Habari zenu wana jukwaa, nimeona nitoe angalizo kwa kauli za kijinga zinazolazimisha baadhi ya watu kuziishi, mfano 'hainaga ushemeji-tunakulaga', 'ukimwi ni Kama malaria tu','pesa ndo Kila kitu','mke/mume wa mtu mtamu Sana"',...n.k.
Siku hizi ukifumaniwa na mke wa mtu Kuna mAmbo kAdhaa yanaweza...