Wanawake shida yenu ni nini? Hawa wasimbe watawapoteza. Yaani mtu ajitafute, apate kazi, anunue kiwanja, ajenge kwa gharama na kwa ugumu, akutongoze, akulipie mahari akuoe akuweke ndani akutunze na bado akulipe?
Upo zako mzigoni unapigiwa simu, njoo uwapikie watoto wako mke wako kagoma kupika...