makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. Mindyou

    SI KWELI Leo Septemba 23, 2024 Mbowe yuko Arusha

    Wakati Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kikitangaza kufanya Maandamano ya amani leo Jijini Dar Es salaam chini ya Mwenyekiti wake Freeman Mbowe, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amechapisha mtandaoni mwake akisema anazo taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe yupo Arusha na...
  2. Wakusoma 12

    Tangu makonda arudi kwenye nafasi za kisiasa matukio ya utekaji na unyang'anyi yameongezeka! Je Kuna nini hapo?

    Huu ndiyo ukweli Wala haihitaji 🚀 science kujijua hili jambo. Kuna kazi anaziratibu? Mamlaka inamtegemea? Watanzania si wajinga. Uzi tayari.
  3. Yoda

    Makonda kuwa mtu wa dini zote na madhehebu yote asivimbe kichwa.

    Huyu bwana inaonekana kuweza kujenga ushawishi kwa viongozi wa dini zote hapa nchini, kukubalika katika dini zote na kupewa heshima ya kipekee na dini zote hapa nchini sasa kumempa kiburi. Hadhi aliyoipata kanisa Katoliki asiichukulie poa/"for granted". Wakatoliki huwa hawapendi mtu awe mkubwa...
  4. Dr Akili

    RC Makonda kawakaanga baadhi ya maaskofu, mapadri na wachungaji wanategemea matamuko na nyaraka badala ya Mungu na maandiko matakatifu

    Hapa kasema ukweli ukweli mtupu. Msikilize mwenyewe hapa. Sindano itakuwa imewaingia barabara. Wewe unaonaje? https://youtu.be/x5_k9cpJ94U?si=0LEr7yFxM-rVDaWZ
  5. Lord denning

    Hatari ya maneno ya Makonda: Asiombe Viongozi wa Dini wafanye maamuzi!

    Changamoto kubwa inayokikumba Chama cha Mapinduzi kwa sasa ni kuwa na Viongozi wenye akili na upeo duni, Wasioweza kuchakata tension iliyopo kwenye jamii na kujua waseme nini na kwa wakati gani? Suala hili limekuwa likiongeza sana hasira za wananchi dhidi yao. Nawapongeza wenye busara wachache...
  6. Beira Boy

    Katibu wa Baraza la maaskofu katoliki TEC aligoma kuwapa wanasiasa mike tundulisu, mnyika na chimbi kwanini mwamposa alimpa mike makonda

    Amani iwe nanyi wana wa MUNGU Juzi kanisa katoliki liliitisha kongamano la ekarist takatifu pale uwanja wa uhuru Katika watu ambao walikuwepo eneo hilo siku hiyo ni wanasiasa mashuhuri tundulisu, mnyika na Emmanuel chimbi katibu mkuu wa chama cha ccm Wanasiasa hao waliitwa madhabahuni...
  7. Aramun

    Makonda: Jakobo alipochinjwa, Kanisa liliomba, halikutoa tamko au waraka.

  8. L

    Paul Makonda Afanyiwa Maombi Na Mtume Boniface Mwamposa.Atahadharisha Walaghai wanaotumia Neno La Mungu Kuwarubuni Watu.

    Ndugu zangu Watanzania, Mkuu wa Mkoa Wa Arusha Mwamba Mwenyewe Mheshimiwa Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini Mwa jangwa la Sahara .Amefanyiwa Maombi Na Mtumishi wa Mungu Mtume Boniface Mwamposa wa Kanisa la Inuka Uangaze. Ambapo Mwamba huyo na jabali La siasa hapa Nchini na ambaye...
  9. waziri2020

    Mwandishi wa Habari wa Millard Ayo TV adaiwa kutekwa na kunyaganywa vifaa na wasaidi wa Paul Makonda kisa maandamano

    Mwandishi wa Milard Ayo wa Jijini Arusha Godfrey Thomas akiwa katika majukumu yake ya kawaida akiwarekodi wananchi walio funga barabara ya Arusha Dodoma. Kwa madai ya kuchoshwa na vifo vya watoto kugongwa mara kwa mara na kupoteza Maisha ametekwa na kuchukuliwa vifaa vyake vyote vya kazi na...
  10. LA7

    Makonda wa Arusha ruti ya Kilombero kwenda Kiseriani Madukani wanaibia abiria nauli

    Hii ni kero ya watu wengi nimeamua kuiweka hapa ili wahusika wachukuliwe hatua, Kwanza kabisa kwenye mwezi wa tano hawa jamaa wa haisi walikuwa hawafiki mwisho wa ruti kwa zaidi ya miaka miwili walikuwa wanaishia relini yaani kuna kama km4 hivi ndo ufike kiseriani mafukani, ambapo nauli ilikuwa...
  11. L

    Huyu hapa ndiye Paul Christian Makonda mwamba wa Kaskazini

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiangalia picha hii ya Leo ya Mheshimiwa Omar Mchengerwa Waziri wa TAMISEMI akiwa pamoja na Mwamba Mwenyewe Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini mwa jangwa la Sahara namna walivyo tabasamu na kujawa na furaha katika nyuso zao inafika wakati unasema kuwa Mungu ni...
  12. J

    Miezi mitatu kabla ya kuandamana Wenyeviti wa vijiji 80 vya Ngorongoro walikwenda kumsihi RC Makonda awarudishie huduma za kijamii

    Wamaasai waliibembeleza sana serikali kabla hawajaamua kuandamana. Hapa chini kuna video ya wenyeviti wa vijiji waliokwenda kumuomba RC Makonda awarudishie huduma za kijamii katika maeneo yao. Bila shaka viongozi hao wa wananchi hawakusikilizwa, na matokeo yake ni maandamano makubwa...
  13. MGOGOHALISI

    Dereva aliyetajwa na Makonda kufanya uhalifu afikishwe kwenye vyombo vya sheria

    Nimeona clip ikisambaa mitandaoni inayomwonyesha aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam mheshimiwa Paul Makonda akimtuhumu mmoja wa aliyewahi kuwa msaidizi wake kuwa alikua akichukua gari na kwenda kupora kwenye biashara za watu. Kwa kuwa uporaji ni jinai na jinai haifi ni wakati muafaka...
  14. Nigrastratatract nerve

    RC Makonda: Oktoba 2024 tuna maonesho ya Landcruiser, Range na Landrover 1000

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema mwezi Oktoba mwaka huu kutakuwa na maonesho ya magari yatakayovunja rekodi ya Guiness iliyowekwa na Ujerumani kwa kuwa na magari aina ya Land Rover 613 kwa wakati mmoja, ambapo kwa mkoa wa Arusha unaenda kuwa na magari aina ya Land Rover 1,000 kwa...
  15. Nigrastratatract nerve

    RC Makonda aandaa sherehe Arusha. Anatarajiwa kuchinja ng'ombe 200

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema ng’ombe takribani 200 watatolewa kwa ajili ya kuchoma nyama, tukio linalolenga kuimarisha uhusiano kati ya wafanyabiashara wa mkoa huo na viongozi wanaoshiriki kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi za Umma. “Ng’ombe kama 200 hivi...
  16. Kabende Msakila

    Paul Makonda - hisia zetu ni kutaka sasa urithi mikoba ya Ndungulile (Ubunge)

    Sisi tunakuombea Tutakusapoti Tutakulinda
  17. N

    Vunja mifupa ngumu bado meno ipo, Makonda sasa umekwiva

    Nimesikiliza kwa makini hotuba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda. Hakika ana mabadiliko makubwa sana na amezungumza kwa weledi. Amejitahidi kuelezea na kuangazia maswala ya kiuchumi na miradi ya maendeleo inayoendelea Arusha kwa Sasa. Ameongea kiume na kwa haiba ya uongozi na hakika ana...
  18. tpaul

    Tetesi: Makonda Waziri Mkuu 2025-2030

    Naingia kwenye mada kwa ufupi. Hakuna haja ya maelezo marefu wakati kila kitu kiko wazi. Siku zote sio lazima umuombe adui yako njaa ili wewe ufanikiwe. Kuna wakati unaweza kumuombea njaa ukaumia wewe mwenyewe na ukamuombea shibe ukanufaika. Hivi ndivyo unavyoweza kusema baada ya mpinzani...
  19. Cute Wife

    Makonda: Moja ya sifa niliyonayo ni kusimamia haki na ukweli, sitashiriki kukandamiza haki ya mtu

    Pia soma: Makonda, Lukuvi pamoja na Kabudi walekea ziarani Ngorongoro Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesisitiza kuwa hatashiriki kukandamiza haki ya mtu mahala popote pale atakapokuwa, huku akikumbusha kuwa nafasi wanazopata viongozi ni upendeleo wa Mungu. Pia soma: Rais Samia Aagiza...
  20. K

    Paul Makonda Special Thread: Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Paul Makonda; Make Arusha Great Again

    MAKONDA AAINISHA MPANGO KAZI WA VIPENGELE SITA: LETS MAKE ARUSHA GREAT AGAIN! April 8, 2024 Arusha ⦁ Mapokezi yamenitia moyo wa kuwa mtumishi mwema na mtetezi wa wanyonge. Kamwe sitaungana na fisadi kukandamiza haki zenu, nitakuwa sauti yenu mpaka ukamilifu wa dahali ⦁ Nawashukuru kwa...
Back
Top Bottom