Dear customer, your balance has been used up, please recharge or order package, Dial *148*30# for more services.
Sms hii mmenitumia mara 527 kwaajili ya nini?
Serikali kupitia wizara ya utumishi wa umma imezindua mfumo wa kuwasilisha malalamiko, pongezi na ushauri kwa njia ya kieletroniki.
Wadau najiuliza mfumo utasaidia kupunguza gharama za kufika maofisini kwa waliombali na makao makuu ya nchi?
Kweli wamezindua mfumo je watakua active kupokea na...
WAZIRI wa Nchi, Ofi si ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mohamed Mchengerwa, amesema serikali haitomvumilia mkuu wa idara katika taasisi ya umma atakayesababisha mtumishi akose stahili yake au mwananchi kukosa huduma bora.
Mchengerwa amesema hayo Dodoma wakati akifungua...
Mbunge wa Jimbo la Mbogwe ameendelea kukazia zege kauli yake aliyoitoa bungeni juu ya maslahi ya wabunge.
Anadai yeye ni msema kweli daima, ameokoka na hataki kufanya yasiyopendeza Mungu.
Amefunguka kwa kusema kuwa wabunge wanalipwa milioni 3.8 tu. Ambazo kimsingi hazitoshi kwa kazi...
Tunaomba serikali na hasa Wizara ya Elimu na ike ya Tamisemi waliangalie sana hili na kulitolea muongozo mapema.
Malalamiko yenyewe ni kwamba kumekuwa na utaratibu kwa shule za binafsi hasa zile za English Medium kuzuia wanafunzi wa madarasa ya mitihani kwenda likizo hasa ya mwezi wa sita...
Yaani hapa wala sihitaji kuweka maelezo mengi. Tunapoongelea kero za Muungano, mara nyingi ni ndugu zetu wa Zanzibar wanaoona kuna mambo mengi yanahitaji kurekebishwa. Sasa basi, badala ya kufurahia baraka ndogo ndogo za uraisi wa Samia kwa Zanzibar kama kumtuma raisi wa Zanzibar kumwakilisha...
Nimeona Twitter & Instagram.
Kama ni kweli mbona walalahoi ama wale wanyonge kama Hayati Magufuli alivyokuwa anawaita wamepata utetezi mubashara.
Kuna watu wanamtakia huyu Mama yetu Rais Samia mafanikio mema sana kwenye utawala wake.
Wanyonge sasa nao kudemka hahahahahaha!
Nenda insta na...
Kampeni za CCM na ACT wazalendo hadi sasa tunavyoelekea ukingoni zimekuwa za kistaarabu na kuheshimiana sana.
Unaweza kufikiri Chadema ndio miamba ya kejeli na kulalamika kwa sababu bila uwepo wao CCM inapeta tu kama kumsukuma mlevi wa mataputapu..
Eid Mubarak!
Wazee wanalalamika vijana hatuwapishi viti kwenye daladala, wazee wenyewe hawa hawa tunakimbizana nao kufuatilia mademu?
Inaumiza mzee anastaafu halafu kiinua mgongo chake anatumia kuinulia mti nyama ili akakamue binti mkali. Kwani uongo? Hawa wazee wanahonga mabinti siku hizi sisi vijana...
Habari za usiku wapendwa katika bwana.
Leo nimepatwa na ajali iliyosababishwa na dereva wa JW aliyekuwa akiendesha gari aina ya hiace ndogo ivi yenye namba 1834 maeneo ya Ofisi za jiji Mwanza.
Nikiwa natokea maeneo ya maji haouse nikiendesha ki TVS changu, nilipofika yalipomataa pale maeneo ya...
Jambo la msingi nililoliona kwenye hotuba ya Freeman Mbowe jana ni ukweli kwamba tunaongozwa na wabunge ambao hatukuwachagua.
Kwa mfano Babu Tale Kigwangalla, January nk nk walipigiwa kura na nani hadi wakafika bungeni.
Kadhalika wakurugenzi ambao ni makada wa CCM ndio wasimamizi wa uchaguzi...
Nataka tu Mshinde au Mtoke Sare tu, ila msikubali Kufungwa kabisa leo kwani mtanikera.
Hao Mabeki wenu waambie Wawagongegonge ( wapige Buti ) sana akina Kisinda na Ntibanzonkiza.
Tumeshamaliza Jukumu la Kimataifa ( CAF Champions League ) na tunarudi VPL.
Nawaonea mno Huruma watakaokutana na...
Makabwela ambao wametoa malalamiko lukuki ya malipo ya bando jipya wamemlazimisha Rais Samia Suluhu kufutilia mbali post yake ya Twitter aliyoitoa ambapo alitoa taarifa rasmi ya kuwasili Dar leo.
Hii inakuwa post yake ya kwanza kuifutilia mbali tangia awe Rais rasmi wa Jamhuri ya muungano...
Ongezeko jipya la bei za vifurushi bila shaka ni matokeo ya mazungumzo baina ya waziri mwenye dhamana na wamiliki wa mitandao ya simu.
Tuoneshe kupinga kwa vitendo tusinunue vocha tuziache simu zetu hewani bila vocha mpaka pale watakaposhusha gharama za vifurushi tunaumizwa kwa kweli.
Wenye...
Ndugu wana JamiiForums,
Tunashukuru kwa maoni yenu na mijadala inayoendelea hapa kila siku kuhusu masuala ya Katiba na Sheria za nchi yetu. Aidha kuhusu haki za binadamu, rushwa, utawala wa sheria na mengineyo.
Kupitia thread hii maalum; tutapokea maoni, ushauri na hata malalamiko yenu...
Yapo malalamiko ya ubora wa maziwa mapya ya Lactogen ambayo yanatoka nchi jirani au yanatengenezwa kwa ubia na viwanda vya jirani yetu.
Je, ubora wa maziwa haya ya watoto umeangaliwa vyema? Nini kimebadilika kwenye maziwa hayo? Kwanini maziwa ya Lactogen manufacturer France yamepotea sokoni...
Nimeishi nimejionea watu wa namna hii maongezi yao asilimia kubwa ni kulaumu na kulalamika. Hii ni dalili mbovu na ni mbaya mno kwani huonyesha mtu husika kuwa ni mtu ambae ameshakata tamaa na kilichobaki ni kulaumu na kulalamika kwa mambo mengine ambayo hayana nyuma wala mbele!
Inawezakuwa ni...
Habari samahani naomba kuuliza kwa mtu anae elewa hili swala kama mtu umeahidiwa mkataba na boss na hataki kutoa mwisho wa siku zaidi ya mwaka hujapewa mkataba na unapewa posho tu napo akijisikia hivi swala kama hili wapi naweza toa lalamiko na nikasaidiwa kisheria.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.