Shirika la kimataifa la misaada la Save the Children limesema zaidi ya watu 420,000 wamelazimika kuondoka kwenye makaazi yao kutokana na mvua kubwa zilizosababisha mafuriko Sudan Kusini.
Shirika hilo limesema, kiasi asilimia 60 ya walioondoka, tayari walikuwa wanakabiliwa na utapiamlo mkali...