TIGO POST PAID:
15 GB kwa 15,000
35 GB kwa 35,000
48 GB kwa 40,000
72 GB kwa 60,000
120 GB kwa 100,000
Gharama ya usajili utalipia kiasi kinacholingana na bei ya bando unalotaka kuungwa
Bando utalochagua utakuwa unaungwa kila tarehe 1 ya mwezi
Kila mwezi inabidi ulipie bando unaloungwa...
Habari wakuu mimi ni mjasiriamali mdogo mdogo,nilikuwa nahitaji huduma hii ya kuscan kwa kupitia seclom mastercard.msaada jinsi ya kuipata na vigezo vyake
Habari wakuu.
Ninaomba msaada wa kufafanuliwa kuhusu ucheleweshwaji wa malipo ya fidia ya ardhi iliyo twaliwa miaka 3 iliyopita na baada ya muda wa miaka 2 kupita, toka jedwali la malipo kukamilika na mlipaji kutolipa kwa wakati au kuaghirisha malipo na kuirudisha ardhi kienyeji kwa wananchi...
Nasema ivi hata salamu simlikuwa hamtaki eti kisa mpo kwenye funga, mtajua hamjui na sisi mabaharia tumeanza funga yetu kivyetu.
Tunaenda na wale tuliokuwa nao pamoja katika kipindi hiki kigumu.
Haya leo tuangazie namna gani marefarii katika ligibza wenzetu wanavyolipwa. Sijajua kwa huku kwetu wanalipwaje lakini kwa wenzetu malipo yao ni kila mechi.
Katika ligi kuu ya Uingereza, mwamuzi hulipwa Euro 1300 ambayo ukiibadilisha kwa pesa ya madafu ni sawa na Shilingi Milioni 3,302,550 kwa...
Jana katika kikao cha Bunge kulikuwa na mtifuano kuwa ni nani anyeidhinisha malipo ya Serikali.
Waziri wa Fedha akajibu jibu ambalo halikumridhisha Mhe. Sendeka na Mhe. Spika akaongezea ufafanuzi kwenye majibu ya Waziri wa Fedha.
Kama ni kweli Mhe. Rais ndo anaidhinisha malipo ya Serikali...
Mama umesingiziwa hata alipobanwa na spika bado alishindwa kukana kuhusika kwako kuidhinisha malipo serikalini. Katiba ipo wazi wewe siyo muidhinishaki wa mapato serikalini. Kama unakumbatia kuidhinisha upigaji huu basi unakiuka hata Katiba. Wape mbuzi wa Pasaka yatima wetu lakini kwa watanzania...
Serikali imeamua kuwahamisha wananchi wa Vijiji vya Kata ya Nyatwali ili kuongeza ukubwa Hifadhi ya Wanyama - Serengeti.
Wakati wa uhai wa Mhe. Magufuli pendekezo hili alilikataa kata kata na sisi wananchi tulifurahi na kumshukuru Mungu.
Ilipoingia utawala wa Awamu ya Sita jambo hilil...
MUNGU HAHITAJI ZAKA NA SADAKA YAKO, SADAKA NA ZAKA NI MALIPO YA WATUMISHI WA DINI.
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani
"Mtolee Mungu"
" Hiyo ni sadaka Kwa Mungu wako"
" Unamnyima Mpaka Mungu anayekupa uhai"
Na kauli zingine kama hizo, ni Utapeli mtupu.
Kuna Ile unaambiwa" mtolee Mungu ili...
Wana jamvi habari za usiku huu,
Leo nimeona nilete hii habari kwenu, najua fika kwa wengi wenu sio habari mpya na kwa wengine na habari mpya kabisa.
Na kuna wengine habari hii sio mpya ila wamejisahau kiasi kwamba wanabana na kuvunja sheria na taratibu zilizowekwa na serikali kuhusu kima cha...
Maelfu ya madaktari wa ngazi ya chini waliojiunga hivi karibuni katika taaluma hii wapo kwenye mgomo kote Uingereza wakidai malipo bora, ambapo wameanza siku tatu za usumbufu mkubwa katika hospitali na kliniki za afya zinazofadhiliwa na Serikali.
Madaktari hao wanaunda 45% ya madaktari wote...
Nimefuatilia utaratibu unaotumiwa na watendaji wanaohudumu kwenye mashirika ya kimataifa na kubaini Kwa hatua za awali mambo yafuatayo;
1. Mashirika haya yanakataa kulipa watu wanaofanya nao kazi stahiki zao Kwa wakati Kwa kisingizio kwamba wakilipwa hawafanyi kazi. Hii ipo zaidi kwenye posho...
Heshima kwenu Wakuu.
Naam, hii ni fursa ya kubadilishana mawazo hasa kwa wale wenye changamoto za maisha ili ku-share experiences na skills za hapa na pale. Kwahiyo karibu sana na ujisikie huru. Itapendeza iwapo utaelezea kwa undani kidogo changamoto uliyonayo ili iwe rahisi kusaidiwa.
Je...
Wakuu, Kwema?
Huwa tunajadili mengi sana yenye tija kwa chama, Serikali na Jamii. Hii ni akili na matendo ya kiungwana sana.
Sasa leo naomba tukubaliane jambo dogo tu linalohusu wenyeviti, na wenezi wa wilaya na Mkoa
Ni huzuni kuona viongozi hawa kwa namna wanavyokiwezesha chama kubaki...
Mwigulu Nchemba amesema Bungeni kuwa madai ya Kampuni ya Symbion kulipwa bilioni 350 sio ya kweli. Sasa tunajiuliza nani muongo, Mwigulu au CAG kuhusu suala la Symbion?
Habarini. Makatabaapp. Inakuletea vitabu mbalimbali vya kiswahili kwa ada ya 7,000(Kutokana na kupanda kwa gharama ada ya sasa ni Tsh 10000 kwa mwaka. Tunaomba Moderator watusaidie kuweka 10,000 badala ya 7,000 kwenye title) kwa mwaka. Vitabu humo unaweza kusoma hata ukiwa offline. Tucheki...
Kwa wale wanaoona tarakimu za makato ya mkopo wa elimu ya juu wanaelewa faraja ya kumaliza mkopo juu.
Kwakeli wale waliochelewa kujiunga na elimu ya juu wanaulipa mpaka miaka ya kukaribia kustaafu. Infewezekana kusamehe wa miaka 50+ iliwaanze kujiandaa na maisha ya kustaafu.
Kuna wana aga...
Wakuu habari
Nina Rafiki yangu ambae mkewe alikua mjamzito, lakini sasa ameshajifungua. Sasa wakuu changamoto baada ya kujifungua ameambiwa bima yake inacover 1.5M tu ya gharama za kujifungua. Gharama iliobaki ya 280,000 anatakiwa alipie cash ili akamilishe gharama zote za kujifungua. Nina...
Mambo ya kufanya wakati Mnajadili kuhusu Mshahara na Mwajiri wako
Mosi, fanya utafiti kujua je Kwa nafasi uliyoomba wanalipa level ya Mshahara kiasi gani? Hii itakuwezesha kushawishi ulipwe shilingi ngapi kutokana na taarifa ambayo unayo tayar.
Pili, Ni Jambo jema kushukuru ofa ya Mshahara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.