Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria Tanzania ya Mwaka 2022 na Ugawaji wa Magari ya Kubebea Wagonjwa na Vifaa Tiba katika Ukumbi wa Mikutano wa JNICC leo tarehe 28 Oktoba, 2023...
UTANGULIZI.
Kipindi , Rais akiwa Hayati B.Mkapa alijitahidi sana kwenye kuboresha Taasisi, mashirika, wizara za Serikali zifanye kazi Kwa ufanisi Kwa kuwaweka watu makini na wenye ujuzi unao stahili kwenye vitengo mbalimbali vya Serikali.
Moja ya sera yake kubwa ilikuwa ni UKWELI NA UWAZI...
Kati ya nchi za kwanza kabisa ulimwenguni kupata chanjo hii ya malaria ya kwanza kabisa duniani ni Kenya, Rwanda na Burundi. Watanzania tusibaki nyuma katika hili.
18 million doses of first-ever malaria vaccine allocated to 12 African countries for 2023–2025: Gavi, WHO and UNICEF
World Health...
Nchi zilizotajwa ni pamoja na Benin, Burkina Faso, Burundi, Cameroon, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Liberia, Niger, Sierra Leone na Uganda ambazo zitaungana na Ghana, Kenya na Malawi zilizoanza kupokea Chanjo hiyo.
Taarifa ya Shirika la Afya Duniani imesema jumla ya Chanjo Milioni 18...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 54, leo Juni 23, 2023.
Tanzania kutokomeza Ugonjwa wa Malaria ifikiapo mwaka 20230
Naibu Waziri wa Afya Dr. Godwin Mollel amesema hadi sasa kuna mikoa zaidi ya 9 nchini iliyo na kiwango cha Maambukizi ya Ugonjwa wa Malaria chini...
Kama unaishi Dar, chukua tahadhari mapema maana kuna "mbu" mmoja hatari sana anayeeneza malaria kali ambayo inapelekea watu wanalazwa mpaka wodi za wagonjwa mahututi.
Hakikisha huachi kupuliza dawa ya kuua mbu kila jioni, na unalala kwenye chandarua salama kisicho na matundu yanayoingiza mbu.
TAA YA UMEME INAVYOWEZA KUZUIA MALARIA KWA KUNASA NA KUUA MBU
Utangulizi
Malaria ni miongoni mwa magonjwa ambayo yamekuwa tatizo kubwa na umekuwa ukiuua watu miaka hadi miaka. Malaria husababishwa na mbu jike ajulikanaye kama Anofelesi. Katika nchi zinazoendelea malaria ni ugonjwa unaosababisha...
Shehe mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja amesikika na kuonekana hadharani akipinga vikali chanjo ya malaria kwa watanzania kwa kuhofia kuwa huenda imechanganywa na homoni za ushoga. Alitamka maneno hayo mbele ya Waziri wa Afya, huku akishangiliwa na kutuzwa na waislamu...
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mwimbaji Staa wa Bongofleva Naseeb Abdul Diamond Platnumz @diamondplatnumz na Msanii Zuwena Mohamed Shilole @officialshilole kuwa Wajumbe wa Baraza la Taifa la Kutokomeza Malaria.
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu @ummymwalimu ametangaza uteuzi huo...
Kila ifikapo Aprili 25 dunia inaadhimisha siku ya malaria. Tangu kutuingine kwenye karne ya 21, Shirika la Afya duniani (WHO) limekuwa likitangaza makadirio ya idadi ya watu wanaofariki kwa ugonjwa huu. Wakati huohuo WHO na jamii ya kimataifa zimefanya kazi ya kuunga mkono juhudi za serikali za...
#Nigeria imekuwa Nchi ya pili duniani kuidhinisha majaribio ya Chanjo mpya ya #R21Malaria iliyotengenezwa na Wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha Oxford, Uingereza. Majaribio ya kwanza yamefanyika #Ghana.
Mkuu wa Idara ya Kitaifa ya Chakula na Dawa wa Nigeria, #MojisolaAdeyeye, amesema Chanjo hiyo...
Mdau wa JamiiForums analalamika kuwa alitumia dawa za kutibu Ugonjwa wa Malaria zinazoitwa EKELFIN ambazo baadaye zilimsababishia kupatwa na mchubuko sehemu za siri na midomoni.
Anashangaa kwanini Serikali haitoi taarifa kwa watumiaji juu ya madhara ya dawa hizi kwa binadamu.
Ni kweli kuwa...
Hivi unakumbuka mara ya mwisho uliumwa maradhi gani?
Ripoti ya utafiti wa ufuatiliaji kaya (NPS) 2020/2021, imeyaorodhesha maradhi matano yanayoongoza kulaza wagonjwa hospitalini nchini, ambayo ni malaria (asilimia 0.7), matatizo ya uzazi (asilimia moja), homa (asilimia 0.4), tumbo (asilimia...
Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amesema aliyekuwa Katibu wa CCM Dr. Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF na hajawahi kumiliki kadi ya chama hicho.
Chanzo: ITV Dakika 45
Malawi imeanza kampeni kubwa ya chanjo ya watoto wachanga dhidi ya Malaria ambayo ni kampeni ya kwanza kabisa duniani, mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini Dk Neema Kimambo amesema.
Chanjo ya RTS,S, kama inavyojulikana, imekuwa katika majaribio nchini Malawi, Ghana na Kenya katika...
Wanasayansi wanasema kwamba aina vamizi ya mbu anayeeneza malaria kutoka Asia imeenea hadi Afrika, ambako ni tishio hasa kwa wakazi wa mijini.
Barani Afrika, ambapo vifo vingi vya Malaria duniani hutokea, ugonjwa huu huenezwa zaidi na mbu maalumu kwa maeneo ya vijijini.
Lakini aina ya mbu wa...
Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), William Byansi ameagiza kuanza utaratibu huo ili kuwalinda askari na wafanyakazi wa idara za haki na kutambua mapema hali za kiafya na magonjwa ya watuhumiwa.
Kwa mujibu wa DPP wanalenga kuzuia usambaaji wa magonjwa kama TB na VVU kwa sababu watuhumiwa...
Majaribio yaliyofanyika kwa zaidi ya watoto 400 wa Afrika Magharibi ya chanjo hiyo yanaonyesha kuwa inatoa ulinzi wa hadi 80% kwa hadi miaka 2, dhidi ya #Malaria inayogharimu maisha ya takriban watoto 500,000 wa Kusini Mwa Jangwa la Sahara kila mwaka
Chanjo hiyo imetengenezwa na Wanasayansi...
WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, ameagiza matibabu ya malaria kutolewa bure kwenye vituo vya kutolea huduma za afya vya serikali.Pia amewataka watoa huduma kuacha kutoza fedha kwa wananchi wanaofika kufanya vipimo vya malaria na kifua kikuu.
Pia amewataka watoa huduma kuacha kutoza fedha kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.