makamu

  1. M

    Waandishi wa Habari mliokuwepo leo katika Press ya Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC mlishindwa kumuuliza Maswali Fikirishi haya?

    1. Je, TFF, Kamati yake ya nidhamu na Mchezaji Bernard Morisson ndiyo inawafanya akina Sarpong, Nchimbi na Feisal kukosa Magoli? 2. Je, TFF, Kamati yake ya nidhamu na Mchezaji Bernard Morisson ndiyo wanafanya Mabeki wao Moro na Mwamnyeto wakatike na Wagombane ndani na nje ya Uwanja? 3. Je...
  2. M

    Kwa Maelezo haya kutoka kwa Makamu Mwenyekiti wa Yanga Mwakalebela Kwanini isiangushe tu points sasa?

    " Yanga SC inafanya vibaya sasa ( kwa kutoka Sare ) mfululizo kwakuwa TFF na Kamati yake ya Nidhamu inatuhujumu mpaka leo haijakaa Kusikiliza Kesi zetu ", amesema Makamu Mwenyekiti wa Yanga SC alipozunguza na Waandishi wa Habari muda mfupi tu uliopita leo hii. Halafu Waafrika tukichekwa na...
  3. Erythrocyte

    Nani kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar baada ya kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad?

    Ni wazi kwamba Gwiji la siasa za Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amefariki ( Apumzike kwa amani ) lakini ikumbukwe kwamba Zanzibar bado ingalipo na itaendelea kuwepo. Sasa bila shaka Katiba ya Zanzibar inatambua uwepo wa Makamu wa Kwanza wa Rais, je imeeleza chochote jambo kama la kifo...
  4. NCCR Mageuzi

    TANZIA Makamu Mwenyekiti mstaafu NCCR Mageuzi Tanzania Bara ndugu Rakia Abubakar Hassan afariki Dunia

    Mwenyekiti wa Taifa wa chama cha NCCR-Mageuzi ndugu James Francis Mbatia anasikitika kutangaza kifo cha makamu mwenyekiti mstaafu Tanzania Bara ndugu Rakia Abubakar Hassan kilichotokea siku ya Jumamosi Januari 30, 2021 Morogoro. Marehemu alikuwa mmojawapo wa wanachama waanzilishi wa...
  5. J

    Profesa Kabudi amtembelea Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, wasema uchaguzi umekwisha sasa kazi tu!

    Waziri wa foreign affairs Prof Kabudi na watendaji wakuu wa wizara yake wamekutana na makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar maalim Seif na kukubaliana kuchapa kazi kwa pamoja. Maalim Seif amesema uchaguzi umekwisha aliyepata kapata na aliyekosa amekosa cha muhimu ni watanzania kuungana pamoja...
  6. M

    Wahaya wanadai makamu wa Rais Marekani ni damu yao

    Baadhi ya wahaya wanadai na wako serious makamu wa Rais mpya wa Marekani Kamala Harris ni damu yao. Labda utetezi wao ni kutokana na jina lake la kwanza. Ki ukweli Kamala Harris baba yake ni asili ya Jamaica aliyehamia Marekani Donald Harris na mama yake Shyamala Gopalan ni mhindi aliyehamia...
  7. Miss Zomboko

    Makamu wa Rais aagiza kumbukumbu zote za Serikali ziandikwe kwa lugha ya Kiswahili

    MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan, amesema mkakati wa serikali ni kuhakikisha huduma na kumbukumbu zote muhimu za nchi zinatolewa kwa lugha ya Kiswahili na akahimiza haja ya mamlaka kuja na Sera ya Kiswahili. Aidha, Rais John Magufuli leo anatunukiwa tuzo maalumu ya Shaaban Robert kutokana na...
  8. beth

    Rais Magufuli: Maalim Seif ni Kiongozi kweli, aliacha 'interest' zake na kutanguliza za Wazanzibari

    Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amempongeza Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kwa kuwa miongoni mwa walio katika Serikali inayoongozwa na Rais Hussein Mwinyi, akisema uzoefu wake kama Kiongozi ni mkubwa na unahitajika kwenye Uongozi wa sasa. Akizungumza kutokea...
  9. M

    Makongoro Nyerere kuvalia Shati la CCM katika Msiba wa Dada yako Rosemary wakati Makamu wa Rais tu hakuvalia hivyo umejifunza nini?

    Hivi Makamu wa Rais, Waombolezeaji wote waliopo hapo pamoja na Mama yako unadhani Wao hawana Sare zao za Vyama wanavyovishabikia ( kikiwemo cha CCM ) hadi Wewe ndiyo uvalie Shati la CCM peke yako hapo Kwenu Msasani? Hebu acheni kufanya mambo ya Kipuuzi na kutaka kila mara Kuifanya hii Misiba...
  10. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu na Salamu za Krismas: Mwaka 2020 ulikuwa mwaka mgumu na wenye machungu mengi kwa nchi na wananchi wetu

    Sasa ni dhahiri Tundu Lissu ni Mcha Mungu. ========== TUNDU LISSU: Ndugu wananchi wa Tanzania, tumsifu Yesu Kristo, Bwana asifiwe, mwanakondoo ameshinda, Assalam Aleykum Warahmatullah Wabarakatuh. Kesho ni sikukuu ya Noeli kwa wale wote wanaoamini katika dini ya Ukristo. Kwa wakristo wote...
  11. E

    Tuzo ya uanaharakati bora aliyopewa Tundu Antipas Lissu Makamu Mwenyekiti CHADEMA imetoa jibu

    Kulikuwa na mabishano ya muda mrefu ndani ya wadau wa vyama vyote vya siasa kuhusu chama cha siasa cha CHADEMA. Baadhi ya wadau, walifikia hatua ya kusema CHADEMA siyo chama cha siasa tena baada ya kuondokewa na viongozi wake nguli kama Dkt. W. Slaa na team yake. Baadhi ya watanzania...
  12. Replica

    Zanzibar 2020 Rais Mwinyi amuapisha Maalim Seif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar. Maalim Seif asema haukuwa uamuzi rahisi

    Kutoka Zanzibar, maandalizi yameshakamilika kwa ajili ya kumuapisha Makamu wa kwanza wa Rais, Maalim Seif Shariff Hamad kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Kuwa nami kukujuza yatakayojiri kutoka visiwa hivi vya karafuu punde kutoka sasa. PIA, SOMA=> Rais Dkt. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa Makamu...
  13. Roving Journalist

    Rais Dkt. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Maalim Seif Shariff Hamad, kuwa Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar kuanzia leo Disemba 06, 2020. ===== Taarifa kwa vyombo vya Habari Kwa kuzingatia matakwa ya Kifungu cha 9(3) cha Katiba ya Zanzibar ya Mwaka...
  14. M

    Msimamamo wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Tundu Lissu) juu ya viti maalum

    Muda mchache kabla ya kuondoka nchini, Aliyekuwa mgombea uraisi wa kupitia Chama cha demokrasia na Maendeleo Chadema Tundu Lissu alifanya mahojiano mafupi na vyombo vya habari na kuseama kuwa uchaguzi uliopita ni uchaguzi ambao uliovurugwa na kuharibiwa sana, amesema kuwa katika vikao halali...
  15. Nduka Original

    Makamu wa kwanza wa Rais ni nani Zanzibar?

    Hii kitu huwa inanisumbua kidogo naomba kusaidiwa. Muda wa Dkt. Mohamed Shein kulikuwa na Makamo wa pili wa Rais Balozi Seif Ally Eid lakini hakukuwa na Makamo wa kwanza wa Rais. Hivyo hivyo Dkt. Mwinyi keshateua na kumuapisha Makamo wa pili wa Rais ndugu Hemed Suleiman Abdulla. Je, Makamo wa...
  16. E

    Kamala Harris akicheza ngoma mara baada ya kuchaguliwa kuwa Makamu wa Rais U.S

    Kamala Harris akicheza ngoma mara baada ya kuchaguliwa kuwa makamu wa Rais U.S. Na ifahamike kwamba Kamala Harris ndiye mwanamke wa kwanza mweusi kuchaguliwa kuwa Makamu wa Rais nchini humo.
  17. The Palm Tree

    VIDEO: Tundu Lissu amjibu Mama Samia Suluhu kuhusu uhakika wa CCM kuunda Serikali

    Siku chache zilizopita mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM na makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan alinukuliwa ktk moja ya mikutano yake ya kampeni akisema.. Hata kama kura hazitatosha mwaka huu, wao (i.e CCM) wana uhakika wa kuunda serikali na kuendelea kutawala kwa miaka mingine...
  18. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Video: Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu aingia Mlimani City kununua mahitaji ya nyumbani

    Hii ndio taarifa mpya inayozunguka duniani kwa sasa . Picha : Akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Game Super Market
  19. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu atinga Kariakoo kutafuta mahitaji

    Makamu Mwenyekiti CHADEMA Mh Tundu Lissu ameingia Kariakoo kununua mahitaji mbalimbali Huyu hapa
Back
Top Bottom