Mheshimiwa huu ni wakati wa wewe kuitisha Mkutano na kufafanua mambo ya Kimataifa ikiwamo usitishwaji wa Msaada kwa Tanzania. Nataarifiwa EU nao wapo mbioni.
Utawala wa Rais Donald Trump umeamua kusitisha usambazaji wa dawa muhimu za kuokoa maisha kwa magonjwa ya VVU, malaria, na kifua kikuu, pamoja na vifaa vya matibabu kwa watoto wachanga, katika nchi zinazosaidiwa na Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID).
Hatua hiyo ni sehemu ya...
Ewe Mola Mwenye rehema, tunakuomba umuongoze Freeman Mbowe katika uchaguzi huu wa ndani wa CHADEMA.
Mpe hekima, busara, na nguvu za kushinda kwa haki.
Ikiwa ushindi wake ni kwa manufaa ya chama, taifa, na mustakabali wa demokrasia, basi tuombe mapenzi Yako yatimie.
Mshushie baraka na...
Malaria, Typhoid na UTI ni magonjwa ambayo yanaongoza kwa kuwa ‘diagnosed’ kwa maana nyepesi ni magonjwa ambayo utaambiwa unayo mara nyingi kama si mara zote unapokwenda kupima katika hospitali au maabara hasa hizi ndogo ndogo za mtaani.
Magonjwa haya kwa mujibu wa repoti za ‘ndomo’ na takwimu...
Join RSTMH & who on #WorldNTDDay for a free webinar exploring climate change, malaria, & NTDs. 📅 30 Jan, 12:30–1:30 PM GMT
Highlights: insights from a major scoping review + expert speakers
Don't miss it - register now:
#ClimateHealth #NTDs #BeatNTDs
Miaka ya 2000's niliumwa malaria nikanywa amodiaquine ziko kama tatu hazizidi tano ila sitakaa nisahau ile experience ilikua unachungulia kaburi ile dawa iliongeza maumivu maradufu bora mchana usiku ndo maamuvi yaanapewa greenlight hulalali mwili ulichoka na nguvu zote ziliniishia
Week hii...
Malaria 2" ni mmoja wa wanachama wa JamiiForums (JF). Kama ilivyo kwa wanachama wengine maarufu wa jukwaa hilo, mara nyingi jina lake linatajwa kwenye mijadala ya mtandaoni inayohusisha masuala ya kisiasa, kijamii, au kiuchumi. Wanachama kama Malaria 2 hujulikana kwa michango yao yenye mtazamo...
Kuna muda ukiwafikiria kina Faizafoxy, Adimisago au Malaria 2 kuna picha inakujia kuhusu changamoto wanazokutana nazo waisrael .
Hawa watu wako rigid, ni wagumu kuwabadilisha hata kama msimamo wao utagharimu uhai
Utafiti unaonyesha kuwa chanjo mpya ina ufanisi zaidi ya 75% katika kuzuia magonjwa na vifo vikali katika mwaka wa kwanza na kwamba kinga huongezwa kwa angalau mwaka mmoja zaidi kwa kupata chanjo ya ziada yaani booster.
Zaidi ya 94% ya takribani visa milioni 249 vya malaria duniani na vifo...
Natanguliza salama kwa WanaJF wote natumain ni wazima kuja kwangu hapa leo nimepatwa na typhoid so nikaenda kwa doctor nikapata vipimo ×3 UTI, Malaria na typhoid majibu yakaja kuwa naumwa Typhoid na Malaria.
Nikapewa dozi kwa maralia nimetumia mseto na panadol na kwa upande wa typhoid nlipewa...
Nchi ya Djibouti imeamua kutumia njia tofauti baada ya kuona wanazidiwa na malaria. Imekua ni nchi ya pili baada ya bukina faso kufanya kitu kama hiko.
Kwa nini Djibouti inatoa mbu waliobadilishwa vinasaba?
Malaria huua zaidi ya watu 600,000 kila mwaka duniani kote. Malaria ni ugonjwa hatari...
Wakuu kwema,
Siku tatu zilizopita mwili wangu ulikuwa umechoka sana Basi nikaamua kwenda kupima ila nilipoenda majibu yakasema sina malaria, ila jana hali iliendelea kuwa tete nikaendelea kubanwa na kifua ambapo uchovu ulinizidi na masikio kuto kusikia vizuri, nilipoona kwenye ishu ya kutosikia...
The World Mosquito Program (WMP) is a not-for-profit group of companies owned by Monash University that claims it works to protect the global community from mosquito-borne diseases such as dengue, Zika, yellow fever and chikungunya. But is this true.They have projects operating in 14 countries...
Chanjo ya Ugonjwa wa Malaria inayojulikana kama RTS,S, imeanza kutolewa kwa Watoto barani Afrika baada ya kuidhinishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) ikiwa ni baada ya Majaribio yaliyofanyika katika Nchi za Ghana, Malawi na Kenya.
Pia, imeelezwa kuwa Chanjo nyingine iliyoidhinishwa ni...
Ni mbu mpya mwenye uwezo na kasi kubwa ya kueneza malaria Afrika. Anazaliana zaidi mijini, vimelea vyake huweka kambi kweny ini.
Wataalamu waeleza athari zaidi, Serikali nayo yajipanga kumdhibiti. Huchukua kati ya siku 10-14 tangu kuanguliwa kwa mayai hadi kuwa mbu kamili.
Wizara imeendesha...
Mambo muhimu juu ya udhibiti wa Mbu waenezao Malaria kwa njia za Utangamano;
Matumizi sahihi ya Vyandarua vyenye dawa kwa kila mwanajamii kila siku
Upulizaji viuatilifu ukoko kwenye kuta ndani ya nyumba ni njia fanisi ya kuua mbu waenezao malaria na hivyo kupunguza maambukizi ya malaria...
Wajawazito wapo katika hatari kubwa zaidi ya kupata ugonjwa wa Malaria katika Jamii. Dawa ya SP hutolewa kukinga madhara ya Malaria kwa kuua vimelea vinavyojificha kwenye kondo la nyuma.
TIBA KINGA YA MALARIA KWA WAJAWAZITO (SP)
Malaria wakati wa ujauzito ni hatari zaidi kwa mama na mtoto aliye...
Malaria ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vinavyojulikana kama 'Plasmodium' ambavyo huenezwa na mbu jike aina ya Anofelesi.
Ugonjwa wa Malaria huenea kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine pale mbu mwenye vimelea vya malaria anapomuuma mtu mwingine na kuacha vimelea mwilini mwake.
DALILI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.