malalamiko

  1. H

    TFF yapokea barua ya Malalamiko ya Yanga dhidi ya Feisal

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (Kamati) limepokea malalamiko dhidi yako (FEISAL SALUM ABDALLAH) kutoka kwa Young Africans Sports Club (Klabu) kuhusu hali ya mkataba wako na Klabu. Kwa barua hii, unaitwa kufika binafsi na mshauri wako wa kisheria mbele ya Kamati siku ya Jumatano, tarehe...
  2. BARD AI

    TANESCO yafuatilia malalamiko ya ratiba mgawo wa Umeme

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Maharage Chande amesema wanafuatilia malalamiko ya wateja wake ya kutofuatwa kwa ratiba ya mgawo wa umeme, wakiwemo wa Mkoa wa Kilimanjaro. Kwa nyakati tofauti, wananchi wa maeneo mbalimbali nchini wamekuwa wakiulalamikia mwenendo wa...
  3. mitale na midimu

    Jifunze kuwakimbia watu wanaopenda kulaumulaumu na malalamiko: Watakuambukiza

    Malalamiko na lawama yanamatokeo Hasi Sana Kwa wanayoyapenda . Yanaathari kubwa Kwa uchumi,afya ya kimwili na kiakili. Ndio maana Kuna nchi Moja Scandinavia Kuna Sheria inayopinga kulalamikia vitu ambavyo havibadilishiki. (it is illegal to complain). Hasa kulalamikia baridi Kali. Wabongo wengi...
  4. T

    DOKEZO Malalamiko yanayotoka ndani ya DAWASA

    Nawasalimu katika Jina la Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania, DAWASA ni Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa mazingira mkoa wa Dar es salaam pamoja na baadhi ya maeneo ya Pwani. Nianze kwa kupongea juhudi inafsi zinazofanywa na serikali yetu ya kumtua mama ndoo kichwani, na juhudi za kuhakikisha kua...
  5. R

    Waziri Nape Nnauye akiri kupokea malalamiko katika huduma za bando za data

    Waziri Nape Nnauye akiri kuwepo kwa malalamiko katika huduma mbalimbali za mawasiliano ikiwemo gharama kubwa za bando kwa watumiaji wa huduma hizi baada ya kupokea ripoti kutoka Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Mawasiliano la Mamlaka ya Mawasiliano Tannzania (TCRA-CCC). Moja ya lengo...
  6. waBasila

    Malalamiko ya watalii Arusha Airport: Ni malalamiko ya kimaslahi ya madereva waliolalamikiwa na wageni, ila sio malalamiko ya wageni dhidi ya mamlaka

    Na mimi ngoja nisipepese macho. Wala nisifiche jina kwani ukweli haufichwi. Nijuavyo mimi kama niliyekuwepo kiwanja hapo na niliyeshiriki wakati malalamiko yanatolewa na wageni, ni kweli kikundi kipo kama kulivyo na kikundi cha wakata majani, madreva, na cha vijana wa kazi. Ila kikundi hiki cha...
  7. Semahengere

    DOKEZO Malalamiko ya watalii Arusha Airport wizara husika iamke usingizini

    Habari wadau. Niende moja kwa moja kwenye hoja. Kuna kikundi Cha porters (wabeba mizigo) Kiko Arusha Airport, Wanawabebea wageni mabegi kama msaada saa wakishushwa na magari kuwasogezea kwenye deputure lounge si zaidi ya mita tatu hadi tano umbali. Kinachotokea baada ya hapo ni kudaiwa pesa kwa...
  8. A HUMBLE LEADER

    NECTA, kwanini msitumie teknolojia ya malipo kwa wasimamizi wa mitihani ili kuepusha malalamiko kama mkoani Tabora?

    MKOANI TABORA Wasimamizi wa mitihani ya NECTA ya Darasa la nne,kidato cha pili na cha nne walioitwa kwenye semina maalumu pale AMUCTA tarehe 15 na pale Themi Hill tarehe 17 wamelalamika kutolipwa posho za semina na nauli kwa kisingizio eti muongozo wa malipo haujatoka kutokea NECTA...
  9. Idugunde

    WanaChadema mbona mnapenda malalamiko yasiyo na mashiko. Kuna ubaya gani kiti cha rais kupelekwa kanisan? Mmekosa hoja.

    Mnabwatuka hovyo. Mbona hata wananchi wa kawaida huwa wanaenda viti vyao makanisani. Hapa kuna shida gani? Hii ni non sense. 👇🏿
  10. J

    Dkt. Mwakyembe Kuongoza Uchunguzi Malalamiko ya Mtihani wa Law School

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro amemteuwa Dk Harison Mwakyembe kuwa Mwenyekiti wa kamati ya watu saba ili kutafuta chanzo cha kufeli kwa wingi katika mitihani ya mafunzo ya Uanasheria kwa Vitendo (LST). Kuundwa kwa tume hiyo kumekuja baada ya kelele za wananchi kufuatia hoja...
  11. M

    Eddo Kumwembe: Phiri alivyotuondolea kelele za malalamiko kwa Matola

    JINSI maisha yanavyokwenda kasi. Ghafla jina la Suleiman Matola limeondoka katika midomo ya mashabiki wa Simba. Wiki chache zilizopita walikuwa wanaimba aondoke. Sasa hivi wamekaa kimya. Hii ndio tofauti ya Wazungu na sisi. Wazungu hawana unafiki. Kwa mfano kuna kundi kubwa la mashabiki wa...
  12. BARD AI

    Serikali yakiri kupokea malalamiko zaidi ya 6000 ya Uvunjifu wa Haki za Binadamu

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro amesema jumla ya malalamiko ya wananchi kuhusu uvunjifu wa haki za binadamu 6,928 yalipokelewa katika kipindi cha mwaka 2018 hadi 2019. Dk Ndumbaro ameyasema hayo wakati wa kilele cha Maadhimisho ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwa Tume ya Haki za...
  13. K

    Kwa nilichokiona leo pale ofisi za PSRS Dodoma, nashauri wawe na call centre ya kushughulikia malalamiko

    Leo asubuhi nilipigiwa na ndugu yangu yuko mkoa fulani akiniomba niende pale ofisi za psrs nikamsaidie kutatua changamoto flani inayomkabili kwenye account yake. Nimefika sikukuta foleni kubwa kivile ila nimegundua ni kwa nini simu hazipokelewi. Cha kwanza simu ni moja tu pale tena ya mezani...
  14. B

    Tozo ni matokeo ya malalamiko yetu

    Wigo Wa Kodi Uongezwe Kuelekea Wapi? Kwa miaka mingi tumekua tukiilalamikia serikali iongeze wigo wa kodi na isiangalie vyanzo vile vile vilivyo zoeleka kama vinywaji baridi, pombe, sigara na mafuta ya petroli. Kwa bahati sasa hivi vitu vile vilivyozoeleka vingi havijaguswa na vingine...
  15. Nyankurungu2020

    Taifa ambalo wananchi wake wamejaa manug'uniko na malalamiko ni taifa ambalo lina serikali iliyofeli kuongoza

    Kwamba wananchi wanalalama juu ya ugumu wa maisha. Biashara ngumu huku mzunguko wa pesa upo chini. Ajira za kugombania kama watoto wanagombania peremende. Tozo lukuki kama vile hakuna vyanzo mbadala vya kulipatia mapato taifa. Watanzania mpaka ifike 2025 mtakuwa watu wa kulialia na kulalama tu.
  16. J

    Waziri Bashungwa atoa maagizo kuhusu malalamiko ya wananchi katika stendi ya Magufuli Dar Es Salaam

    BASHUNGWA ATOA MAAGIZO KUHUSU MALALAMIKO YA WANANCHI KATIKA STENDI WA MAGUFULI DAR ES SALAAM Na OR-TAMISEMI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Amos Makalla kukutana na wadau na wamiliki wa...
  17. Analogia Malenga

    Rais Samia asema majaji wanawake wamesaidia kupunguza malalamiko dhidi ya Mahakama

    Rais Samia amesema malalamiko kutoka kwa wananchi kwenda kwa mahakama yamepungua kwa kiasi kikubwa ambako kumetokana na sababu mbalimbali ikiwemo kuwa na majaji wanawake. Kwa sasa amesema ameshateua majaji 23 wa kike na 27 wanaume na ameazimia kufikia 50/50. Amesema majaji wanawake wanateuliwa...
  18. Raphael Thedomiri

    Malalamiko ya tozo

    Serikali ina wajibu na inapaswa kubeba jukumu la kuyaondoa malalamiko yetu wananchi wao dhidi yao. Haipaswi kuyafumbia macho na kuziba masikio wasiyasikie, kwani yanaweza hata kuhatarisha utulivu na ustawi wetu wa kijamii. Uwazi kadri iwezekanavyo katika makusanyo ya tozo zetu inaweza...
  19. MURUSI

    Kwenye historia hakuna mabadiliko yaliyoletwa kwa kulalamika

    Hii nchi inaweza kuwa inaongoza kuwa na raia wanao lalamika na hakuna hatua wanayo chukua. Napitia sana vitabu mbalimbali vya kimageuzi duniani, sijaona nchi ambayo baada ya malalamiko ya muda mrefu kuna mageuzi yalifanyika. Kwa kifupi malalamiko ni kele za chura, haziwezi zuia ng'ombe kunywa...
  20. The Assassin

    Nyongeza ya mishahara TUCTA wamasema wamepokea malalamiko, watatoa tamko

    Rais wa Tucta ama shirikisho la vyama vya wafanyakazi amesema wamepokea malalamiko mengi kutoka kwa watumishi wa serikali kuhusu nyongeza za mishahara ya 23% waliokua wanaitegemea kama alivyoahidi rais kwenda kinyume na matarajio yao. Rais wa TUCTA amesema wamepokea malalamiko na watatolea...
Back
Top Bottom