Kuna malipo ambayo sio kodi, matharani ni tozo, ushuru au ada na hakuna huduma ambayo mtu anaipata kutokana na malipo hayo zaidi ni kumuongezea mwananchi mzigo kwa kumuongezea gharama za maisha. Angalia mfano ufuatao
Katika stendi za mabasi, mathalani Stendi ya Magufuli, unatakiwa kulipa Tsh...