malalamiko

  1. Jay Milionea

    Namba ya kuripoti RUSHWA TRA

    Wananzengo mambo ya rushwa TRA mi naona yamekua kero sana, nmeambiwa kuna namba ya kutoa taarifa kuhusu RUSHWA katika ofisi za TRA ambayo ni 0689-122 515 na WhatsApp yao ni hii 0744-233 333 kwanini tusichomoe betri kwa Maofisa wenye tamaa wanaotaka kutukamua sisi walipakodi wakati wao wana...
  2. GHIBUU

    Wazanzibar hatuutaki Muungano na Tanganyika

    Kwa Wazanzibar walio wengi leo hii ni kuona kwamba Zanzibar kama Nchi inajitawala wenyewe huku ikiongoza tawala zake kama vile historia ya kweli unavyotufahamisha, jinsi ya utawala halali wa kIzanzibar kabla ya kuja mapinduzi ambayo yamepelekea athari kubwa miongoni mwa Jamii ya Wazanzibar hadi...
  3. M

    Rais tupia Jicho malalamiko ya askari wako hayana afya kwa Nchi

    Niliandika asubuhi japo ujumbe haukuwa moja kwa moja kwako,,lakini uzalendo wangu umenituma kurudia tena kuandika,,,Mimi ni mwananchi ambae shughuli zangu hunifungamanisha sana na askari wa majeshi mbali mbali nafikiri toka kipindi cha Magufuli. Binafsi sipendezwi na maneno ambayo yana...
  4. GUSSIE

    Tulishiriki kutunga Sheria za TCRA, Humprey Polepole kwanini Unalia kuitwa na TCRA?

    Humprey Polepole na Mimi wote tulikuwa wapiga tarumbeta, Vinanda na vinubi wakati wa JPM Utofauti wetu ndani ya chama na sisi Yeye Humprey Polepole aliendekeza dharau kwa kuwa ni mtu wa kuja chamani, Sisi wengine na waomba msamaha wote kama Nape tuliogopa usalama wetu na Matumbo yetu JPM...
  5. Twilumba

    Makalla: Asilimia 99.99 ya Malalamiko yaliyotolewa hawahusu utendaji wa Polisi

    Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amesema asilimia 99.99 ya malalamiko yaliyowasilishwa kwake katika kipindi cha kusikiliza kero za wananchi jijini Dar es Salaam siku chache zilizopita hayakuwataja Polisi kama watu wanaosababisha kero jijini Dar es Sallam na hivyo kumshukuru Afande IGP...
  6. M

    NBC mnalalamikiwa na wakala wenu

    Jana nilikwenda kwa wakala wa NBC aliyepo Kilosa mjini (ni mmoja tu) na niligomewa kutoa kiwango nilichohitajika huku wakala akilalamika kuwa NBC hawana ushirikiano na anatarajia kujivua uwakala. Alieleza mambo mengi na mojawapo ni kuwa kuna wakati inabidi yeye kma wakal akusafiri kwenda...
  7. Donnie Charlie

    Malalamiko juu ya moshi wa kiwanda cha Guoyang Biotech kilichopo Mvuti

    Nimeona hii tweet nikashangaa sana kama haya yanawezekana kwa zaidi ya mwaka, angalia video!. Moshi ni mchana kutwa usiku kucha kuna muda nasikia kizunguzungu naanguka'. Malalamiko juu ya kiwanda cha Guoyang Biotech kilichopo Ilala 'Nakohoa nakohoa imekuwa kazi yangu kukohoa'
  8. YEHODAYA

    Utafiti niliofanya ndani ya JamiiForums kwa kipindi kama hiki miaka ya utawala wa Magufuli hakukuwa na malalamiko ya umeme kukatika mara kwa mara

    JamiiForums ni eneo ambalo watu wakiona kero huwa hawaiachi na Hakuna wa kuwazuia wasiandike. Nimejitahidi kufanya utafiti kupitia nyuzi zote za kipindi chote cha utawala wa Magufuli mwezi kama huu wa 11 miaka yote ya utawala wa Magufuli baada ya kuapishwa kuanzia 2016 November hadi 2020...
  9. mgt software

    Upanuzi wa Ubungo na TAZARA sasa Ilala na Mbagala wameondoka bila malalamiko, kwanini Kariakoo na Posta

    Wana JF, Kama kuna kitu kinakera ni kuangushiana jumba bovu. Katika upanuzi za barabara za mwendokasi na madaraka, tumeshuhudia wafanyabiashara wengi wakipisha ujenzi bila shuruti kwa kuwa wanajua ni suala la muda tu wataondoka. Watu hawa unatafuta sehemu ya kuamishia biashara zao bila...
  10. C

    FCC wanaweza kupokea malalamiko yangu kuhusu tangazo la uongo la Tigo?

    Nisaidieni ndugu zangu nikashtaki wapi hawa jamaa wa Tigo, FCC au mahakamani? Wana tangazo lao la kina Mkude Simba kwamba wameongeza mzigo kiasi kwamba mtu anakaribishwa pilau ila anasema subiri kwanza namaliza kuangalia movie maana Tigo wameongeza mzigo wa dakika na mb's Kwa nini tunafanyana...
  11. TheDreamer Thebeliever

    Malalamiko kwa rais Samia: Serikali inawanyima ajira wenye Digrii na kuwapendelea Fom 4 na Stashahada

    Habari wadau! Kuna malalamiko yameibuka siku za karibuni kwamba serikali inawabania wahitimu wa vyuo wanagawa ajira kwa form 4 na Diploma watu wenye digrii wanatoswa, sababu kibao zimeelezwa moja wapo ni kuogopa gharama za kulipa mishahara ya wenye digrii. Naomba rais wa JMT swala ili...
  12. Linguistic

    Nina malalamiko dhidi ya Human Resources Officer wa TRA

    Unajua TRA ni wazembe sana. HR wa TRA alikua na doc za mama yangu toka amestaafu 24/5/2021 na amekaa nazo tuu hajazipeleka PSSSF hadi jana tarehe 01/10/2021. Sasa hii ni haki kweli kwa mtu aliyestaafu akitegemea alipwe mafao. Human Resource officer anakaa na documents mezani kwake to mwezi wa...
  13. G

    SoC01 Watanzania wengi tumeshindwa kufanya mambo kwa sababu tumekuwa walalamikaji

    Kama ilivyo ada Leo nakuja na hizi tafakuri alafu ujitafakari...watanzania wengi tumeshindwa kufanya mambo kwa sababu tumekuwa walalamikaji sana. Hahaha kuna jamaaa nilikutana nae analalamika mpaka analaumu kwanini kazaliwa kwenye ukoo alioko...daaah laana hii..lakini Leo tutafakari je...
  14. hp4510

    Malalamiko yangu juu ya CRDB bank

    Siku ya Leo imekuwa mbaya Sana kwangu, Nilikuwa natuma pesa Kwa bimkubwa wangu huko kijijini kwetu kwa ajili ya matibabu yake Nimetuma pesa asubuh kwa SIM banking kwenda mpesa, tangu hiyo asubuh mpaka muda huu hiyo pesa haijafika, Nimepiga simu Sana huduma Kwa wateja wanasema shida sio crdb...
  15. S

    Ushauri kwa Rais Samia: Malalamiko dhidi ya Polisi yanazidi, Muswada wa Mamlaka ya Kusimamia/Kuwachunguza Polisi unahitajika haraka

    Kwako Rais Samia. Suala la mgongano kati ya Hamza na Polisi sio jipya kutokea nchini, labda tofauti kubwa ni kwamba Hamza alichukua hatua ya kulipiza kisasi kwa kuwaua askari. Kila siku malalamiko dhidi ya unyanyanyasasi au uonevu wa Polisi, na yanazidi kujitokeza, lakini inakuwa kama Serikali...
  16. Z

    Malalamiko ya Tozo za miamala na kodi za majengo kupitia Luku yamepungua, safi sana

    Watanzania sasa wamemuelewa Mama na kukubali kulipa Tozo na kodi kwa moyo mmoja. Katika mitandao malalamiko hayo yamepungua, na leo kulikuwa na Thread moja tu ya kulalamikia kuchelewa kwa muamala kwa ajili ya Tozo na si lalamiko la tozo. Ni suala la utendaji tu Hii imetokana na watanzania...
  17. Jaji Mfawidhi

    Ferry - Kigamboni: Weka hapa Kero, Ushauri na malalamiko yako

    Zamani enzi zetu tukisoma pale ferru tulivuka kwa shilingi 20 tu kutumia mitumbwi. Serikali ikaleta MV Magogoni na baadae Mv Kazi na mv Kigamboni. Hivi vivuko Kigamboni kina injini 4 lakini mara nyingi wanawasha mbili tu na kufanya kutumie dakika 20 ndani ya maji. Kero: wameleta mfumo wa...
  18. N

    #COVID19 Waziri Gwajima: IGP Sirro yupo sahihi, wanaonichonganisha nitawavua nguo hadharani. Asema Corona imesababisha vifo vya kutosha

    Battle linaendelea, hakijaharibika kitu, Waziri Gwajima amempongeza IGP simon Sirro kwa kufanya kazi kwa utaratibu hivyo nae amesema tayari ameshamwandikia malalamiko yake. CORONA IMESABABISHA VIFO VYA KUTOSHA Waziri wa Afya Dkt. Dorothy Gwajima amesema vifo vitokanavyo na corona vipo vya...
  19. daraja la kigamboni

    Malalamiko ya mashabiki wa Yanga

    Kama kawaida yao Hawachelewi kwenda CAS
  20. ommytk

    Uzi maalum changamoto katika mifuko ya mafao

    Wadau ebu Leo naomba tuweke na tujadili hapa changamoto tunazokutana nazo katika mifuko ya mafao kipindi tunafatilia mafao ya aina yoyote iwe yako au mzee wako maana wafanyakazi wa hizi taasisi awajui Kama hizi hela zilikatwa sio Kama Mtu unapewa bure Ni jasho lako
Back
Top Bottom