malcom lumumbamshana jr jingalao msemajikweli

  1. Wale mnaotaka kuja Ulaya kufanya kazi na hamna elimu, kazi pekee mtakayopata ni kuzoa taka

  2. Bonde la Mkwajuni lafurika maji

    Serikali hili jambo imelifumbia macho halishughulikiwi kabisa Serikali ya CCM imelala usingizi mnono.............................
  3. Mambo 17 yaliyosababisha kuuawa kwa Gadaffi

    MAMBO 17 YALIYOSABABISHA KUUAWA KWA GADAFFI 1. LIBYA kulikuwa hakuna bili ya umeme, means umeme ulikuwa bure kwa raia wote 2. Libya kulikuwa hakuna Riba kwenye mikopo, Benk zote Libya zilikuwa za Umma na mikopo ilitolewa kwa raia wote tena bila Riba. 3. Gadafi alisisitiza kwamba, wazazi wake...
  4. President Erdogan welcomed President Hassan of Tanzania with an official ceremony

    https://www.youtube.com/watch?v=1Ite7nd1omc&ab_channel=HaberL%C3%BCtfen
  5. U

    Iran yaishambulia Israel kwa makombora

    #LIVE UPDATES: SHAMBULIZI LA IRAN DHIDI YA ISRAEL Jumanne April 16, 2024 Jeshi la anga la Israel linakamilisha maandalizi ya mwisho Ili kuivamia Iran Israel yaitaarifu Marekani kuwa italipiza kisasi dhidi ya Iran Waziri Mkuu wa Uingereza Sunak kuzungumza na Waziri Mkuu Benjamin Netanyau...
  6. Hongera Mjukuu wangu (Mwarabu Mwenye Viatu vyekundu) Mr Abdul Hemed Ghafoor kwa kushinda pambano la ngumi....................

  7. Mbona majanga kila Mahali? Arusha nayo yakumbwa na mafuriko, magari yasombwa

    Hii ndio Taarifa mpya ya Usiku huu, kwamba Jiji la Arusha limekumbwa na mafuriko makubwa sana, huko Kisongo hali ni mbaya zaidi, unaambiwa magari na nguzo za umeme zinasombwa kirahisi tu. Sasa sijui tuendelee kuiombea Nchi hii au tumwachie tu Mungu? Mafuriko Arusha hadi maji yanakatiza mjini...
  8. Nimesikitishwa, huzunishwa na kufadhaishwa na uongo wa Kamati ya PAC! Escrow sio fedha za umma!

    Wanabodi, Kwa waliosoma fasihi, kitabu cha "An Enemy of the People" by Henrik Ibsen mnaweza kuniita mimi Paskali kuwa ni "an enemy of the people!", Ibsen anasema, the strongest man on earth is the man who can stand alone!", hivyo na mimi, katika jambo ambalo nina uhakika nalo na ninaamini ni...
  9. Uvumi unaendelea kuhusu unga kutiwa vitu vya kupunguza nguvu za kiume na kuchochea ushoga

    Kuna uzushi umeenea sana kwenye magroup ya WhatsApp kuhusu unga wa mahindi kama inavyoonekana kwenye picha. Mwanzoni nilipuuzia ila kila group naikuta. Kimsingi wabongo elimu ya fortification (uongezaji virutubishi kwenye unga kwa ajili ya kupunguza utapiamlo na udumavu bado hawajaielewa. Kuna...
  10. Msajili wa Jumuiya za Kiraia: Makundi ya WhatsApp kusajiliwa Kisheria kwa TZS 200,000/-

    Msajili wa Jumuiya za Kiraia katika Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Emmanuel Kihampa, amesema kampeni ya usajili wa jumuiya zisizo za kidini iliyoanza mkoani Dar es Salaam, inahusisha vyama au vikundi vikiwamo vinavyoendeshwa kwa njia ya mtandao wa WhatsApp. Amesisitiza kuwa ni muhimu vyama...
  11. Who is Ekrem Imamoglu, the Turkish mayor who could challenge Erdogan?

    ISTANBUL, April 1 (Reuters) - Newly re-elected Istanbul Mayor Ekrem Imamoglu has emerged as the main challenger to Turkish President Tayyip Erdogan's reign. But in some ways, he is following in the footsteps of the Turkish leader who ran the city in the 1990s. Aside from having led the country's...
  12. Maradhi ya Masikio Kupiga Makelele(TINNITUS)

    Tinnitus, ni Tatizo la masikio kupiga kelele, mtu husikia sauti za makelele au kitu kinaita(ringing) ndani ya sikio moja au yote mawili na sauti hizo hazitoki nje na wala hakuna mtu mwingine anazisikia zaidi ya mhusika mwenyewe. Je unasumbuliwa sana na tatizo la Masikio kupiga kelele? haupo...
  13. TANZIA Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha ndugu yetu Mtanzania mwezetu Michael a.k.a Mike kilichotokea Afrika Kusini

    🇿🇦🇿🇦 MZEE BABA🇿🇦🇿🇦 Ndugu watanzania mabaharia watafutaji na wanaharakati....... Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha ndugu yetu manzania mwezetu Michael aka Mike...... Mike Tanzania anatokea kinondoni...... Ndugu watanzania mike aliamisha makazi yake kutoka Tanzania na kuelekea...
  14. Picha yangu ya Leo

  15. Ukistasjabu ya Musa utayaona ya firauni tobailai Mtoto wa miaka 17 wa kiume bado ana nyonya kwa Mama yake mzazi

  16. Ukiokota Pete yoyote Njiani Tafadhali usije Kuivaa itakuletea madhara mwilini mwako

    Huyu kavaa pete ambayo ni pete ya mtu aliye kufa ameiacha itakuwa ni Pete ya shetani sasa kidole kimetoka hatari usivae pete ya mtu mwengine unaweza kupata shida kama hiyo.
  17. Picha yangu ya leo

    Leo afadhali kimetoka kiji-Jua kidogo hali ya hewa nzuri.
  18. Kwanini onyo la Putin linachukuliwa kuwa hatari baada ya kauli ya Macron?

    Kwa nini onyo la Putin linachukuliwa kuwa hatari baada ya kauli ya Macron? Maelezo ya picha, Vradimir Putin Mvutano kati ya Rais wa Urusi Vladimir Putin na NATO unaonekana kuongezeka kwa mara nyingine tena huku Putin akiwa tayari amesema iwapo NATO itatuma wanajeshi kuisaidia Ukraine, hatari...
  19. Uvimbe katika Mayai Ya Mwanamke (Ovarian Cyst)

    FAHAMU TATIZO LA UVIMBE KATIKA MAYAI YA MWANAMKE (OVARIAN CYST ) Uvimbe kwenye mayai ya mwanamke (ovary) hutokana na mkusanyiko wa majimaji yanayozungukwa na kuta nyembamba ndani ya mayai ya mwanamke. Uvimbe huu ambao hupatikana ndani ya mayai ya mwanamke ndio unaojulikana kama ovarian cyst...
  20. Fibroids, uvimbe kwenye kizazi unaowatesa wanawake wengi Duniani

    FIBROIDS:UVIMBE KATIKA KIZAZI UNAOWATESA WANAWAKE Katika siku za hivi karibuni,wanawake nchini wamekuwa wakilalamika kuwa kila wanapokwenda kujifungua basi hukutwa na uvimbe katika nyumba ya uzazi. Uvimbe huo,ambao si saratani, umekuwa ni tishio kwa maelfu ya wanawake nchini jambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…