malaria

  1. comte

    Serikali tuelezeni hatma ya kiwanda hiki wakati watu wakiendelea kufa kwa malaria

    Marehemu JPM alitembelea kiwanda hiki na kukukta mrundikano wa viuatilifu vya mbu wa malaria. Kwa uzalendo wake akaamua halmashauri zote zinunue dawa hizo na kuzitumia kupulizia mazalio ya mbu na hazina ingekilipa kiwanda hicho moja kamoja toka kwenye bajeti za halmashauri. Nadhani hela...
  2. Marathon day

    Pendekezo: Matibabu ya Malaria yawe bure

    Nashauri serikali yetu tukufu wafikirie Malaria tiba yake iwe Bure. Mfano Kenya matibabu na vipimo vya Malaria ni Bure Kama sijakoaea. Fikiria mtu kupima malaria ni Bure ila ukija upande wa tiba inakua mtihani. Maeto ambao unahati punguzo (nembo ya Jani) mahospitalini hazionekani, badala yake...
  3. Linguistic

    Sakata la KEMSA nchini Kenya

    Sakata la Ufisadi wa Kemsa nchini Kenya limesababisha wazungu kuacha kutoa Pesa za Malaria, Ukimwi na afya kwa ujumla! Sasa hivi wagonjwa na waathirika wanahangaika na Viongozi nao wanahangaika kurudisha Imani kwa Mabeberu ili waendelee kupatiwa misaada! Ubinafsi umepitiliza Afrika.
  4. babu M

    Malaria vaccine hailed as potential breakthrough

    A malaria vaccine has proved to be 77% effective in early trials and could be a major breakthrough against the disease, say its developers from the University of Oxford. Malaria kills more than 400,000 people a year, mostly children in sub-Saharan Africa. But despite many vaccines being...
  5. FRANCIS DA DON

    Chanjo ya Malaria ipo njiani; je, utakubali kuchoma chanjo hiyo?

    Kwa miaka karibu 100, hapakuwa na juhudi kubwa katika kutafuta chanjo ya Malaria, bali makampuni yalijikita zaidi kwenye kutengeneza dawa, maana ilikuwa inalipa zaidi. Ghafla baada ya kuzuka Corona na wakaweza kuja na ‘Chanjo’ ndani ya miezi michache, na baada ya Afrika kuigomea chanjo hiyo...
  6. Miss Zomboko

    Utafiti: Mabadiliko ya vimelea vyenye usugu dhidi ya dawa ndiyo chanzo cha ugonjwa wa Malaria kuendelea kuenea Afrika

    Watafiti leo Alhamisi wametoa ripoti kuhusu ushahidi wa kwanza wa kidaktari kwamba mabadiliko ya vimelea vyenye usugu dhidi ya dawa ndiyo chanzo cha ugonjwa wa Malaria kuendelea kuenea barani Afrika. Wataalamu wa dawa wamekuwa na wasiwasi kwa muda mrefu kuhusu kuibuka kwa tatozo la usugu dhidi...
  7. N'yadikwa

    Hivi tukitumia DDT hatuwezi kuondokana kabisa na mbu na hatimae kuagana na Malaria?

    Nawaza kama Serikali ifanye utafiti juu ya kuangamiza kabisa mazalia ya mbu nchini kwa kutumia DDT ili tuagane kabisa na Malaria. Hili gonjwa linazingua mjue. Hata kama ilizuiwa mbona nasikia kuna nchi nyingi tu wanaendelea kuitumia na huko India inaendelea kuzalishwa kama kawaida. "Malaria...
  8. MEGATRONE

    Nahitaji Dawa za Mseto za Malaria kwa bei ya jumla

    Anayeuza Dawa za Mseto wa Malaria kwa bei ya jumla anicheki kwa no 0788364580
  9. Red Giant

    Bila malaria wazungu wangetuangamiza na kukaa Afrika

    Kila sehemu walikoenda, lengo kuu la wazungu ilikuwa na kuanzisha makazi napya na kuangamiza jamii ya hapo. Wamewaangamiza wa Aborigines wa Australia hadi wamebaki wa kuhesabu. Huko Amerika wamewaangamiza Wahindi Wekundu na leo Wahindi Wekundu ni wa kuhesabu hapa na pale. Walitumia magonjwa...
  10. Kididimo

    Mbunge anasema hakujawahi kuwa na chanjo ya Malaria; Waziri msomi yuko kimya. Ukweli tujitizame, kuna mahali hapako sawa

    Nimemsikiliza Mbunge mmoja bungeni jana kama sijakosea ni Mbunge wa Maswa, akisema Wazungu wanabagua aina ya magonjwa na chanjo zake ili watufanyie biashara. Akatolea mfano wa Malaria kuwa hawajawahi kutafuta chanjo huku wakijua ndiyo inauwa watu wengi Afrika. Na, wanahangaika na chanjo ya...
  11. Nigrastratatract nerve

    WHO inatakiwa izijibu hoja za Rais Magufuli kwa umakini mkubwa. Tropical diseases kama TB, Malaria kwanini hazina chanjo na zinaua sana?

    Shirika la Afya Duniani ni kibara na chombo muhimu cha kutekeleza Sera za mabeberu moja wapo ya ajenda muhimu ya mabeberu ni kuitawala mifumo ya Dunia kwa ku-centralize mamlaka ili hii sera ifanikiwe ni lazima kwanza wajiimarishe kichumi waendelee kuwa superpowers na ili waendelelee super powers...
  12. robinson crusoe

    Hizi hotuba za kisiasa za Rais Magufuli zitatuponza. Tuchague mambo ya kusema hadharani

    Tunaweza tukasikilizwa au hapana, ukweli ni kwamba rais anatakiwa kusaidiwa jinsi ya kuchagua maneno ktk majukwaa ya kisiasa. Tunaona jinsi Rais anavyotumia jukwaa na kujisahau kwamba maneno ya rais hutafsiriwa na ofisi zote nchini na kuvuka mipaka. Ni vibaya kwa rais kutoonesha imani na chanjo...
  13. B

    Dawa ya Malaria aina LUMERAX yapanda bei mara mbili

    Dawa aina ya Lumerax 80/480 mikoa ya Kaskazini ilikuwa inauzwa sh 5,000 haijapita miezi 5 toka ninunue dawa hiyo ili inisaidie kutibu malaria, leo hii nimeenda karibia maduka yote ya dawa nimeambiwa inauzwa sh 10,000, najiuliza kwanini dawa hii imepandishwa bei namna hii, kama mtu mwenye uwezo...
  14. FRANCIS DA DON

    Ni mwaka wa tano sasa, sijwahi kusikia wala kuona mtu anaumwa malaria, uchawi gani huu?

    Miaka ya 2015 kurudi nyuma, binafsi ilikuwa haipiti mwaka sijumwa malaria, na haipiti wiki lazima nisikie habari za mtu wangu wa karibu au rafiki au jirani au ndugu wa mbali kaumwa malaria. Lakini toka 2015 kuja mbele hali imekuwa ya miujiza kabisa, sisikii wala kuona mtu anaumwa, si mimi wala...
Back
Top Bottom