malalamiko

  1. Hali ni tete katika Shule ya Sekondari Nkuhungu Mkoani Dodoma, Walimu malalamiko, Wanafunzi vilio

    Hali ni tete katika Shule ya Sekondari Nkuhungu Mkoni Dodoma, Walimu malalamiko, Wanafunzi vilio. Shule ya Sekondari Nkuhungu Mkoani Dodoma inakabiliwa na changamoto mbalimbali ambazo zimelalamikiwa na Wanafunzi na Walimu shuleni hapo. Shule hiyo ya binafsi ipo Kilometa 10 kutoka katikati...
  2. R

    Taarifa zako binafsi zikitumiwa vibaya au kinyume na makubaliano peleka malalamiko kwa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Wakuu, Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi imeanza kufanya kazi toka Mei 1, mwaka huu 2023 na Tume ipo kuhakikisha huumizwi na watu au taasisi wanaotaka kutumia vibaya taarifa zako kwa maslahi yao. Ikiwa una malalamiko ya taarifa zako kutumiwa vibaya mfano mtu katumia picha zako kwenye...
  3. Malalamiko ya Tulia Ackson yafanyiwe kazi. Nchi imegawanyika na itaendelea kugawanyika

    Mimi ni miongoni mwa watu wenye ushawishi Duniani, ambaye nilipambana kutaka Spika wa Bunge la Tanzania ashindwe IPU , kwa bahati mbaya Tulia alipata Wapinzani dhaifu sana , Wakati ujao tutajitahidi kuweka wapinzani imara (tumejua makosa yetu). Sababu za Mimi kupambana ili Tulia ashindwe...
  4. TAKUKURU ichunguze malalamiko ya Wanafunzi wa Vyuo kutorudishiwa Fedha za 'Refund', kuna kitu hakiko sawa

    Kwa takriban miezi miwili sasa kumekuwa na Malalamiko mfululizo kutoka Wanafunzi wa Vyuo vya Elimu ya Juu kutoka maeneo mbalimbali nchini ambao wanadai Fedha zao za Refund walizolipa wakati wa kujisajili kisha kuahidiwa kurejeshewa wakati wa kuingizwa fedha za Mikopo lakini hadi sasa wengi...
  5. Baada ya malalamiko mengi Mkandarasi wa Reli ya SGR atangaza kufuta mpango wa kupunguza Wafanyakazi

    KUFUTWA KWA ZOEZI LA UPUNGUZAJI WAFANYAKAZI TAREHE 23/10/2023 KWA: YAPI MERKEZI INSAAT VE SANAVIAS TABORA MAKUTOPORA Rejea kichwa cha habari hapo juu Kufuatia malalamiko mengi kuhusa zoezi hili hasa namna ya uchaguzi wa waathirika wa zoezi hili, Uongozi umefuta zoezi hili hadi pale utaratibu...
  6. 2018 kamati ya malalamiko ya TCRA iliitaka Voda imlipe Aboubakar Tsh 1.5m kwa kumtumia SMS bila ridhaa yake

    Aboubakar Ally alienda kamati ya malalamiko ya TCRA kulalamikia suala la kupokea sms kutoka Umojabet bila ridhaa yake. Suala hilo alilalamika Voda lakini hawakuchukua hatua. Walipofika kamati ya malalamiko Vodacom walikubali kuwa mteja wao alikuwa anapokea sms hizo lakini wao hawahusiki na...
  7. Ujue mchakato wa kuwasilisha malalamiko katika Kamati ya Malalamiko ya TCRA

    Ikiwa umepata huduma mbovu ya kimawasiliano, iwe kwenye kisimbuzi au mtandao wa simu ambao wote wanaratibiwa na TCRA. Ziko hatua kadhaa za kufuata ili uweze Kamati ya Malalamiko ikusikilize. 1. Kwanza ni kuwaambia kampuni yako (i.e tigo, voda au azam) ili muelezane vizuri 2. Mkishindwana hapo...
  8. Mwaka 2019 Kamati ya Malalamiko ya TCRA iliitaka Vodacom imlipe mteja Faini ya Tsh. Milioni 1.2 kwa kufanya SIM swap kiholela

    Bahati Mekene alipeleka malalamiko katika kamati ya malalamiko ya TCRA kuhusu Vodacom kufanya swap ya laini yake ambapo ilimletea shida hata kwenye mahusiano yake kwani aliashindwa kuendelea na mpenzi wake baada ya mwenza wake huyo kupiga simu na kupokelewa na mwanaume. Tukio hili lilitokea...
  9. Taarifa Kuhusu Malalamiko ya Wakulima Juu ya Matrekta ya URSUS kutoka Nchini Poland Yawasilishwa Kwenye Kamati ya Bunge

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo imepokea na kujadili taarifa ya hatua zilizofikiwa za utekelezaji wa maelekezo ya Spika wa Bunge kuhusu Malalamiko ya wakulima juu ya Matrekta ya URSUS kutoka Nchini Poland. Taarifa hiyo imewasilishwa na Waziri wa Viwanda na...
  10. NACTVET: Malalamiko kuhusu vyeti yanatakiwa kuwasilishwa kwetu kwa maandishi

    Baada ya malalamiko kutolewe na member kwenye Jukwaa la Habari na Hoja ndani ya JamiiForums.com kuhusu Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kuwazungusha baadhi ya watu ambao wanafanya mabadiliko ya taarifa za vyeti vyao vya elimu, mamlaka husika imetoa maelezo...
  11. Hotuba nyingi za viongozi wa Afrika kwenye mkutano wa UN zimejaa malalamiko

    Viongozi wa nchi zote za dunia wanakutana Marekani kwenye mkutano mkuu wa Baraza la usalama la umoja wa mataifa (General Assembly of United Nations). Hotuba nyingi za viongozi kutoka Afrika ni za malalamiko kuhusu nchi za Magharibi na Marekani kama chanzo Chao kikuu Cha matatizo kwenye nchi zao...
  12. Mwanamke mmoja kati ya Washtaki watatu dhidi ya Antony aondoa malalamiko yake

    Winga huyo wa Manchester United alifunguliwa mashtaka na Wanawake watatu ya unyanyasaji na kuwashambulia, hiyo wamebaki wawili katika mchakato huo. Antony (23) kwa sasa yupo nje ya majukumu ya klabu yake kwa ajili ya kushughulikia mashtaka hayo yakiwemo dhidi ya aliyekuwa mpenzi wake, Gabriela...
  13. S

    Wanaume tuache malalamiko, tuwe watu wa vitendo na maamuzi

    Nimekuwa nikiona malalamiko mengi kuhusu wanawake humu, kila post ni kuwasema wanawake. Sio kwamba nakubaliana na wanachokifanya ila asilimia kubwa ya matatizo yote yanayotupata sisi wanaume tunajisababishia wenyewe. Kila failed long term relationship ni kosa la mwanaume na sio la mwanamke...
  14. T

    Malalamiko kuhusu pesa za kujikimu kwa waajiriwa wapya Halmashauri ya wilaya ileje

    Habari za leo wakuu, Moja kwa moja kwenye mada, pesa za kujikimu kwa waajiriwa wapya zimefika wilayani ileje yapata wiki mbili Sasa, hili lilithibitishwa na katibu ofisini ya DMO kupitia kundi lao la WhatsApp (idara afya). Lakini hadi leo pesa hizo hazijalipwa kwa wahusika na kila wakihoji...
  15. Nimekupa kila kitu, na bado umeniacha" Malalamiko ya madada wengi

    " Nimekupa kila kitu na bado umeniacha?" Alisikika dada mmoja akilalamika Kwa mashemeji JE wanaume?! Sentensi hii ukiiskia, huyu aliepewa kila kitu unamwelewa kweli? Kwani wanaume hii sentensi ina maana gani ukiskia mwanamke analalamika hivi? NYUZI ZANGU ZINGINE 1. Hii ndiyo sababu ya nguvu...
  16. A

    DOKEZO Malalamiko kwa NHIF: Nashindwa kupata huduma za Afya pamoja na kulipia kifurushi cha Tsh. Milioni 1.4

    Madaktari naomba niwaulize, kwani miwani sio matibabu ya macho? Kama uono wako unategemea miwani na usipovaa sio tu kwamba huoni bali unaumwa sana na kichwa, kwanini sasa NHIF wanagoma kulipia huduma ya miwani katika vifurushi vyao? Wiki mbili hizi nimepata mitihani ya kuuguza mzazi wangu na...
  17. UPDATE: Wizara ya Afya yaunda Kamati kuchunguza Malalamiko ya Madaktari Watarajali

    UPDATE: WIZARA YA AFYA YAUNDA KAMATI KUCHUNGUZA MADAI YA MADAKTARI WATARAJALI Madaktari Tarajali wanatoa malalamiko yao dhidi ya Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT) Akizungumza katika mkutano huo wa Wanahabari, Dkt. Warsha Wilson ambaye ni mmoja wa waathirika wa matokeo mabaya ya...
  18. Baada ya kushinda lalamiko dhidi ya Juma Choki, Loren Japhet apeleka tena malalamiko dhidi ya Nasibu Ramadhan.

    Nilishasema huyu kijana huwa wanamuonea sana linapokuja suala la maamuzi. Kule lile pambano ambalo alicheza na Juma Choki na ushindi akapewa Juma Choki aisee ule uamuzi wengi tuliutilia mashaka uamuzi sahihi ulikuwa apewe ushindi Loren Japhet au matokeo yawe sare. Loren Japhet alipeleka...
  19. Ikitokea DP World wakachoka na Upuuzi wetu na kuhamia Kenya, nisisikie Malalamiko haya kwani 'Nitapiga' Mtu

    1. Vyuma vimekaza ( Pesa hakuna ) 2. Ajira hakuna 3. Rais Samia hafai 4. Uchumi wa nchi Unaanguka 5. CCM haifai 6. Hatuvutii Uwekezaji 7. Nchi inachelewa Kimaendeleo Mpuuzi yoyote nikimsikia akiyasema haya Saba ( 7 ) niliyoyataja hapa juu kama DP World wakichoka na Makelele yetu ya...
  20. DOKEZO Malalamiko yaendelea kuhusu malipo ya 'Mchango wa Uendeshaji wa Shule Tsh 65,000' licha ya Serikali kufuta ada

    Ujumbe wa Mdau ambaye mtoto wake anasoma kidato cha Tano katika Shule ya Sekondari Ruvu ametoa povu: Jamani tusaidieni kupaza sauti. Tuliambiwa ada ya shule zimeondolewa lakini bado wazazi tunatakiwa kulipa Tsh. 65,000/= kama pesa ya uendeshaji ili hali fomu ya kujiunga inamtaka kwenda na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…