malalamiko

  1. M

    Anatropia Lwehikila awashukia wabunge waliodai kunyanyaswa kingono, asema wanajidhalilisha kutojua wapi pa kupeleka malalamiko yao

    Anaandika Anatropia Theonest Lwehikila (Mbunge wa Viti maalumu Segerea). _________________ Somo la bure kwa wanawake wenzangu hasa wanaokihama CHADEMA. Endeleeni na tuhuma bandia dhidi ya chama kinachojua kilipowatoa. Leo tumependeza, tunanukia, shukrani halisi zimekuwa mateke. Semeni yote...
  2. G

    Vita ya Corona: Nahodha wetu katelekeza chombo Baharini, tutaponaje?

    Hapa naandika kwa majonzi kwa kusikia jinsi Watanzania wenzetu wanavyougua Corona na wengine kupoteza maisha. Poleni nyote. Kinachoumiza zaidi ni namna baadhi yetu tunavyoteteana hata kunapokuwa na uzembe kwenye hatua zinazochukuliwa kutulinda na Corona. Kuna wanaosema Nahodha wetu ni shujaa...
  3. K

    TFF chukueni hatua juu ya malalamiko ya vyumba vya kupumzikia wachezaji

    Kuna malalmiko mengi yanatolewa na timu kuhusu vyumba kupuliziwa dawa. wachezaji wasipoingia TFF mnakuja na adhabu pasipo kuchunguza kimsingi hii si haki na si sehemu ya kutatua tatizo msingoje hadi watu wapate madhara ndo muanze kuchukua hatua. fanyeni uchunguzi na mjiridhishe ndo mchukue hatua
  4. Wanaume sasa tuacheni malalamiko na badala yake tuongeze juhudi kwani hakuna chochote kitakachobadilika

    As salaam alayqum na pia tumsifu Yesu Kristu. Nafahamu jambo hili limeshaongelewa sana humu lakini nimeona si mbaya nikikumbushia tu na hasa ukizangatia mwaka bado ni mbichi kabisa. Na pia vilevile mada hii hailengi kuwafanya wanawake wawe magold digger, isipokuwa najaribu kuelezea uhalisia...
  5. B

    Malalamiko kuhusu uongozi wa NSSF

    Tunaandika kwa masikitiko na malalamiko makubwa kuhusu hali ilivyodorora ndani ya shirika. Tunaomba malalamiko haya yakufikie Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tunasema hivyo baada ya hali kuonyesha wazi Waziri husika hana uwezo wa au amezembea kutatua matatizo ya sasa ya shirika...
  6. Serikali imetangaza kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa uko palepale licha ya malalamiko mengi kutaka usifanyike

    Waziri Mkuu akoleza uchaguzi serikali za mitaa Mwananchi, Ijumaa, November 15 2019, Dodoma. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Majaliwa Kassim Majaliwa Hakuna kulala uchaguzi wa serikali za mitaa uko palepape. Ndivyo unavyoweza kusema baada ya kauli ya Waziri Mkuu wa Tanzania...
  7. Bongo hakuna malipo bila malalamiko!

    Wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ukiongea nao wanadai walipunjwa malipo. Baadhi waliofariki kabla ya kulipwa, warithi wao wanakuambia hawakuambulia kitu na waliolipwa mlolongo wa malipo kwao ulikuwa mkubwa kuliko. Upanuzi wa barabara, viwanja vya ndege. Wahanga wa mabomu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…