Asalam aleykum!
Bila kupoteza muda naomba tujadili hili suala kama dharura.
Ninaomba TCRA, BoT na mitandao ya simu watengeneze haraka mfumo wa malipo kwa njia ya simu.
Huduma kama lipa kwa M-Pesa, Airtel Money, T-Pesa, Halo Pesa, Tigo Pesa na Ezzy Pesa ili tuepuke matumizi ya pesa taslimu...