malipo

  1. R

    KERO PSSSF fanyeni malipo acheni urasimu

    Habari ya muda huu wanajukwaa. Nimelazimika kuandika hapa jukwaani kuhusu taasisi tajwa hapo juu. Tangia mwezi oktoba nilijaza fomu za kuomba fao. Nilijibiwa kama taarifa zimepokelewa na mwajiri na pia ofisi za PSSSF Isitoshe nimewapigia simu wakasema watalipa mwezi September. Hawajalipwa...
  2. Roving Journalist

    RC Chongolo: Malipo ya Wakulima kutoka NRFA yamechelewa kidogo, Waziri amenihakikishia watalipwa

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Daniel Godfrey Chongolo akiongoza Mkutano wa Nane wa Baraza la Biashara la Mkoa huo amesema malipo ya Wakulima wanaoidai Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) watalipwa malipo yao hivi karibuni na kukiri malipo yalichelewa kidogo. Chongolo ameyasema hayo Desemba...
  3. TRA Tanzania

    Dar eS salaam: Malipo ya Kodi Desemba 2024

  4. Teslarati

    Tigo (Yas) jana mmetoa hizo gb 2 kwa watumiaji, Je wafanyabiashara wote wenye Lipa namba zenu walioshindwa kupokea malipo mnawafidia vipi?

    Eti ndugu zanguni YAS? Mnatufidia vipi sisi wafanyabiashara wenye Lipa namba zenu ambao tumeshindwa kupokea malipo kwa wateja wetu wa mikoani na online? Fanyeni utaratibu aisee, this is crazy.
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Ukifumaniwa unategua (sex) mtoto wa mtu haya ndo malipo yako, unafungishwa ndoa ya mkeka, faini kubwa au wakura

    Wanajamvi Kila jamii Ina utaratibu wake wa ku deal ama ku-solve maswala yake. Katika pitapita zangu za hapa na pale nikafika Kijiji kimoja Kipo mkoa wa Tanga mpakani na Gairo morogoro. Wenyeji wa hapo waliniambia sisi binti akimaliza darasa la Saba nakuchezwa (yaani anafundishwa mapenzi)kama...
  6. C

    NSSSF malipo huchukua muda gani ?

    Habari zenu wapendwa, Samahani kwa anaejua inachukua muda gani kulipwa malipo ya NSSSF baada ya kukusanya document zote! Maana mimi nilikua nafanya private sector nimemaliza mkataba tangu mwezi wa 9 mwaka huu, Msaada kwa anaejua tafadhali🙏
  7. D

    Swali la Mbunge Ruhoro kuhusu malipo ya wastaafu halikujibiwa kwa usahihi

    Katika kikao kinachoendelea bungeni Mbunge Ndaisaba Ruhoro wa Ngara alihoji kuhusu maboresho ya pensheni za wastaafu kutokana na kupanda kwa hali ya msisha. Naibu Waziri Katambi kajibu kwa hoja za actuarial science na eti mapitio ya pensheni hufanyika kila miaka 3. Ukweli ni kwamba ktk kipindi...
  8. State Propaganda

    BRICS yafanya demo ya mfumo wa malipo kwa kadi (BRICS payment system cards) ikiwa ni maandalizi ya mfumo mpya wa malipo BRICS Pay

    Ni miaka miwili imepita sasa tangu umoja wa BRICS kuanza kusaka na kutafuta mfumo mbadala na huru wa wa malipo ya kifedha ambayo itatumika kufanya manunuzi na kulipia bidhaa mbali mbali baina ya nchi wanachama wa BRICS. Huu ni moja ya mpango kabambe wa kuondoa utegemezi wa mfumo wa kimagharibi...
  9. Dr. Zaganza

    Kampuni ipi ya solar nzuri zaidi kwa malipo ya awamu

    Habari wakuu Nahitaji solar panel na TV yake, inayofanywa malipo kwa awamu. Nyumba ya Vyumba vitatu piga 0713 039 875
  10. I

    Malipo kwa ajili ya uboreshaji wa daftari la wapiga mbona katika mkoa mmoja kila wilaya inavyotaka

    Hivi inakuwaje mkoa mmoja kila wilaya inalipa jinsi inavyopenda?Inaamanaa hili zoezi kila wilaya wilaya linaendesha zoezi hili kila linavypoenda? Hii ina maana tume ya uchaguzi haikupanga kiwango sahihi kwa waboreshaji la daftari kiwango cha kulipa? Hii inatengeneza loop hole kwa wasimamizi...
  11. Aliko Musa

    Jinsi Kuandaa Mkataba wa Malipo ya Awamu ya Kiwanja (Land Installment Contract)

    Jinsi Kuandaa Mkataba Wa Malipo Ya Awamu Ya Kiwanja (Land Installment Contract) Maana Ya Land Installment Contract Land installment contract (kwa Kiswahili, mkataba wa mauzo ya ardhi kwa awamu) ni aina ya mkataba ambapo mnunuzi wa ardhi anakubaliana kulipa bei ya ardhi kwa awamu kadhaa badala...
  12. M

    Serikali mnaibiwa kwa watu hawa wakishirikiana na maafisa Utumishi( wale waliodanganya wako masomoni na wale wa likizo bila malipo)

    Sasa hivi kuna mchezo unachezwa na wahusika na maafisa utumishi...wahusika wanawapitia gawio maafisa utumishi au mpaka wakuu wa vituo vyao vya kazi...na wao kupotelea kwenye inshu zingine za kibinafsi...Hivyo kupelekea kupokea mishahara wasiyo stahili.....fanyeni uchunguzi wa haraka kuanzia...
  13. Mshahara

    VC UDSM na DVC(PFA) mnajua kuwa Watumishi wenu hawajawalipwa malipo yaliyo nje ya mshahara karibia mwaka sasa.

    VC na DVC(PFA) UDSM mnajua kuwa Watumishi wenu hawajalipwa malipo yaliyo nje ya mshahara wa serikali karibia mwaka sasa. Je nini kimesababisha malipo kama Incentive, Airtime, Transport, Nyumba n.k kusimama na kusababisha wafanyakazi wa UDSM kuishi kinyonge sana? Hamlipi Watumishi waliochini...
  14. Gulio Tanzania

    Msaada naomba makadirio ya malipo App yenye download 10k

    Habari zenu wakuu, Nimekuja kwenu wadau naomba msaada wenu kwa wamiliki wa App huko play store nataka nijue App yenye download watu 10k na watumiaji active 10% malipo yake huwa kiasi gani kwa makadirio kwa mwezi. Nimesikia Admob wanalipa sana na ndio mana nimekuja hapa ili nipate taarifa kwa...
  15. milele amina

    Matumizi ya Kadi za Malipo ya Wizi katika Malipo ya Serikali ni nini kifanyike?

    Matumizi ya kadi za malipo katika mfumo wa malipo ya serikali ni hatua muhimu kuelekea kuboresha uwazi na ufanisi katika usimamizi wa fedha za umma. Hata hivyo, tatizo la wizi wa kadi za malipo limekuwa kikwazo kikubwa katika kufikia malengo haya. Kadi hizi zinapotumiwa vibaya, zinachangia...
  16. A

    KERO Askari wanatukamata Wafanyakazi wa SGR kisa tumesema Mkandarasi hajaingiza malipo yetu ya NSSF

    Sisi Wafanyakazi wa Ujenzi wa SGR kwa hapa Lot 1 ambayo inahusisha Dar – Moro baada ya kulalamika kuhusu Mkandarasi Mkuu, Yapi Merkezi kuwaondoa watu kazini kwa gia ya likizo huku wakiwa hawatulipi stahiki zetu ikiwemo, malipo ya NSSF, kumeibuka baadhi ya Askari wa Jeshi la Polisi wanatukamata...
  17. Andazi

    Kupokea malipo

    Mtu anaye nitumia anakuwa kama analipa kwa credit card yake alafu mimi napokea pesa nimecheki azampay link naona ni tigopesa tu Vp siwez tumia visacard ya voda kupokea?
  18. D

    TANESCO lini watakuwa na akili? Unalipa kuunganishiwa tangia jana mpk sahz hakuna ht uthibitisho wa malipo

    Nilijisajili kuunganishiwa umeme ikiwa ni kuletewa nguzo 2. Nikatumiwa control number ya malipo baada ya kufanya survey kuwa nitume Tsh 697,000/=. Mpaka muda huu ujumbe ni ule wa mwanzo tu kuwa malipo yako yanashughulikiwa na utapokea ujumbe mfupi kuthibitisha malipo yako. Siku ya 2 hakuna...
  19. K

    KUCHELEWA KWA MALIPO YA WANANCHI WA KATA YA NYATWALI WILAYANI BUNDA

    Wananchi wa Kata ya Nyatwali waliamuriwa na Serikali kupisha eneo hilo ili pawe mapito ya wanyama pori mpaka Ziwa Victoria na wanyama waweze kuchunga na kunywa maji kwa urahisi. Wananchi walifanyiwa tathmini ya maeneo yao, mali zao na sasa imekwishapita mwaka moja na nusu tangu kufanyika kwa...
  20. Loading failed

    Wanaume kama unajua akikupa huwezi kuichapa ni mara mia uache kuwasumbua wanawake

    Ndugu zangu Wanaume ni kweli tunapitia magumu ila kamwe tusikubali hizi dharau kutoka kwa hawa wanawake. Ni mara mia kama unajua huwezi kuichapa uache kusumbua wanawake .
Back
Top Bottom