malawi na tanzania

The economy of Malawi is $7.522 billion by gross domestic product as of 2019, and is predominantly agricultural, with about 80% of the population living in rural areas. The landlocked country in south central Africa ranks among the world's least developed countries and poorest countries. Approximately 50% of the population lives below the national poverty line, with 25% living in extreme poverty.
In 2017, agriculture accounted for about one-third of GDP and about 80% of export revenue. The economy depends on substantial inflows of economic assistance from the IMF, the World Bank, and individual donor nations. The IMF and World Bank has spearheaded structural reforms in Malawi for decades.
The government faces strong challenges: to spur exports, to improve educational and health facilities, to face up to environmental problems of deforestation and erosion, and to deal with the problem of HIV/AIDS in Africa.

View More On Wikipedia.org
  1. McLaren

    JamiiForums Tanzania Gasper Comic wa Malawi: Napokea vitisho vingi kutoka kwa watu. Kuna fursa nakosa sababu naonekana mpinzani

    Wakuu, Mchekeshaji Gasper Kagonda, anayefahamika zaidi kama Gasper Comic, amefunguka kuwa amekuwa akipokea vitisho kutoka kwa watu asio wajua. Kutokana na hofu hiyo, amekiri kuwa kuna wakati analazimika kufuta video (maudhui) aliyoyarekodi na kuyaandaa kikamilifu kwa kuogopa kuhatarisha...
  2. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Sakata la Biashara kati ya Tanzania, Malawi na Afrika Kusini. Hapa ndo Umuhimu wa Kuwa na Idara ya Usalama yenye akili umeonekana

    Hapa Tanzania Vyombo vya Ulinzi na Usalama kwa sasa vina kazi moja tu kuu nayo ni Kuhakikisha CCM inaendelea kubaki madarakani. Hawaangalii maslahi ya Wananchi au Maslahi ya nchi Kiuchumi na Kimaendelo. Kuanzia JWTZ, Polisi hadi TISS kwa sasa hakuna suala la kuangalia maslahi mapana ya Taifa...
  3. McLaren

    JamiiForums Tanzania Ni Malawi na sio Tanzania itakayoathirika zaidi kwenye mgogoro wa kibiashara unaoendelea. Malawi isichelewe, ichukue hatua zifuatazo!

    Wakuu. Siku za hivi karibuni kumekuwepo na mgogoro mkubwa wa kibiashara kati ya Malawi na Tanzania, mgogoro ambao ukiuangalia kwa umakini, madhara yake yanaweza kuwa makubwa hasa kwa upande wa Malawi. Kama mnakumbuka siku chache nyuma, Malawi iliamua kupiga marufuku uingizaji wa baadhi ya...
  4. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Video, Bashe: Hii ndio hali ambayo wafanyabiashara wetu wako nayo baada ya Malawi kuzuia mazao kuingia nchini kwao

    Hii ndio hali ambayo wafanyabiashara wetu wako nayo baada ya Serikali ya Malawi kuzuia mazao kuingia nchini kwao. Kuvumilia hili kama Serikali inayohangaika na sekta ya kilimo ni ngumu. Nafahamu kumekua na maoni mbali mbali lakini naomba niendelee kusisitiza kuwa hadi Jumatano hii inayokuja...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Mimi ni Mtanzania, lakini kwa huu msimamo wa Bashe kwa Malawi huu sio uungwana wala ujirani mwema

    Tanzania inaonekana hatuna sera ya mambo ya nje, tupo tupo tu. Lakini hata hivyo, kauli za Bashe kwa Malawi juu ya Malawi kuzuia uingizaji wa bidhaa za kilimo sio ya kiungwana, na haiakisi -Utanzania tulio nao. Tukio liko hivi, katika kudhibiti matumizi ya fedha za kigeni na kukuza kilimo ndani...
Back
Top Bottom