuhamia CCM au kuna jambo lingine?
Kila zama na kitabu chake!
Maendeleo hayana vyama.
Kumbe homeboy ni homeboy tu. Kiongozi wa ACT-Wazalendo amefura na amekuwa kama mbogo. Hii ni baada ya video iliyosambaa mitandoni ikimuonyesha Makamu wa Rais wa sasa akicheza ngoma inayofanana na ya Kirundi.
Makamu wa Rais Dkt. Mpango amemtaka Katibu mkuu Kiongozi Balozi Hussein Katanga kuwaangalia kwa makini Makatibu Wakuu wa Wizara na Manaibu wao kwani kuna kutoelewana kwingi.
Dkt. Mpango amesema inakuwa nongwa pale Naibu Katibu Mkuu anapomhoji Katibu Mkuu kuhusu matumizi ya fedha.
Dkt. Mpango...
Jina hilo limepelekwa Bungeni na Mpambe wa Rais (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri, na kukabidhiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai.
Spika Ndugai akisoma ujumbe wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema..
Mheshimiwa Spika, nawasilisha Bungeni Jina la Mheshimiwa Philip Isdori...
February 7,2008, aliekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Mhe. Edward Lowassa, alilazimika kujiuzulu kutokana na kashifa ya kampuni ya kufua umeme ya Richmond ambayo ilibainika kuwa ilikuwa ni kampuni hewa(kwa mujibu wa kamati ya Mwakyembe wakati huo).
Wakati hayo yakitokea mwaka 2008, leo tumepata...
Linapokuja suala la Afya ya viongozi hilo ni suala mujarabu kabisa kwa umma kuhoji.
Leo akiongea bungeni, Dkt. Mpango ameonyesha kwamba hata yeye alikuwa hana taarifa zozote za kuteuliwa kwake kuwa Makamu wa Rais, hii maana yake ni kwamba hili suala limefanyika kwa usiri mkubwa bila hata yeye...
Makamu wa Rais mteule Dr Mpango amewataka watendaji kuchapa kazi kwani mjomba hayuko.
Makamu wa Rais amesema hayo wakati akiwaaga wabunge wenzake tayari kabisa kutumikia nafasi yake mpya.
BAVICHA chapeni kazi majungu siyo mtaji.
Maendeleo hayana vyama!
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wake. Amethibitishwa na Bunge kwa asilimia 100! Well, ni pendekezo lake.
Mpango amepewa sifa kedekede na wanaCCM wenzake as usual.
Shida yangu iko hapa, Rais amekuwa na mashaka makubwa katika hazina kuu BoT kwamba kuna uwezekano...
Mbunge akiteuliwa kuwa Makamu wa Rais anakoma kuwa mbunge.
Hivyobasi, Dk. Philip Isidori Mpango atakapo apishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakoma kuwa mbunge wa Jimbo la Uchaguzi la Buhingwe lililopo Mkoani Kigoma, haya ni matakwa ya masharti ya Ibara ya 47 (6) ya...
Maaskofu, Wachungaji, Mapadre na waumini wa makanisa mbalimbali Mkoani Tabora wamefanya ibada ya pamoja kuliombea taifa ili amani, umoja, mshikamano na upendo viendelee kudumishwa miongoni mwa Watanzania wote.
Akizungumza katika ibada hiyo iliyofanyikia katika kanisa la KKKT-Tabora mjini Katibu...
Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina.
Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio anakuwa Rais kamili kwa kipindi cha miaka minne iliyobaki.
Je, nani anayefaa kuwa Makamu wa Rais...
ccm
charles kimei
crdb
hekima
historia
jamhuri
lukuvi
maamuzi
magufuli
makamu
mkuu
moto
muungano
mwakyembe
mwanamke
ndugai
rais
raisi
sahihi
serikali
sifa
speaker
taifa
uchumi
waziri
waziri mkuu
Sequence of events:
Suppose Kundi mojawapo katika wanaotaka nafasi hiyo wana mshikamano na Spika.
Halafu mtu wao anateuliwa kuwa makamu wa rais.
Bunge linampitisha kwa kauli moja, anaapishwa kuwa makamu wa rais
Baada ya miezi michache wabunge wanaanza kuhoji ufanisi wa rais.
Hoja ya...
Salamu wakuu
Kuanzia tarehe 17/3/2021 mpaka leo ni siku kumi. Kwakuwa katiba inatamka ndani ya siku 14 makamu awe amepatikana, basi sasa Rais na chama wamebakiwa na siku 4 kutuletea makamu.
Niwatakie kila la heri na watuletee mtu mwenye uwezo.
Sababu...
1: Kuhofu uwezo wa mwanamke ni kuvunja katiba. Maana katiba inamtambua na nchi haingozwi kwa tahadhari za kitamaduni bali kikatiba.
2: Tunaowanawake waliowahi kushika vyeo zaidi ya rais. Getruda Mongera spika wa afrika, Mh Migiro katibu UN, lkn waliofanya vzri katika nafasi kubwa...
Nimesoma andiko la TLS, kwa heshima zote kwa chombo chetu hiki kilichopewa mamlaka kisheria, Nimeshtuka sana, I wish to say,
Kwanza KATIBA HAIJAVUNJWA KWA MHE RAIS SAMIA SULUHU kuapa, na wala hakuna Mkanganyiko wowote wa Kikatiba, kwa yeye kutoteua PM na Baraza jipya. Mmekaa wote kweli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.