Waziri wa mambo ya ndani, pole na majukumu! Nimekuja kutoa malalamishi hapa! Iko hivi! Unaandikiwa faini 30,000tsh! Yaani kwa haraka sana, bila onyo!
Unajikusanya unaenda kulipa in within 5 days unakuta unadaiwa 60,000tsh! Unajiuliza hii imekaaje? Unalipa, unafurahi uko huru! Inaenda mwezi...