malaria

  1. Sildenafil Citrate

    Ugonjwa wa Malaria kupata Chanjo ya pili hivi karibuni

    Chuo kikuu cha Oxford kimekamilisha jaribio la kwanza la uchunguzi wa kitabibu kuhusu ufanisi wa chanjo mpya ya ugonjwa wa Malaria iliyopewa jina la R21/Matrix-M. Kwa mujibu wa chapisho la uchunguzi huu lilolotolewa kwenye Jarida la The Lancet, chanjo hii inaweza kutengeneza kingamwili zenye...
  2. beth

    Wizara ya Afya: 94% ya Watanzania wapo katika hatari ya kupata maambukizi ya Malaria katika kipindi cha mwaka mzima

    Kwa mujibu wa Takwimu za Wizara ya Afya, 94% ya Watanzania wapo katika hatari ya kupata maambukizi ya Ugonjwa wa #Malaria katika kipindi cha mwaka mzima. Hayo yameelezwa na Waziri Ummy Mwalimu katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani Amesema kwa Mujibu wa takwimu za Mwaka 2021...
  3. L

    Heshima kwa bibi Tu Youyou aliyefanikiwa kuvumbua dawa ya kutibu malaria ya Artemisinin miaka 50 iliyopita

    Leo tarehe 25 Aprili ni Siku ya Malaria Duniani. Kwa maelfu ya miaka, vita vya binadamu dhidi ya malaria havijawahi kukoma. Katika miaka ya 1960, Bibi Tu Youyou na timu yake hatimaye walivumbua artemisinin yenye ufanisi wa kutibu malaria baada ya kuchunguza mamia ya dawa za jadi za Kichina...
  4. JamiiForums

    Aprili 25: Maadhimisho ya Siku ya Malaria Duniani na jitihada za kuitokomeza

    Ugonjwa wa Malaria unaendelea kuathiri vibaya Afya na maisha ya watu duniani kote licha ya kuwa unazuilika na kutibika. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Mtoto mmoja hufariki dunia kwa Malaria kila dakika mbili Inakadiriwa kulikuwa na Visa vipya Milioni 241 vya Malaria na Vifo 627,000...
  5. L

    Ushuhuda wangu kuhusu kupona Malaria kwa kutumia mbegu za Mlonge

    Mwaka 2008 wakati naanza mwaka wa kwanza chuo nilikua na Malaria ya kujirudiarudia ambapo nilikua siwezi kukaa miezi mitatu bila kuumwa Malaria. Nilikua sina raha nikiwaza kuhusu huu ugonjwa uliokua unanisumbua bila kujua nini ufumbuzi wake. Mwaka jana mwezi wa tatu nikaona ngoja niingie...
  6. L

    Zanzibar yafanikiwa vita dhidi ya malaria kabla ya 2023, huku China ikitoa mchango katika uvumbuzi wa Artemisinin

    Pili Mwinyi Malaria ni ugonjwa hatari sana unaotokana na mbu jike ambaye anaambikiza binadamu na baadaye akuwa na homa kali, baridi, na mafua. Ugonjwa huu unaweza kusababisha kifo au hata matatizo ya akili pale malaria inapopanda kichwani. Mafanikio makubwa yamepatikana duniani katika kudhibiti...
  7. Jamii Opportunities

    Capacity Development Specialist - Tanzania Malaria Case Management and Surveillance

    Capacity Development Specialist - Tanzania Malaria Case Management and Surveillance "Job Details" Dar es Salaam, Tanzania, United Republic of Job Identification 101343 Job Category Program Delivery Locations Abt Associates, Dar es Salaam, TZ Job Schedule Full time Job Description...
  8. Jamii Opportunities

    Communications and Advocacy Officer, Malaria and Neglected Tropical Diseases (11217) at PATH

    PATH is a global nonprofit dedicated to achieving health equity. With more than 40 years of experience forging multisector partnerships, and with expertise in science, economics, technology, advocacy, and dozens of other specialties, PATH develops and scales up innovative solutions to the...
  9. beth

    #COVID19 WHO: Janga la Corona limechochea ongezeko la vifo vitokanavyo na Malaria

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema vikwazo katika Huduma ya Afya vilivyotokana na janga la COVID-19 vimepelekea vifo 69,000 zaidi vya Malaria mwaka 2020, ikilinganishwa na mwaka uliopita. Takriban watu 627,000 ulimwenguni, wengi wao watoto wadogo kutoka Mataifa masikini ya Afrika walifariki...
  10. Analogia Malenga

    #COVID19 Dola milioni 115.7 zatolewa kwa ajili ya kutoa chanjo za Malaria Afrika

    Muungano wa chanjo ulimwenguni wa Gavi Alhamisi umesema kwamba bodi yake imeidhinisha dola milioni 155.7, kuelekea zoezi la utoaji wa chajo za kwanza za malaria kwa watoto kwenye mataifa yalioko chini ya jangwa la Sahara barani Afrika. Mwenyekiti wake Jose Manuel Barroso ameeleza kufurahishwa...
  11. Kamanda Asiyechoka

    Nina mashaka na malaria test kit, ni bora mafundi maabara watumie hadubini kama zamani

    Zaidi ya mara nne naenda kupima naambiawa hakuna malaria. Nikiangalia mwili wangu upo hoi na hauna nguvu, watu wa hospital Hai wanapima kwa kutumia Malaria test Kit. Mbona hawatumii darubini kama zamani? Maana matokeo yanazingua jamani, mtu unaumwa alafu unaambiwa hauumwi.
  12. Cannabis

    Humphrey Polepole apinga chanjo ya Malaria, amesema haiaminiki

    Kupitia ukurusa wake wa Twitter Humphrey Polepole amepinga chanjo ya Maralia iliyoidhinishwa na WHO kwa kusema kuwa haiaminiki na kuwataka walioitengeneza waseme inafanyaje kazi kwenye miili ya watu. Chanjo hiyo imekuwa ikifanyiwa utafiti kwa miaka kadhaa na WHO imeshauri nchi zinazokabiliana na...
  13. J

    Malaria yapata Chanjo na WHO imeithibisha, utafiti ulianza mwaka 1980

    Uingereza imefanikiwa kutengeneza chanjo ya Malaria ugonjwa unaosumbua sana Afrika. Majaribio ya Chanjo hii yalifanyika katika nchi tatu za Ghana, Kenya na Malawi ambapo watoto zaidi ya 800,000 wamechanjwa. Chanjo hii imelengwa maalumu kwa ajili ya Afrika hivyo nchi zote barani humo zitapatiwa...
  14. Lycaon pictus

    Gharama za vifurushi zimepanda kwa asilimia 100

    Hili suala kwakweli limekuwa baya sana. Kadri siku zinavyosonga, maisha ya watu yanazidi kutegemea mtandao. Na kwa kawaida teknolojia inavyozidi kukua ndivyo bei inapozidi kushuka. Sasa inakuwaje hawa jamaa wanaongeza bei kwa asilimia 100. Kwa Tsh 1000 nilikuwa napata GB 1 ya tigo. Sasa napata...
  15. TheDreamer Thebeliever

    Hii ndio orodha ya watu ambao wapo kwenye hatari kubwa ya kupatwa na malaria

    Habari wadau! Amini usiamini lakini huu ndio ukweli waru awa wapo kwenye hatari kubwa ya kupatwa na malaria kuliko watu wowote. 1. Wajawazito 2. Vibonge 3. Wakimbiaji (joggers) 4. Watu wenye bustani za maua nyumbani kwao 5. Walevi 6. Wanaopenda kuvaa night dress nyeusi au nguo nyeusi wakati wa...
  16. Randy orton

    #COVID19 Malaria ndio inaua zaidi kuliko COVID19, mbona nguvu nyingi ziko kwenye COVID19

    Moja kwa moja kwenye uzi. Ugonjwa unaongoza kuua watu Tanzania kwa miaka na miaka ni malaria, lakini hatujawahi kutumia nguvu yeyote ya kutisha kukabiliana nao zaidi ya kupeana neti za misaada. Magonjwa mengine yaliyoua /yanayoua watu wengi sana ni Shinikizo la damu na Sukari//kisukari ...
  17. The perfect guy

    Kuani msibani na sherehe Kunavyochangia Kuenea kwa ugonjwa wa malaria

    Jamani sote tunajua malaria ni ugonjwa gani ?Moja ya jambo gumu na ambalo limeshindwa kufanyiwa utafiti na wasomi wetu ni hii kadhia ya kuhani msibani na sherehe mbali mbali Kama harusi ndo chanzo kikuu Cha kuenea huu ugonjwa wa malaria Barani Afrika kwa ujumla,samahani kwa mtakao ona kma...
  18. K

    Nimekutwa na UTI, Typhoid na Malaria

    Msaada wenu wa mawazo wakubwa,nimetoka zahanati sasa hivi kupima nimekutwa na maralia 3,typhoid na UTI 60. Naombeni ushauri nianze dozi zote kwa pamoja ama nianze na maralia halafu baadae nipige za UTI & typhoid kwa maana nahisi nikitumia dozi zote kwa wakati mmoja naweza kuhalibu zaidi.
  19. L

    China itaendelea kushirikiana na Afrika kupambana na malaria baada ya kuidhinishwa na WHO kuwa nchi isiyo na ugonjwa huo

    Mapema wiki hii mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani WHO Bw. Tedros Ghebreyesus aliitangazia dunia kuwa China imetokomeza ugonjwa wa Malaria. Taarifa iliyotolewa na WHO inasema Bw. Tedros amepongeza mafanikio hayo ambayo ametaja kuwa yamepatikana kutokana na kazi ngumu iliyofanyika kwa zaidi ya...
  20. beth

    China yaondokana na Malaria baada ya jitihada za miaka 70

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema China imeondokana na Malaria baada ya jitihada za miaka 70. Imeelezwa, katika miaka ya 1940, Taifa hilo lilikuwa linaripoti takriban visa Milioni 30 kwa mwaka WHO imesema Mataifa yapatayo 40 yameshida vita dhidi ya Malaria na China ni Taifa la kwanza...
Back
Top Bottom