Sisi Watumishi wa SGR ambao tupo chini ya Mkandarasi Mkuu wa mradi huo, Yapi Merkezi tunasikitishwa na kitendo cha Muajiri wetu kupunguza Wafanyakazi kwa gia ya kuwapa likizo ya lazima.
Uongozi wa SGR Lot One inayoanzia Dar es Salaam kwanza ulitutaka kwenda likizo ya miezi minne, wengine...
Wakati Marekani na marafiki zake walipoiwekea Russia vikwazo vya kiuchumi walijua nini wanafanya japo baadaye ilikuja kuonekana kama walikuwa wamechemsha.
Takriban benki zote za Uchina zinakataa malipo kutoka Urusi, ripoti kutoka kwa kituo cha Urusi cha Izvestia inasema.
Soma Pia: Marekani...
Ndugu Watanzania, ikimbukwe kuwa mwezi July serikali ilitangaza kununua Mahindi kwa wakulima kupitia wakala wa hifadhi ya chakula "NFRA" ila kitu kinachoshangaza na kustaajabisha ni kuwa malipo yanachelewa sana, wakulima wanakaa zaidi ya wiki tatu hali ya kuwa fedha zilishatengwa tayari...
Mchoraji wa katuni maarufu nchini Tanzania na kimataifa ambaye pia ni mbunifu na mtangazaji wa vipindi vya redio na televisheni vyenye mvuto mkubwa kwa jamii, Bw. Ally Masoud Nyomwa anayejulikana zaidi kwa jina la Masoud Kipanya (KP), amafungua mashitaka Mahakama Kuu ya Tanzania (Masjala Ndogo...
App za Play store zinabidi zitumie Google Play Subscriptions kwa ajili ya malipo na subscriptions kasoro zile app zinazouza physical goods na services zengine sio za kidigital, lakina naona Azam ukitaka kulipia wanakupeleka site isiyoeleweka ukajaze details zako zote huko hii sio sawa.
Hata...
Pata Vodacom sme Bure kabisa, uwe na nida, Tin number, picha yako, utapata ndani ya dakika chache nicheki kupitia +255753207909
NB: Maelezo yote nimeweka apa wakuu ukiwa na ivyo vielelezo ndo unicheki Whatsapp kwakutuma picha ya Nida,picha ya Tin , email address, no yako ya voda, na kifurushi...
Licha ya kupiga hatua kwenye kuvutia wawekezaji na kuwa kivutio cha FDI sasa hali imeanzakudhoofishwa. Mabalozi wameanza kulalamika kuwa wawekezaji wao wengi wanakumbana na usumbufu mkubwa kutokana na notisi zisizothibitishwa kutoka kwa TRA zinazodai malipo na usuluhishi wa akaunti wa miaka 15...
Kichwa Cha habari wakuu kinajieleza nataka kununua tutorials kwa ajili ya kujifunza zaidi
Ukifika hatua hii unafanya JE kama mfano WA kwenye hii picha hapa.
Habari za asubuhi wakuu. Huu ni mwezi 3, Makandarasi wengi hawajalipwa hela zao, kibaya zaidi wamekaa kimya na hawatoi taarifa yoyote kwa makandarasi, mbaya zaidi kesho ndio mwisho wa mwaka baada ya hapo waatafunga mifumo yao ya malipo, lakn bado wanaendelea kuhimiza makandarasi wafanye kazi...
Jana kwa kuhitimisha mjadala wa Bajeti ya Serikali 2024/25 Mhe. Waziri wa Fedha aliwahakikishia Wananchi wa Nyatwali kuwa watalipwa haraka iwezekanavyo. Malipo haya yamechelewa kwa muda wa miaka miwili na kama ilivyo sheria ya ardhi ni kuwa mwananchi usipomlipa ndani ya miezi sita tangu...
Taarifa kutoka ndani ya klabu ya Coastal Union zinaeleza kuwa fedha ambayo klabu ya Simba iliingiza kwenye ‘account’ ya Coast Union kwaajili ya biashara ya mchezaji wao, Lameck Lawi zimerudishwa mwenye ‘account’ ya Simba baada ya biashara hiyo kwenda tofauti na makubaliano ya pande zote mbili...
Hi
Naomba serikali kuvunja mfumo wa kuuza mazao katika vyama vya msingi kwani vimekua vikitunyima uhuru katika mazao yetu.
Baadhi ya Vyama hivyo vimekua vikichelewesha Malipo kwa wakulima pasipo na sababu yeyote.
Kuna muda kukaa na pesa za wakulima mbaka mwezi Baadhi ya mnada kupitishwa...
Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba ameyasema hayo leo Juni 10, 2024 Bungeni
Pia soma:
~ Bodi ya Mikopo kuchelewesha fedha za kujikimu (Boom) kwa wanafunzi
~ Wanafunzi 150+ wa Chuo cha IFM hawajalipwa fedha zao za Boom kutoka Bodi ya Mkopo na uongozi upo kimya
~ Hali ni mbaya kwa wanafunzi UDSM...
Mahakama ya Ushindani na Haki za Watumiaji Huduma (CCPT) ya Nigeria, imeitoza kampuni ya Matangazo ya Televisheni ya MultiChoice takriban Tsh. Milioni 282.56 pamoja na kuwapa Wateja wake Kifurushi cha Matangazo ya mwezi mmoja bila malipo.
Uamuzi huo unafuatia malalamiko ya Wateja wa MultiChoice...
Wakuu habari za majukumu,
Kulinga na kichwa cha habari apo juu nilikuwa naomba kama kuna mtu anauelewa na mambo ya bima.
Mimi nilipata ajali ya gari na kupoteza baadhi ya vidole, nikafatilia madai yangu bima kwa kufata taratibu zote ila kiwango cha pesa wanachotaka kunipa ni 7m.
Sasa...
Serikali imetoa ufafanuzi juu ya Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui ambao wanadai malipo baada ya kutakiwa kuondoa kupisha mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR.
Awali baadhi ya Wananchi hao walikaa kikao na kuiomba Serikali kutoa ufafanuzi juu ya malipo yao ya fidia kupisha...
Arusha 18 Mei 2024 - Wanahisa wa Benki ya CRDB wameidhinisha kwa kauli moja mapendekezo ya Bodi ya Wakurugenzi kuhusu malipo ya gawio la Shilingi 50 kwa kila hisa jambo linalofanya jumla ya thamani ya gawio la mwaka wa fedha 2023 kufikia Shilingi bilioni 130.6, sawa na 30.9% ya faida halisi...
Ni aibu iliyoje kwa serikali kushindwa kulipa fidia Kipunguni kwa kipindi cha miaka 27 na zaidi. Je, mwenye kustahili kuwajibika Waziri wa fedha, Uchukuzi, TAA au Rais na mwenyekiti wa CCM, tuambiwe.
Waziri Mkuu ingilia kati kuna mchezo mchafu. Mbunge Kamoli amelisemea sana sasa joma na iwe...
Kwani mnatuchukulia sisi poa, kwani itawagharimu pesa ngapi kututangazia kuwa tozo zimerudi kwenye malipo ya ving'amuzi?
Leo nimefanya malipo kulipia king'amuzi risiti iliyorudi imeonesha nimekatwa Ada na Vat... au kuna tatizo kwenye uandishi wa hiyo risiti..
Kama kuna yoyote aliefanya malipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.