FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,956
- 47,046
Bora mwamvuli uliotoboka kuliko mvua kamiliKwani hivyo raw vimekuzwa na kitu gani zaidi ya madawa?
Bora mwamvuli uliotoboka kuliko mvua kamiliKwani hivyo raw vimekuzwa na kitu gani zaidi ya madawa?
Hii ndio hali ambayo wafanyabiashara wetu wako nayo baada ya Serikali ya Malawi kuzuia mazao kuingia nchini kwao. Kuvumilia hili kama Serikali inayohangaika na sekta ya kilimo ni ngumu.
Nafahamu kumekua na maoni mbali mbali lakini naomba niendelee kusisitiza kuwa hadi Jumatano hii inayokuja, kama Serikali za Malawi na Afrika Kusini hazitobadilisha maamuzi na kutufungulia masoko basi na sisi Tanzania tutaendelea na hatua za kusitisha usafirshaji na biashara za bidhaa za kilimo na nchi hizi 2.
Pia soma: Malawi yazuia unga na mchele kutoka Tanzania, Serikali yaitaka nchi hiyo kufungua masoko, yatishia kuzuia bidhaa za kilimo za Malawi
View attachment 3309337
Boda hii ni ipi, boda ya Kyela ipo zinapotoka hizo ndizi zisingeweza kuharibika kwa siku nne, boda ya Chitipa siijui vizuri lakini hiyo picha inanitia mashaka, hebu tujaribu kuwa wakweli maana hapo zilipo zinatia mashaka kuwa zilikuwa zinasafirishwa, tusije tukawekewa picha za mahakama ya ndizi.Hii ndio hali ambayo wafanyabiashara wetu wako nayo baada ya Serikali ya Malawi kuzuia mazao kuingia nchini kwao. Kuvumilia hili kama Serikali inayohangaika na sekta ya kilimo ni ngumu.