WATU 18 wamekufa na wengine wapatao 200 kukosa makazi katika jimbo la New South Wales nchini hapa kutokana na moto wa nyikani, uliotokea hivi karibuni. Polisi imethibitisha kutokea vifo hivyo.
Watu wawili walikutwa katika magari tofauti jana asubuhi. Pia yupo baba na mtoto ambao walibaki kwenye...
Shirika la Uokoaji la Msalaba Mwekundu Nchini humo linaloendelea na uokoaji katika Wilaya ya Bundibugyo limesema kuwa watu wengi bado hawajulikani walipo kutokana na mvua kubwa zinazonyesha Mashariki mwa Uganda
Waziri wa Kujikinga na Majanga na Kushughulikia Wakimbizi, Musa Echweru amesema...
Zaidi ya ya Kaya 426 Wilayani Babati Mkoa wa Manyara hawana makazi baada ya Nyumba zao kuanguka na nyingine kuzingirwa na maji kufuatia mvua kubwa zinazoendelea kunyesha Mkoani humo huku pia mashamba na miundombinu ya barabara ikiathiriwa vibaya.
Vijiji vilivyoathiriwa ni Moyamayoka ambako...
Watu ishirini na nane wamefariki huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC, kutokana na ajali ya ndege iliyokuwa imebeba watu 18 wakiwemo rubani wa 2 na abiria 16 na wengine 10 ni wakazi wa eneo ambapo ndege ilianguka
Ndege hiyo ilianguka katika mji wa Goma, kwenye mtaa wa Birere...
Shirika la kimataifa la misaada la Save the Children limesema zaidi ya watu 420,000 wamelazimika kuondoka kwenye makaazi yao kutokana na mvua kubwa zilizosababisha mafuriko Sudan Kusini.
Shirika hilo limesema, kiasi asilimia 60 ya walioondoka, tayari walikuwa wanakabiliwa na utapiamlo mkali...
'MIA TISA ITAPENDEZA' SASA AGEUKA KUWA 'CHOKORAA' : Dokta Luois Shika maarufu hapa nchini kwa Jina la '900 Itapendeza' alipozungumza kwa uchungu na huzuni kuhusu maisha anayoishi sasa.
Dokta Shika alijizolewa umaarufu mkubwa lakini katika maisha yake binafsi amekuwa na panda shuka nyingi huku...
Ninatazama jinsi mji wa Dodoma ulivyopangwa na namna viwanja vya makazi vinavyopimwa kwa masikitiko makubwa. Viwanja vingi vinavyopimwa ni vidogo mno kwa mahitaji ya makazi ya kizazi cha sasa. Ninachojiuliza: uchafu huu unafanywa kwa maslah ya nani?
Mobutu Sesseko Kuku ngendu Wazabanga baada ya kuingia madarakani kimabavu akaanza utawala wa kidikteta
Akajenga ikulu/kasri kubwa kijijini kwao Gbadolite ,akajenga uwanja mkubwa wa kutua ndege tena zilikua zile Concord ,uwanja huu alijenga kijijini kwao
Mobutu alipandisha hadhi kijiji cha kwao...
Jipatie taarifa na maarifa mbalimbali kuhusu sekta ya miliki kuu kupita jarida hili.
Soma Jarida la The Darproperty bure, fuata link hii The Magazine(March 2019)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.