malalamiko

  1. Naanto Mushi

    Malalamiko yaliisha Oktoba 28, tunavyokwenda mbele tuwe wapole na wakimya

    Sijapendezwa na kelele za malalamiko ya raia kuhusu kuonewa na vyombo vya serikali. - Takribani mwezi mmoja na nusu uliopita kumekuwa na sauti kali sana ya vilio vya raia kulalamika kuhusu TRA. - Ni jana tu mkuu wa wilaya amewatandika watu viboko hadharani, watu wana lalamika watu wanalia...
  2. J

    DPP Biswalo Mganga awafutia mashtaka mahabusu 51 mkoani Manyara baada ya kuwasikiliza na kugundua mashtaka yao yana mapungufu

    Mkurugenzi wa mashtaka nchini mh Biswalo leo amewafutia mashtaka mahabusu 51 mkoani Manyara baada ya kuwasikiliza na kugundua mashtaka yao yana mapungufu. DPP Biswalo amesema anaendelea na zoezi hilo katika magereza mbalimbali nchini. Mkuu wa gereza la Babati amemwambia mwandishi wa ITV kwamba...
  3. GENTAMYCINE

    Hivi ni lini Malalamiko ya Michezo yakashtakiwa kwa Msemaji wa Serikali?

    Barua ya wazi kwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Sanaa Utamaduni na Michezo Kwako Dkt. Hassan Abbas Hatuna shaka kwamba wewe nikiongozi makini na unayefuatilia nakusimamia mambo kwa weledi mkubwa. Hatuna shaka na Utendaji wako na msimamo wako katika kutetea aki na Maslahi ya vilabu vya soka...
  4. I

    ICC yakiri kupokea rasmi malalamiko kutoka Tanzania juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati wa uchaguzi uliopita

    The International Criminal Court (ICC) in The Hague, has confirmed receipt of two formal letters alleging human rights violations by the Tanzania government in the wake of the October 28 election and its aftermath. The Alliance for Change and Transparency (ACT-Wazalendo), one of the main...
  5. J

    Uchaguzi 2020 Je, wajua unaweza kulalamikia mwenendo wa upigaji kura katika kituo?

    Kwa mujibu wa kifungu cha 53 cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi, Sura ya 343, ikiwa mpiga kura ambaye tayari amekwisha kupiga kura hajaridhishwa na mwenendo wa upigaji kura katika kituo cha kupigia kura, anaweza kutoa malalamiko yake kwa msimamizi wa uchaguzi kwa kujaza Fomu namba 15. Baada ya...
  6. William Mshumbusi

    Nilisikia Malalamiko mengi ya Chadema Juu ya wagombea wa CCM je mliyapeleka kisheria Ila Mwenyekiti hakuiitisha Kamati au NI ya kwenye mtandao.

    Malalamiko NI mengi Sana ya Chadema Juu ya wagombea wa CCM NI pamoja na. 1 Kutumia magali ya serikali. 2.Kumtumia Mawaziri mkuu. 3.Ahadi za Raisi na kupigia cm mawaziri. 4.Mgombea wa CCM kutofata ratiba ya tume. 5. Tuhuma dhidi yenu ya kuuza nchi mkichaguliwa. 6. Kauli zilizowahi kutolewa kwa...
  7. B

    Uchaguzi 2020 Tume ya uchaguzi malalamiko dhidi ya CCM yanawafikia?

    Mabibi na mabwana heshima kwenu Kumekuwapo na malalamiko ya uvunjifu wa kanuni na sheria za maadili ya uchaguzi yanayofanywa na mgombea wa CCM yaliyowasilishwa kwenu rasmi. Mgombea wa tume ameendelea kutofuata ratiba za kampeni, Majaliwa naye anaendelea akitumia raslimali za Serikali, kuita...
  8. D

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Sijaletewa malalamiko yoyote kuhusu chochote " As far as I'm concerned" sina chochote cha kufanya nje ya ratiba yangu

    Yupo Arusha anaongea na waandishi muda huu na huo ndiyo ujumbe wake kwa tume. Malalamiko hayapelekwi CHADEMA wala Twitter bali anapelekewa yeye. Tundu Lissu amesema kuwa yeye ndiye aliyesaini hati ya maadili ya tume na lolote linalomhusu yeye kuhusu maadili ya uchaguzi ni lazima apelekewe yeye...
  9. Kibanga Ampiga Mkoloni

    Uchaguzi 2020 Ujue utaratibu wa kuwasilisha, kushughulikia na kukata rufaa malalamiko kamati ya kitaifa ya maadili

    Kwa mujibu wa GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA la Tarehe 5 Juni, 2020 SEHEMU YA TANO Ukururasa wa 15. Angalia Kiambatisho. 5.4 Uwasilishaji wa Malalamiko Mgombea yeyote, Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Serikali au chama kilichosaini Maadili ya Uchaguzi na kuweka mgombea endapo kinaamini...
  10. General Mangi

    Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Sijapokea wito kutoka Tume ya Uchaguzi. Sitarajii kuacha Kampeni kwa kuitikia wito kutoka mitandaoni

    Mgombea Urais kupitia CHADEMA amesema hajapokea malalamiko yoyote kuhusiana na uchaguzi na hajapokea wito wowote wa kufika tume zaidi ya kusikia kwenye mitandao. Hivyo hawezi kuacha Kampeni kwa maneno ya mitandaoni ===== => Sijapokea malalamiko yoyote juu ya jambo lolote linalohusiana na...
  11. S

    Uchaguzi 2020 Huku ni kupuuza vilio na malalamiko ya watanzania. Nini anataka huyu mgombea urais wa CCM?

    Watanzania wanataka ;- Hali bora za maisha. Ajira Biashara zao zifufuke na kukua Mzunguko wa fedha uwe mzuri Uhuru na haki vitamalaki. Sasa huyu mgombea pamoja na kwamba watanzania wanapiga kelele kuwa madege aliyo yanunua kwa fedha taslimu yanatufilisi na hayafanyi biashara yoyote bado...
  12. M

    Uchaguzi 2020 Malalamiko ya kura za maoni za uteuzi jimbo la Iramba umesababishwa na Dkt. Mwigulu

    Kuna baadhi ya kata zilitakiwa kurudia kura za maoni za uteuzi wa madiwani. Mojawapo ya Kata ni ile ya Ulemo ambayo Dkt. Mwigulu Nchemba alihakikisha iwe isiwe Diwani aliyekuwepo asiongoze tena. Mengi yalifanyika kuhakikisha hilo linafanikiwa. Binafsi niliandika barua kwa uongozi wa Wilaya na...
  13. Miss Zomboko

    TAKUKURU kuwakamata na kuwachukulia hatua watu wote watakaojihusisha na vitendo vya rushwa kuelekea Uchaguzi Mkuu

    WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali imewaagiza Makamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) nchini wahakikishe wanawakamata na kuwachukulia hatua watu wote watakaojihusisha na vitendo vya rushwa kuelekea uchaguzi mkuu. “Watu wamezoea vitendo vya rushwa kwenye...
  14. Roving Journalist

    Uchaguzi 2020 Malalamiko: Ukiukwaji wa taratibu za Uchaguzi jimbo la Handeni Vijijini

    KATIBU MKUU CHAMA CHA MAPINDUZI, S. L. P. 50 DODOMA 22/07/2020 Ndugu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Dkt Bashiru Ally YAH: UKIUKWAJI WA TARATIBU ZA UCHAGUZI JIMBO LA HANDENI VIJIJINI Husika na kichwa cha Habari, Kwa heshima kubwa kwanza tunakupongeza kwa kusimamia taratibu, kanuni na...
  15. Wakusoma 12

    Baada ya kampuni ya michezo ya kubahatisha ya Betika kunipatia pesa zangu nilizokuwa nikilalamikia kutopewa, sasa kwa hiari yangu ninafuta malalamiko

    Wakuu heshima kwenu, ni dhahiri sasa kampuni ya michezo ya kubahatisha betika ilikuwa na tatizo LA kiufundi na wala si matapeli kama nilivyokuwa nikiwafikiria. Hii ni baada ya kufanikiwa kutoa kiasi kikubwa cha pesa nilichoshinda baada ya kutabiri kwa ufasaha matokeo ya michezo ya Mpira wa...
  16. J

    TAKUKURU: CHADEMA badala ya kulalamika wanapaswa kusoma sheria, mwisho wa uchunguzi waweza kuwa mwanzo wa uchunguzi mwingine

    Mkurugenzi mkuu wa Takukuru amewajibu Chadema kwa kuwataka wakasome vizuri sheria ya kupambana na rushwa kabla ya kulalamika. Mkurugenzi amesema taasisi yake inafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria na anaamini Chadema wakisoma sheria hawatalalamika tena kwani watajua utaratibu wa uchunguzi...
  17. E

    Hongera Waziri wa Elimu kusikia malalamiko yangu niliyoyaweka JF japo walimu walinishambulia

    Naipongeza wizara ya elimu kwakusikia malalamiko niliyoyafikisha kwenu kupitia jukwaa letu pendwa la jf. Nilileta uzi nikiwatetea wazazi na kuwatuhumu baadhi ya walimu wa shule za secondary na msingi nilianza na shule ya secondary ya kata wilayani magu kwa kuagiza watoto wapeleke kilo10 za...
  18. mkiluvya

    Waziri wa Afya: NHIF Tatueni Malalamiko Ya Upatikanaji Wa Baadhi Ya Dawa

    Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) imetakiwa kutatua malalamiko ya upatikanaji wa baadhi ya dawa na vipimo kwa wananchi wenye bima ya afya. Hayo yamesemwa jana na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu wakati wa kikao na Menejimenti ya Mfuko huo katika ofisi...
  19. maroon7

    Ujumbe kwa mkuu wa chuo DIT na waziri wa Elimu Prof. Ndalichako

    Kwanza nichukue fursa hii kuipongeza serikali yetu chini ya Rais wetu Dr. John Pombe Magufuli ambae anapambana usiku na mchana kuhakikisha nchi inasonga kwa kasi usiku na mchana. Pili niwapongeze baadhi ya watendaji wake akiwemo waziri wa Elimu Prof Ndalichako kwa kuendana na kasi ya Rais wetu...
  20. mkiluvya

    TCCIA Manyara watoa ushauri TRA kufuatia Malalamiko ya wafanyabiashara

    Baadhi ya wafanyabiashara mjini Babati mkoa wa Manyara wakitoa maoni yao juu ya utendaji wa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) mkoani hapo,wameonyesha kutoridhishwa na namna wanavyohudumiwa. Wakizungumza na kituo hiki bila kutaja majin yao, wamesema kuwa baadhi ya watumishi katika mamlaka hiyo...
Back
Top Bottom