Video, Bashe: Hii ndio hali ambayo wafanyabiashara wetu wako nayo baada ya Malawi kuzuia mazao kuingia nchini kwao

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,186
Reaction score
4,940
Hii ndio hali ambayo wafanyabiashara wetu wako nayo baada ya Serikali ya Malawi kuzuia mazao kuingia nchini kwao. Kuvumilia hili kama Serikali inayohangaika na sekta ya kilimo ni ngumu.

Nafahamu kumekua na maoni mbali mbali lakini naomba niendelee kusisitiza kuwa hadi Jumatano hii inayokuja, kama Serikali za Malawi na Afrika Kusini hazitobadilisha maamuzi na kutufungulia masoko basi na sisi Tanzania tutaendelea na hatua za kusitisha usafirshaji na biashara za bidhaa za kilimo na nchi hizi 2.

Pia soma: Malawi yazuia unga na mchele kutoka Tanzania, Serikali yaitaka nchi hiyo kufungua masoko, yatishia kuzuia bidhaa za kilimo za Malawi
 
Daaah changamoto sana.
Sababu za kuzuia n nn?
KAZI ni kipimo cha utu.
 
Inaumiza kwakweli, kwani katazo hili limekuja ghafla? Kama Serikali ilipata taarifa rasmi mapema wakashindwa kutoa tahadhari kwa wafanyabiashara itakuwa ni uzembe

Na kwa msingi huo, ipo haja ya kuwafidia wafanyabiashara watakaothibitika kupata hasara!
 
Hii ndio hali ambayo wafanyabiashara wetu wako nayo baada ya Serikali ya Malawi kuzuia mazao kuingia nchini kwao. Kuvumilia hili kama Serikali inayohangaika na sekta ya kilimo ni ngumu.

Nafahamu kumekua na maoni mbali mbali lakini naomba niendelee kusisitiza kuwa hadi Jumatano hii inayokuja, kama Serikali za Malawi na Afrika Kusini hazitobadilisha maamuzi na kutufungulia masoko basi na sisi Tanzania tutaendelea na hatua za kusitisha usafirshaji na biashara za bidhaa za kilimo na nchi hizi 2.

Pia soma: Malawi yazuia unga na mchele kutoka Tanzania, Serikali yaitaka nchi hiyo kufungua masoko, yatishia kuzuia bidhaa za kilimo za Malawi
View attachment 3309337
Wapeni wawekezaji wa sekta ya kilimo mtaji na grace period wajenge viwanda vya kusindika mazao.

Hii ya kuuza raw materials Huwa inaleta hasara kubwa sana
 
Hii ndio hali ambayo wafanyabiashara wetu wako nayo baada ya Serikali ya Malawi kuzuia mazao kuingia nchini kwao. Kuvumilia hili kama Serikali inayohangaika na sekta ya kilimo ni ngumu.

Nafahamu kumekua na maoni mbali mbali lakini naomba niendelee kusisitiza kuwa hadi Jumatano hii inayokuja, kama Serikali za Malawi na Afrika Kusini hazitobadilisha maamuzi na kutufungulia masoko basi na sisi Tanzania tutaendelea na hatua za kusitisha usafirshaji na biashara za bidhaa za kilimo na nchi hizi 2.

Pia soma: Malawi yazuia unga na mchele kutoka Tanzania, Serikali yaitaka nchi hiyo kufungua masoko, yatishia kuzuia bidhaa za kilimo za Malawi
View attachment 3309337
Haya mambo wasiyaangalie kwenye makaratasi,Kisa ni Nini,?Wanaumiza watu Sana!
 
Hii ndio hali ambayo wafanyabiashara wetu wako nayo baada ya Serikali ya Malawi kuzuia mazao kuingia nchini kwao. Kuvumilia hili kama Serikali inayohangaika na sekta ya kilimo ni ngumu.

Nafahamu kumekua na maoni mbali mbali lakini naomba niendelee kusisitiza kuwa hadi Jumatano hii inayokuja, kama Serikali za Malawi na Afrika Kusini hazitobadilisha maamuzi na kutufungulia masoko basi na sisi Tanzania tutaendelea na hatua za kusitisha usafirshaji na biashara za bidhaa za kilimo na nchi hizi 2.

Pia soma: Malawi yazuia unga na mchele kutoka Tanzania, Serikali yaitaka nchi hiyo kufungua masoko, yatishia kuzuia bidhaa za kilimo za Malawi
View attachment 3309337
Mpaka hapo Afrika itakapokuja kujitambua na kuacha upumbavu ndipo watu wake watakuja kuendelea

View: https://x.com/joseph_kalimbwe/status/1913477771419939030?t=88xQvyqTcdAVOInhgNDkFw&s=19
 
Hii ndio hali ambayo wafanyabiashara wetu wako nayo baada ya Serikali ya Malawi kuzuia mazao kuingia nchini kwao. Kuvumilia hili kama Serikali inayohangaika na sekta ya kilimo ni ngumu.

Nafahamu kumekua na maoni mbali mbali lakini naomba niendelee kusisitiza kuwa hadi Jumatano hii inayokuja, kama Serikali za Malawi na Afrika Kusini hazitobadilisha maamuzi na kutufungulia masoko basi na sisi Tanzania tutaendelea na hatua za kusitisha usafirshaji na biashara za bidhaa za kilimo na nchi hizi 2.

Pia soma: Malawi yazuia unga na mchele kutoka Tanzania, Serikali yaitaka nchi hiyo kufungua masoko, yatishia kuzuia bidhaa za kilimo za Malawi
View attachment 3309337
Tukiwambia No election no Reform mnasema haiwahusu.

Wafanyabiashara mnajionaga mna dunia yenu
 
Mawaziri wanavokuwa wajeuri sikuhizi utaona hadi j5 Malawi wamekaza.
Hasa kama maraisi hawajaingilia kati.
Refer Tanzania VS Kenya enzi za JPM.
US VS China under Trump
 
Huu ni unyama!!!! Malawi wangetoa ‘grace period’ ya mwezi mmoja ili kwa wale ambao tayari wana ‘perishable goods in transit’ ziweze kuingia kwanza, ndio waanze zuio..

Hii haikubaliki!
 
Hii ndio hali ambayo wafanyabiashara wetu wako nayo baada ya Serikali ya Malawi kuzuia mazao kuingia nchini kwao. Kuvumilia hili kama Serikali inayohangaika na sekta ya kilimo ni ngumu.

Nafahamu kumekua na maoni mbali mbali lakini naomba niendelee kusisitiza kuwa hadi Jumatano hii inayokuja, kama Serikali za Malawi na Afrika Kusini hazitobadilisha maamuzi na kutufungulia masoko basi na sisi Tanzania tutaendelea na hatua za kusitisha usafirshaji na biashara za bidhaa za kilimo na nchi hizi 2.

Pia soma: Malawi yazuia unga na mchele kutoka Tanzania, Serikali yaitaka nchi hiyo kufungua masoko, yatishia kuzuia bidhaa za kilimo za Malawi
View attachment 3309337
Masikini! Serikali haina namna ya kuwafidia hawa wafanyabiashara? Hili suala (zuio la serikali ya Malawi) liko mikononi mwao, wangeangalia namna walau walipwe hata nusu ya gharama walizotumia.

Ila mfanyabiashara huyu aliposikia tangazo la zuio wangesaidiana ashushe ndizi zote kwenye gari kama hizo chache alizookoa walau ingesaidia kidogo, lakini labda ni alichanganyikiwa asijue la kufanya.

Hawa ndio watu wa kuchangia, ingepatikana namba yake tumchangie tone tone na yeye.
 
Back
Top Bottom