Vyama vya Siasa ndiyo wawakilishi wa wananchi, ndiyo sauti ya wengi. Katika sera zenu wengi wameongelea Afya ya Jamii, maji, umeme, elimu, kilimo, biashara, nk.
Wananchi ambao ni wapiga kura wenu, hasa wanaokaa mijini wengi ni wenye kipato chini ya Tsh 500,000 kwa mwezi. Wengi wako kwenye...
UTEKELEZAJI WA HII ILANI NA SIFA ZA KIONGOZI
Serikali itakayoongozwa na NCCR-Mageuzi itaweka mkazo katika kuimarisha mifumo ya kiutendaji ya serikali kuu na serikali za mitaa ili ufuatiliaji wa utekelezaji wa Ilani uwe wenye tija kwa umma wa watanzania. Serikali itahakikisha usimamizi wa miradi...
Maelfu ya wakimbizi wameachwa bila makazi baada ya moto mkubwa kuunguza mahema katika kambi kubwa zaidi ya wakimbizi barani Ulaya ya Moria iliyopo katika kisiwa cha Lesbos nchini Ugiriki, kisiwa chenye uwezo wa kuhifadhi wakimbizi 3,000 lakini chenye idadi ya wakimbizi 13,000.
Chanzo cha moto...
Habarin Wadau
Kama kichwa cha Habari kilivyo hapo juu. Kumbu kumbu yangu inanikumbusha awali iliwahi kutolewa katazo la kupiga miziki karibu na makazi ya watu sikumbuki exactly ni mwaka gan lkn ni ndani ya awamu ya sasa ila ajabu kwa sasa naona mambo vice versa ni miziki inavurumishwa kuanzia...
MY TAKE: Lazima baba wa familia ya EA ajulikane na heshima iwepo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
____________
Shirika la Ndege la Precision Air limetangaza kusitisha kurejeshwa kwa safari zake za Nairobi nchini Kenya kutokana na uhitaji mdogo. Taarifa iliyotolewa na Shirika hilo imesema...
Eneo: Chanika mwisho mtaa wa zogoali kwa wambili.
Bei: Tsh. 950,000/=
Umeme Upo na maji visima vipo karibu
Ukubwa : mita 13/13 au miguu 18 kwa 18
Hakuna Dalalii
Piga namba 0627864823
Huduma za kijamii kama shule na zahanati zipo karibu.
DEAL DONE!
Kampeni ya Piga kazi boresha Makazi yasaidia nyumba bora na za kisasa kujengwa Koromije, Mondo Misungwi Mwanza
Nyumba bora na za Kisasa zimejengwa katika vijiji viwili vya Koromije na Mondo Wilayani Misungwi mkoani Mwanza.
Wakazi wa vijiji hivyo vya Mondo na Koromije wilaya ya Misungwi mkoa wa...
Inasemekana kuwa kwa wale wakazi wazoefu wa Arusha wanaifahamu Ngulelo ambayo inakaribiana na kwa Mrefu.
Haya maeneo yanasifika kuwa makazi ya majambazi au wahalifu baadhi yao wakiwa majambazi wastaafu.
Hebu tuongezee sifa zaidi za eneo hili ndani ya Jiji la Arusha.
Wakuu mko salama!
Ninaweza kukujengea nyumba kama utanipa ramani au nitakupa mimi ramani pamoja na kukuandalia bajeti kwa kila hatua. kuanzia msingi mpaka finishing.
Nikisema flat nina maana ya kujenga nyumba ambayo siyo ghorofa bali ni single roofing, isiyo na many floor.
Mfano nina design...
Eneo: Chanika mwisho mtaa wa zogoali kwa wambili.
Bei: Tsh. 950,000/=
Umeme Upo na maji visima vipo karibu
Ukubwa : mita 13/13 au miguu 18 kwa 18
Hakuna Dalalii
Piga namba 0627864823
Huduma za kijamii kama shule na zahanati zipo karibu.
Eneo: Mtaa wa kwa wa mbili - Zogoali
Bei: Tsh. 1,300,000/=
Umeme Upo na maji yapo
Ukubwa : mita 13/13 au miguu 18 kwa 18
Hakuna Dalalii
Piga namba 0627864823
Habari za wakati huu wadau wa JF.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mara nyingi katika vyanzo mbalimbali vya habari na tambo za mashabiki wa mpira nchini, kumekuwa na majivuno baina ya mashabiki wa timu mbili hapa nchini (Yanga & Simba) ambao hujitapa huku kila shabiki akidai kuwa...
Wanabodi,
Salaam,
Neno "Mjinga" ni tukano, ila sio tusi!. Mtu kuwa mjinga ni ile hali ya kutokujua. Hivyo mtu akikuita mjinga, anamaanisha wewe hujui kitu fulani anachokuitia mjinga. Ukiwa hujui kitu fulani na ukaitwa mjinga, hujatukanwa bali umeambiwa ukweli kuhusu hali ya kutokujua kwako...
Chini ya asilimia tano ya wakimbizi wanaohitaji makazi ya dharura kote ulimwenguni, walipata makazi mapya mwaka jana kupitia Shirika la Umoja wa Mataifa la kuwashughulikia Wakimbizi UNHCR.
Takwimu zilizotolewa leo na shirika hilo zinaonyesha kuwa huku watu milioni 1.4 wakihitaji makazi mapya...
Kila mwaka, Marekani inatoa makazi ya kudumu kwa watu 50,000 kupitia mchezo wa bahati nasibu. Mchezo huo, unachezwa kuanzia mwanzoni mwa mwezi Oktoba hadi Mwanzoni mwa mwezi Novemba. Leo hii, Serikali ya Marekani imetangaza kwamba waTanzania wote watazuiliwa kwenda Marekani kupitia bahati na...
Picha haihusiani na tukio
Zaidi ya wananchi 4500 wa vijiji sita wilayani Kilwa Mkoa wa Lindi hawana mahala pa kuishi baada ya nyumba zao kusombwa na maji kutokana na mvua kubwa iliyonyesha mkoani humo.
Akizungumza na Mwananchi leo Jumatatu Januari 27, 2020 mkuu wa Wilaya hiyo, Christopher...
Zaidi ya watu 1,000 wamekosa makazi, baada ya nyumba 237 kubomolewa na mvua zinazoendelea kunyesha mkoani Dodoma.
Wakazi walioathirika kutokana na mvua hizo ni wa Wilaya ya Bahi, huku miundombinu ya barabara ikiharibiwa.
Hayo yalibainishwa na Mkuu wa Wilaya hiyo, Mwanahamisi Munkunda...
Polisi ofisa katika jimbo la Texas aliyempa mtu asiye na makazi sanduwichi yenye kinyesi cha mbwa. Mahakama imeharisha arudishwe kazini kutokana na mapungufu ya sheria!
=====
Police officer gets away with ‘giving homeless man poop sandwich’
A police officer who was fired after he allegedly...
Utangulizi
Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1).
Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki, pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.