makonda

Paul Makonda
Paul Christian Makonda born 15 February 1982 is the Regional Commissioner of Arusha, Tanzania.

Makonda gained popularity during a constitutional amendment referendum, where he was among a few members of a special parliamentary session that was tasked with drafting a new Constitution.

He would later become more prominent in politics, first acting as the District Commissioner(DC) for Kinondoni before being appointed Regional Commissioner(RC)of Dar es Salaam by the late President, John Pombe Magufuli, in 2016.
  1. Dr James G

    Paul Christian Makonda (PCM) ndo kijana mwenye Akili zaidi ya siasa za Tanzania kwa kizazi hiki.

    Kuweka kumbukumbu sawa akiwa miongoni mwa wabunge kwenyr bunge la katiba awamu ya Jk ,Makonda alipongeza uwezo wa Samia Suluhu Sahan kusimamia bunge la katiba kama naibu spika.lakin pia aliona maona na kuyasema nanukui ikipenda uko mbeleni huyu mama aje awe makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano...
  2. J

    Ujio wa Lukuvi ( Bunge), Prof Kabudi ( Katiba) na Makonda ( Utawala Bora) kunaifanya CCM kukamilika Idara zote kuelekea 2025

    Kama unabisha shauri Yako. Hapo anasubiriwa Dr Bashiru na Komredi Polepole kutusukia Ilani ya Ushindi wa kishindo. Kwa kifupi Kazi imeisha Siasa ni Sayansi 😂😂 Pale Bungeni ndugu Lukuvi ataweka kila kitu sawa. Huku kwa akina Mwabukusi na Matata sasa watakutana na nguli mwenyewe wa Katiba Prof...
  3. Reowned

    Amewekewa sumu amewekewa sumu Kiko wapi? Kwa Makonda mtanyooka

    Amewekewa sumu amewekewa sumu Kiko wapi? Huyu Paul christian Makonda ni Rais ajae! Kama hutaki peleka uwendawazimu wako Burundi, Rwanda, zimbambwe, chad, mali, nigeria, kenya, gambia and all other failed states. Ukisikia bendera chuma mringoti chuma kamba chuma upepo chuma udongo chuma...
  4. Mkalukungone mwamba

    Bananga: Jana nimeongea na Makonda sasa yupo Arusha, amemaliza likizo yake

    Katibu wa Siasa na Uenezi mkoa wa Dar es salaam, Binamubananga amesema amezungumza na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda na sasa amerejea Arusha baada ya kumaliza likizo yake. Hii inakuja baada ya maswali mengi kuzuka mitandaoni kumuhusu mkuu huyo wa Mkoa kuwa kimya sana tofauti na watu wakiwa...
  5. Li ngunda ngali

    Duru: Feleshi ndiye CJ ajaye

    '".... Profesa amekuwa akiomba mda mrefu apumzike lakini Boss lady alikuwa akikuna kichwa amweke nani pale. Sasa yeye na watu wake wa sheria naona waliamua wamwondoe kuwa AG na wamrejeshe Mahakama ili baadae kidogo amteua kuwa CJ." Duru ndani ya corridor za white house.
  6. USSR

    Makonda amerejea baada ya likizo

    Makonda amerejea baada ya likizo ya kiutumishi kwa mujibu wa sheria. Waliosema kada watakufa wao kabla yake ila awe makini USSR
  7. comte

    Uvumi wa Makonda kulishwa sumu na Gambo ni siasa chafu Lema

    Akaunti ya X zamani Twitter yenye jina la Tanzania Leaks ni ya MH. Godbless Lema mbunge wa zamani wa Arusha. Mwaka 2020 Lema alipoteza jimbo hilo na bado anaamini Arusha ni yeye na yeye ni Arusha. Uvumi wa Makonda na kuhusishwa kwa Gambo kuwa alimpa Makonda sumu ni mchezo mchafu wa kisiasa na...
  8. Kabende Msakila

    Makonda Paul - 2030 tunapenda uwe Rais. Kubali sisi tunakuombea na kukupa sapoti

    Huenda hii siyo ndoto yako lkn naleta kwako mawazo YANGU. Kila unaposimama unaonekana Kila unalofanya linaonekana Kila kijiwe na senta jina lako limekaa kwa vichwani mwa watu Amini, watakalo watu ni Sheria
  9. T

    Kutojua Makonda yuko wapi na Hali gani, Hatuna Vyombo vya habari vya Kiuchunguzi

    Tunakaribia wiki moja au zaidi baada ya tetesi za kutoonekana kwa Makonda. Hapa Mimi nimejifunza kwamba ndio maana viongozi huwa wanafanya ufisadi Mkubwa na hatujui, Sasa kama issue ya Makonda tu eti mpaka leo Media zinareport udaku udaku tu na tetesi. Silaumu lakini nakiri tu kwamba Tanzania...
  10. Meneja Wa Makampuni

    Mheshimiwa Makonda wewe ni kiongozi shujaa watanzania wanakupenda sana

    Mheshimiwa Makonda nakusalimu kwa Jina la Jamuhuri, Mkuu nimepita katika mitandao ya kijamii nimeona jinsi ambavyo watanzania wanaupendo mkubwa juu yako. Kweli Mungu amekubariki sana katika uongozi wako. Watu wanapokuona au kusikia habari zako wanapata tumaini na kuishi kwa Amani. Ubarikiwe...
  11. tufahamishane

    Yuko wapi Makonda? Kwanini Serikali mnaruhusu hali hii?

    Kwanza natanguliza samahani. Nimeona clip nyingi YouTube zikizungumza habari ambazo hazina Arya juu ya Arya ya makonda Inasemekana kwa week mobile RC makonda hajaonekana hadharani. Kama kuna mtu ana uhakika na habari hizi au anajua huyu kipenzi cha wa Tanzania alipo atujuze
  12. Pang Fung Mi

    Makonda yupo wapi mbona kimya kingi

    Shalom, Waungwana yuko wapi Paul Makonda, amejificha wapi nyakati hizi za kutoka kwa akina Yape na Nujauri? Wadiz
  13. GoldDhahabu

    Tume ya haki za binadamu inatumiwa kumdhoofisha Paul Makonda?

    Mwenyekiti wa tume ya haki za binadamu, Jaji Mstaafu Mathew Maimu, anamtuhumu mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda kuwa alivuka mipaka kwa jinsi alivyoshughulikia kesi ya mkazi wa Arusha aitwaye Kalisti aliyeuziwa nyumba ya milioni hamsini kwa mkopo wa shilingi milioni tatu. Mkopo huo...
  14. Dr James G

    Pre GE2025 Makonda kuwa Makamu wa Rais 2025 - 2030

    Wengi wanaweza kukataa au kukubali, lakini huyu kijana ameonesha uwezo tangu akiwa mkuu wa wilaya Kinondoni, mkuu wa mkoa Dar, mwenezi wa chama cha mapinduzi na sasa mkuu wa mkoa Arusha. Uwezo wake wa kujituma katika kazi, uwazi, kushuka chini na kutatua kero za wananchi. Anakipenda chama chake...
  15. B

    Waliong'ara ktk nafasi zao kama Jerry Silaa, Paul Makonda kwanini huondolewa

    Ni nini kinasababisha Waliongara ktk nafasi zao kama Jerry Silaa, Paul Makonda kwanini huondolewa Tuliona aluyekuwa waziri wa ardhi Jerry Silaa akifanya kazi vizuri na kutoa elimu kwa umma juu ya masuala ya umiliki ardhi, usimamizi wa mirathi n.k buree kwa raia kiasi wananchi Kutokana na...
  16. GUSSIE

    Pre GE2025 Je, Ulishangaa siasa za Makonda na Ally Hapi? Ya Nape na Makamba utayapata uchaguzi wa 2024 na 2025

    Tukumbushane zile kelele zenu za DP world ziliishia wapi? Na zile kelele za report ya CAG ziliishia wapi? Kwa ufupi watanzania wengi ni wasahaulifu na bendera fuata upepo, Ni vyema vijana wakaendelea kujikita kwenye mambo ya simba na Yanga , Vichekesho ni pale watu wa upinzani badala ya...
  17. D

    Pre GE2025 Makonda anatoa wapi kiburi cha kuidharau Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora?

    Makonda amekaidi wito wa tume ya haki za binadamu na utawala bora, kiburi ameitoa wapi, Rais anachukuliaje hizo dharau? Km vp hiyo tume ifutwe au imeundwa kwa ajili ya kina nani. Makonda hafai kuwa kiongozi mkubwa, yupo kupumbaza wajinga. Pia soma: Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora...
  18. Dr Akili

    Makonda aliraruliwa kwa kusema atataja mawaziri wanaomsema vibaya Rais. Mpina aliraruliwa kwa kusema waziri kavunja sheria ya sukari. Huyu atapona?

    1. Wakati wa mazishi ya hayati Edward Lowasa, akiwepo Rais wa JMT, aliyekuwa mwenezi wa chama cha mapinduzi alitamka kwamba atataja majina ya mawaziri wanaomsema vibaya Rais wa JMT. Maneno hayo yalikikasirisha sana chama cha mapinduzi. Akaitwa kwenye kamati ya maadili na kuraruliwa. 2. Mh...
  19. D

    Hii nchi kila mtu anaweza kuwa mkuu wa mkoa kama hata Makonda naye aliteuliwa basi kila mtu anaweza.

    Hivi wajameni tuseme ukweli mnauonaje uwezo wa yule bwana mdago makonda. Sidhani kama anajua hata ofisini yupo kwa ajiri gani. Anachofanya huwa hakieleweki yeye ni kutafuta kiki tu basi. Hata creativity ya maendeleo hata kidogo yeye ni kudeal na wadudu daily as if there is only one dimension in...
  20. K

    Makonda asimulia Jenerali Mabeyo alivyomuokoa kwenye sakata la makontena

    MKUU wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, amesimulia namna alivyookolewa na aliyekuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Jenerali Venance Mabeyo katika sakata la makontena ya vifaa vya ofisi za walimu wa Dar es Salaam kwa kuwa kuna watu walitaka kumchomekea matrekta na magari kwenye makontena...
Back
Top Bottom