malaria

Malaria is a mosquito-borne infectious disease that affects humans and other animals. Malaria causes symptoms that typically include fever, tiredness, vomiting, and headaches. In severe cases it can cause yellow skin, seizures, coma, or death. Symptoms usually begin ten to fifteen days after being bitten by an infected mosquito. If not properly treated, people may have recurrences of the disease months later. In those who have recently survived an infection, reinfection usually causes milder symptoms. This partial resistance disappears over months to years if the person has no continuing exposure to malaria.Malaria is caused by single-celled microorganisms of the Plasmodium group. The disease is most commonly spread by an infected female Anopheles mosquito. The mosquito bite introduces the parasites from the mosquito's saliva into a person's blood. The parasites travel to the liver where they mature and reproduce. Five species of Plasmodium can infect and be spread by humans. Most deaths are caused by P. falciparum because P. vivax, P. ovale, and P. malariae generally cause a milder form of malaria. The species P. knowlesi rarely causes disease in humans. Malaria is typically diagnosed by the microscopic examination of blood using blood films, or with antigen-based rapid diagnostic tests. Methods that use the polymerase chain reaction to detect the parasite's DNA have been developed, but are not widely used in areas where malaria is common due to their cost and complexity.The risk of disease can be reduced by preventing mosquito bites through the use of mosquito nets and insect repellents, or with mosquito control measures such as spraying insecticides and draining standing water. Several medications are available to prevent malaria in travellers to areas where the disease is common. Occasional doses of the combination medication sulfadoxine/pyrimethamine are recommended in infants and after the first trimester of pregnancy in areas with high rates of malaria. As of 2020, there is one vaccine which has been shown to reduce the risk of malaria by about 40% in children in Africa. Efforts to develop more effective vaccines are ongoing. The recommended treatment for malaria is a combination of antimalarial medications that includes an artemisinin. The second medication may be either mefloquine, lumefantrine, or sulfadoxine/pyrimethamine. Quinine along with doxycycline may be used if an artemisinin is not available. It is recommended that in areas where the disease is common, malaria is confirmed if possible before treatment is started due to concerns of increasing drug resistance. Resistance among the parasites has developed to several antimalarial medications; for example, chloroquine-resistant P. falciparum has spread to most malarial areas, and resistance to artemisinin has become a problem in some parts of Southeast Asia.The disease is widespread in the tropical and subtropical regions that exist in a broad band around the equator. This includes much of sub-Saharan Africa, Asia, and Latin America. In 2018 there were 228 million cases of malaria worldwide resulting in an estimated 405,000 deaths. Approximately 93% of the cases and 94% of deaths occurred in Africa. Rates of disease have decreased from 2010 to 2014, but increased from 2015 to 2017, during which there were 231 million cases. Malaria is commonly associated with poverty and has a major negative effect on economic development. In Africa, it is estimated to result in losses of US$12 billion a year due to increased healthcare costs, lost ability to work, and negative effects on tourism.

View More On Wikipedia.org
  1. Rais Samia azindua Ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto, Viashiria vya Malaria na Ugawaji wa Magari ya Kubebea Wagonjwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria Tanzania ya Mwaka 2022 na Ugawaji wa Magari ya Kubebea Wagonjwa na Vifaa Tiba katika Ukumbi wa Mikutano wa JNICC leo tarehe 28 Oktoba, 2023...
  2. SoC03 Takwimu za wizara ya afya (Malaria, ukimwi) ziwe zenye ukweli wenye mashiko na rahisi kupatikana

    UTANGULIZI. Kipindi , Rais akiwa Hayati B.Mkapa alijitahidi sana kwenye kuboresha Taasisi, mashirika, wizara za Serikali zifanye kazi Kwa ufanisi Kwa kuwaweka watu makini na wenye ujuzi unao stahili kwenye vitengo mbalimbali vya Serikali. Moja ya sera yake kubwa ilikuwa ni UKWELI NA UWAZI...
  3. F

    Chanjo ya kwanza kabisa ya malaria inasambazwa Afrika. Nchi 12 za kwanza kupatiwa

    Kati ya nchi za kwanza kabisa ulimwenguni kupata chanjo hii ya malaria ya kwanza kabisa duniani ni Kenya, Rwanda na Burundi. Watanzania tusibaki nyuma katika hili. 18 million doses of first-ever malaria vaccine allocated to 12 African countries for 2023–2025: Gavi, WHO and UNICEF World Health...
  4. WHO yaongeza Nchi 9 za Afrika zitakazopokea Chanjo ya Malaria

    Nchi zilizotajwa ni pamoja na Benin, Burkina Faso, Burundi, Cameroon, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Liberia, Niger, Sierra Leone na Uganda ambazo zitaungana na Ghana, Kenya na Malawi zilizoanza kupokea Chanjo hiyo. Taarifa ya Shirika la Afya Duniani imesema jumla ya Chanjo Milioni 18...
  5. Hussein Bashe: Wakulima wa Katavi, Kiteto na Sumbawanga wasiuze Mahindi chini ya Tsh. 800 kwa kilo

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 54, leo Juni 23, 2023. Tanzania kutokomeza Ugonjwa wa Malaria ifikiapo mwaka 20230 Naibu Waziri wa Afya Dr. Godwin Mollel amesema hadi sasa kuna mikoa zaidi ya 9 nchini iliyo na kiwango cha Maambukizi ya Ugonjwa wa Malaria chini...
  6. Dar kuna mlipuko wa Malaria Kali?

    Kama unaishi Dar, chukua tahadhari mapema maana kuna "mbu" mmoja hatari sana anayeeneza malaria kali ambayo inapelekea watu wanalazwa mpaka wodi za wagonjwa mahututi. Hakikisha huachi kupuliza dawa ya kuua mbu kila jioni, na unalala kwenye chandarua salama kisicho na matundu yanayoingiza mbu.
  7. R

    SoC03 Taa ya umeme inavyoweza kutokomeza malaria kwa kunasa na kuua mbu

    TAA YA UMEME INAVYOWEZA KUZUIA MALARIA KWA KUNASA NA KUUA MBU Utangulizi Malaria ni miongoni mwa magonjwa ambayo yamekuwa tatizo kubwa na umekuwa ukiuua watu miaka hadi miaka. Malaria husababishwa na mbu jike ajulikanaye kama Anofelesi. Katika nchi zinazoendelea malaria ni ugonjwa unaosababisha...
  8. Shekhe aipinga vikali chanjo ya malaria mbele ya Waziri wa Afya, kisa ushoga; hamuogopi mtu yeyote!

    Shehe mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja amesikika na kuonekana hadharani akipinga vikali chanjo ya malaria kwa watanzania kwa kuhofia kuwa huenda imechanganywa na homoni za ushoga. Alitamka maneno hayo mbele ya Waziri wa Afya, huku akishangiliwa na kutuzwa na waislamu...
  9. Ukila mbu unaweza kuumwa Malaria?

    Hapa nimeshika mbu kama watano, sema watu nimewatafuna. Ili nsimwachie wenzie wakaj kumbeba wakampeleka kumtibu. Nikitafuna wengi ntapata malaria??
  10. Rais Samia amewateua Diamond na Shilole kuwa Wajumbe wa Baraza la Malaria

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mwimbaji Staa wa Bongofleva Naseeb Abdul Diamond Platnumz @diamondplatnumz na Msanii Zuwena Mohamed Shilole @officialshilole kuwa Wajumbe wa Baraza la Taifa la Kutokomeza Malaria. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu @ummymwalimu ametangaza uteuzi huo...
  11. L

    Afrika inapaswa kujifunza mbinu za China za kutokomeza ugonjwa wa malaria

    Kila ifikapo Aprili 25 dunia inaadhimisha siku ya malaria. Tangu kutuingine kwenye karne ya 21, Shirika la Afya duniani (WHO) limekuwa likitangaza makadirio ya idadi ya watu wanaofariki kwa ugonjwa huu. Wakati huohuo WHO na jamii ya kimataifa zimefanya kazi ya kuunga mkono juhudi za serikali za...
  12. Nigeria inakuwa nchi ya Pili duniani kuridhia majaribio ya Chanjo ya Malaria baada ya Ghana

    #Nigeria imekuwa Nchi ya pili duniani kuidhinisha majaribio ya Chanjo mpya ya #R21Malaria iliyotengenezwa na Wanasayansi kutoka Chuo Kikuu cha Oxford, Uingereza. Majaribio ya kwanza yamefanyika #Ghana. Mkuu wa Idara ya Kitaifa ya Chakula na Dawa wa Nigeria, #MojisolaAdeyeye, amesema Chanjo hiyo...
  13. KWELI Baadhi ya Dawa za kutibu Malaria zinaweza kusababisha mzio mwilini, ikiwemo Kuchubuka Uume na Midomo

    Mdau wa JamiiForums analalamika kuwa alitumia dawa za kutibu Ugonjwa wa Malaria zinazoitwa EKELFIN ambazo baadaye zilimsababishia kupatwa na mchubuko sehemu za siri na midomoni. Anashangaa kwanini Serikali haitoi taarifa kwa watumiaji juu ya madhara ya dawa hizi kwa binadamu. Ni kweli kuwa...
  14. NPS: Malaria, Shinikizo la Damu, Uzazi, Saratani na Kisukari Magonjwa yanayoongoza kutesa zaidi Watanzania

    Hivi unakumbuka mara ya mwisho uliumwa maradhi gani? Ripoti ya utafiti wa ufuatiliaji kaya (NPS) 2020/2021, imeyaorodhesha maradhi matano yanayoongoza kulaza wagonjwa hospitalini nchini, ambayo ni malaria (asilimia 0.7), matatizo ya uzazi (asilimia moja), homa (asilimia 0.4), tumbo (asilimia...
  15. J

    Prof. Lipumba: Dkt. Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF wala kumiliki kadi

    Mwenyekiti wa CUF Prof Lipumba amesema aliyekuwa Katibu wa CCM Dr. Bashiru hajawahi kuwa mwanachama wa CUF na hajawahi kumiliki kadi ya chama hicho. Chanzo: ITV Dakika 45
  16. Malawi yaanza kutoa chanjo ya kwanza ya Malaria

    Malawi imeanza kampeni kubwa ya chanjo ya watoto wachanga dhidi ya Malaria ambayo ni kampeni ya kwanza kabisa duniani, mwakilishi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) nchini Dk Neema Kimambo amesema. Chanjo ya RTS,S, kama inavyojulikana, imekuwa katika majaribio nchini Malawi, Ghana na Kenya katika...
  17. Mbu wa Malaria kutoka Asia ahamia Afrika

    Wanasayansi wanasema kwamba aina vamizi ya mbu anayeeneza malaria kutoka Asia imeenea hadi Afrika, ambako ni tishio hasa kwa wakazi wa mijini. Barani Afrika, ambapo vifo vingi vya Malaria duniani hutokea, ugonjwa huu huenezwa zaidi na mbu maalumu kwa maeneo ya vijijini. Lakini aina ya mbu wa...
  18. Uganda: Watuhumiwa kupimwa TB, Malaria na UKIMWI kwa lazima

    Naibu Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), William Byansi ameagiza kuanza utaratibu huo ili kuwalinda askari na wafanyakazi wa idara za haki na kutambua mapema hali za kiafya na magonjwa ya watuhumiwa. Kwa mujibu wa DPP wanalenga kuzuia usambaaji wa magonjwa kama TB na VVU kwa sababu watuhumiwa...
  19. Utafiti: Chanjo mpya ya Malaria kutoa ulinzi wa 80% kwa hadi miaka 2

    Majaribio yaliyofanyika kwa zaidi ya watoto 400 wa Afrika Magharibi ya chanjo hiyo yanaonyesha kuwa inatoa ulinzi wa hadi 80% kwa hadi miaka 2, dhidi ya #Malaria inayogharimu maisha ya takriban watoto 500,000 wa Kusini Mwa Jangwa la Sahara kila mwaka Chanjo hiyo imetengenezwa na Wanasayansi...
  20. Waziri Ummy aagiza matibabu ya Malaria kuwa Bure

    WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, ameagiza matibabu ya malaria kutolewa bure kwenye vituo vya kutolea huduma za afya vya serikali.Pia amewataka watoa huduma kuacha kutoza fedha kwa wananchi wanaofika kufanya vipimo vya malaria na kifua kikuu. Pia amewataka watoa huduma kuacha kutoza fedha kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…