makini

Jully Makini (also known as Jully Sipolo) (born c. 1953 (age 64 in 2017)) is a Solomon Islander poet, writer and women's rights activist. The author of poems such as Civilized Girl (1981) and Praying Parents (1986), in June 2017 she received the International Women of Courage Award from the US Secretary of State for her work in promoting women's rights in the Solomon Islands.

View More On Wikipedia.org
  1. youngkato

    Skills ambazo tusipokuwa makini zinachukuliwa zinachukuliwa na AI. Miaka 5 - 10 ijayo hakuna mtu atatatoa pesa yake kukulipa.

    Hizi ni skills ambazo tusipokuwa makini zinachukuliwa zinachukuliwa na AI. Miaka 5 - 10 ijayo hakuna mtu atatatoa pesa yake kukulipa. Kwa kutumia AI Agency, usipojiongeza mapema utapunguziwa mshahara au utafukuzwa kazi Ai agent ni nini...? Hizo skills ni zipi..? Kitakachochukua kazi yako sio...
  2. GENTAMYCINE

    Mwijaku kuwa makini sana na Kauli zako za kumtaka Shemeji yako Aziz K apigie mbali ili atufunge tarehe 8, kwani tutakupiga / utapigwa uje Kutulaumu

    Yaani umealikwa katika Futuru kwa Aziz K kutokana na Njaa zako, umeshiba unaanza kumwambia Aziz K atufunge J'Mosi.
  3. K

    KUWA makini na Hawa matapeli wameishaumiza watu

    Kuna matapeli Wengi Sasa hivi Mfano. 1. LBL 2. TERRAOIL Wote lao ni moja
  4. Manfried

    Mtaani kuna Black-Mail system wanaume kuweni makini sana.

    Sasa kuna mfumo upo ambao sio rafiki Kwa wanaume . Wanaweza kuja watoto wakike wanakufata fata wnakuomba pipi n.k hakikisha hauwapi na usiwajibu na wala hata umkute mtoto wa mtu anashida gani usitoe msaada wowote . hawa watoto wa hivi wanakuwa wametumwa na wazazi wao. Ukitaka kutoa msaada...
  5. K

    Mama Samia kuwa makini na watu wa protokali- wanakudanganya

    Najua kuna watu wengi pamoja na mimi binafsi tunamshangaa huyu Mama kubadilika sana kuanzia 2021. Sababu moja wapo inawezekana ikawa watu wake wa protokali ambao wanajiona sasa wenyewe ndiyo wana mlisha habari na kuzuia habari zisifike kwake. Kitendo cha waziri wa elimu kulalamikia kwamba watu...
  6. chizcom

    Ligi za Tanzania kama tusipo kuwa makini Simba na Yanga ni mali ya CCM kiufupi

    Kuna mda unaweza kushangaa waziri au wabunge wa CCM sababu wote ni CCM wakawa wanaongea hizi club badala ya shida za watu tokea kupata uhuru. Hivi kuna nchi gani za ulaya zimekaa bungeni kukaribisha club ambazo zitangazi taifa mfano Brazil timu ya taifa kufanya vizuri japo hata bungeni...
  7. GENTAMYCINE

    Mkijijua kuwa Mmeoa Watoto wa Wakubwa (Viongozi) Barani Afrika kuweni makini mno kwani mkikengeuka tu Mnatumbuliwa na Kukomolewa

    Ninaomba kujua ni Vivutio gani vikubwa na vizuri naweza kuvikuta Rufiji kwani GENTAMYCINE nataka kwenda Kutalii huko.
  8. T

    Uchambuzi Fikilishi Kuhusu Majibu ya Hospitali ya Mlonganzila Kufuatana na Tuhuma ya Huduma za Hospitali Hiyo ya Taifa Muhimbili-Mlonganzila

    aada ya Wanachama wa JamiiForums.com kuandika hoja zinazoitaja Hospitali ya Muhimbili - Mlonganzila kuwa na gharama kubwa na changamoto nyingine za kiutendaji, taasisi hiyo imetoa ufafanuzi. Kusoka hoja za Wadau bofya hapa chini: ~ DOKEZO: Serikali iimulike hospitali ya Mloganzila, Huduma zake...
  9. U

    Usipokuwa makini na Uwekezaji Tanzania tutakuwa manambana vibarua ndani ya nchi yetu.

    Mfano ni south Africa, Kila biashara kubwa, mashamba makubwa, yanamilikiwa na wahindi na wageni na wazungu, huku wazawa wenyewe wa south Africa wakibaki kuwa manamba , yaani vijakazi na kufanya kazi za vibarua. Huu unaitwa ukoloni maomboleo. Wanakuja kidogo kidogo, baadae utakuja kustukia hata...
  10. Tlaatlaah

    Hakuna chama cha siasa makini cha upinzani nchini kinaweza kuthubu kukubali wito kuungana na chama tapeli na kibaka wa demokrasia

    Yaani anataka vyama vya upinzani kuungana ili kuomba pesa nyingi zaid kwa wananchi wanaoitwa maskini? Yaani vyama vya siasa vya upinzani viache malengo yao wafuate ulaghai wa huyo mpiga makelele mwenye chuki na uhasama na viongozi na baadhi ya wanachama wa chama chake mwenyewe, inawezekana...
  11. Pdidy

    Sio kila mwanaume anaenda chooni kujisaidia, wengine kuangalia Salio. Mabinti kuweni makini sana na hizo ofa mtalia

    Hili ni angalizo kuelekea wikendi. Mabinti, msiwaamini sana wanaume! Kama mna hela, hakikisheni mnakabeba. Sio kila mwanaume anayeenda chooni anaenda kujisaidia, wengine huenda kuangalia salio lililobaki. Wengine wakiona bili ni kubwa, wanatafuta njia ya kutokea karibu na choo. Nawaambia...
  12. Msanii

    Tutafakari pamoja: Waziri Mkenda anaposema wasaidizi wa Rais waliweka kauzibe asimwone mkuu wa nchi, hadhi ya Waziri ipoje kwani?

    Waziri wa Elimu ndugu Mkenda katika hotuba yake ya uzinduzi wa Mtaala mpya wa elimu ametoa kali ya mwaka pale aliposema kuwa Yeye na timu ya wataalam walipata ugumu kuonana na Rais ili wampatie briefing ya yaliyomo kwenye mtaala mpya. Nimezalisha maswali kadhaa ya tafakuri hapa.... Waziri...
  13. Jack Daniel

    Siasa ni mchezo mchafu, kuwa makini na wanasiasa

    Salamu JamiiForums Juzi wakati timu yangu pendwa ya Arsenal na Aston villa zikitoka Sare ya bao 2 Kwa 2 nikaona bora nihame sehemu ile na kwenda sehemu nyingine nikazugezuge na habari za siasa . Haswa ukizingatia chama cha Demokrasia na maendeleo kimechukua headlines nyingi Kwa kipindi hiki...
  14. K

    Tuwe makini bila demokrasia tutakuwa na wahasi

    haya ni mawazo yangu. Nchi ambazo hazina demokrasia na wananchi wake wamekata tamaa kwamba hawawezi kuchagua mtu wampendao kuwakilisha mambo yao kuna hivi vinatokea Nchi za hivyo zinageuka kuwa na wahasi badala ya vyama. Mfano Rwanda kuna wahasi, Uganda kuna wahasi na nchi zote ambazo hazina...
  15. Sisa Og

    Mwanaume Kuwa Makini Na Haya Mambo Matatu

    Habari zenu? Niende kwenye mada! Ni furaha kwangu pale ninapokutana na mwanaume mwenye mienendo ya kiume. Kwakweli inachukua muda kukutana na mwanaume haswa. Kwakweli wanaume wengi tumepoteza sifa sana. Yaani ni kama hatujui thamani yetu. Haya ni mambo matatu ambayo tunayafanya daily na...
  16. Lord denning

    Baada ya Nyerere kuighafirisha TANU mwaka 1967, Inawezekana Tanzania ikapata zawadi ya chama makini zaidi baada ya uchaguzi wa CHADEMA

    Historians wanalijua hili. The glory of Tanzania ilikuwa kabla ya mwaka 1967 ambapo kwa mara ya kwanza nchi yetu ilipata chama makini chenye watu Makini kilichojulikana kwa jina TANU. Kwa ukanda huu wa Afrika hakukuwa na chama makini kama TANU chini ya Mwenyekiti Julius Kambarage Nyerere na...
  17. L

    Serikali iwe Makini Na Lissu ili Asije Fanya utakatishaji wa pesa na kuingiza Pesa Chafu Nchini Kwa ajili ya kuvuruga Amani ya Taifa letu

    Ndugu zangu Watanzania, Serikali yetu kupitia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kupitia idara zake zote za usalama.ziwe macho na kuwa karibu sana na lissu na kumfuatilia nyendo zake pamoja na Mambo yake yote. Kwa kuwa ni wazi lissu anatambua na kufahamu wazi kabisa hawezi kupita na...
  18. Mowwo

    True story!! Kwenye mapenzi tuwe makini kabla ya kuingia kwenye mahusiano

    Wakuu kwema? Leo mida ya asubuhi nimepokea simu kutoka kwa rafiki yangu/mdg wangu jinsia ya KE. Akanielezea mkasa ambao alitaka nimshauri. Nimeona sii vibaya nikishea hapa jukwaani huenda akapata mawazo mazuri zaidi. Huyu rafiki yangu ni kama mdogo wangu maana kaka yake amewahi kufanya kazi...
  19. Malaika wa Misukosuko

    CAF wawe makini na Mechi za MC Alger vs TP Mazembe na Al Hilal vs Yanga, Sisemi sana ila waweke mitego yao kuna Timu itanasa

    Habarini wakuu, Mechi kati ya Mc Alger vs Tp Mazembe, Al Hilal vs Yanga Hizi mechi CAF waziangalie kwa jicho la ukaribu zaidi na la kijasusi zaidi wakitega mitego yao kuna Mtu atanaswa na ndo itakuwa mwisho wa Timu husika kwaherini.
  20. B

    KERO Wanaofanya uvuvi Mto Ngerengere eneo la Tungi na Kihonda wawe makini, kuna mashimo yaliyochimbwa wakati wa ujenzi wa SGR yana kina kirefu

    Mimi ni mkazi wa Mfaranyaki, Kata ya Tungi, Manispaa ya Morogoro, mtaani kwetu tumechoshwa na matukio ya watu kupata majanga ikiwemo kupoteza Maisha katika eneo hilo la Mto Ngerengere uliokatisha Kata ya Tungi na Kihonda. Mto huo umekuwa ni kero na tishio kutokana na watu kupoteza maisha...
Back
Top Bottom