malipo

  1. BARD AI

    Serikali ya Kenya yathibitisha Wadukuzi wameingilia Mifumo ya Malipo, Taarifa za Uhamiaji na Upelelezi na Benki

    Kwa mujibu wa Waziri wa Mawasiliano na Uchumi wa Kidigitali, Eliud Owalo amesema shambulio hilo lililolalamikiwa na Wananchi kwa takriban siku 4 limefanywa na Wadukuzi waliojitambulisha kama 'Wasudan Wasiojulikana. Hata hivyo Waziri amesema Taarifa Muhimu za Watumiaji na Taasisi hazijachukuliwa...
  2. Roving Journalist

    DOKEZO Malalamiko yaendelea kuhusu malipo ya 'Mchango wa Uendeshaji wa Shule Tsh 65,000' licha ya Serikali kufuta ada

    Ujumbe wa Mdau ambaye mtoto wake anasoma kidato cha Tano katika Shule ya Sekondari Ruvu ametoa povu: Jamani tusaidieni kupaza sauti. Tuliambiwa ada ya shule zimeondolewa lakini bado wazazi tunatakiwa kulipa Tsh. 65,000/= kama pesa ya uendeshaji ili hali fomu ya kujiunga inamtaka kwenda na...
  3. MAPITO Mwanza

    TANZIA Jecha Salim Jecha afariki dunia akipatiwa matibabu hospitali ya Jeshi Lugalo

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) aliyefuta uchaguzi 2015 na kupata umaarufu mkubwa, Jecha Salim Jecha leo amefariki Hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam na mwili wake utapelekwa Zanzibar kwa maziko. Jecha Salim Jecha alipata umaarufu mwaka 2015 baada ya kufuta matokeo...
  4. Unasemeje

    Tunatengeneza Blog za kisasa pamoja na YouTube Channels. Malipo ni baada ya kazi

    Habari wakuu, endapo unahitaji blog nzuri kwaajili ya matumizi yako basi hapa umefika, tutakutengenezea blog yakisasa na kwa bei hizi; 1. Blog isiyo na custom domain name 10,000/= yaani address yake inakuwa hivi (jinakako.blogspot.com) 2. Blog + custom domain name 30,000/= yaani address yake...
  5. The Shah of Tanganyika

    Yawezekana Mkataba huu wa DP World ni malipo (Retribution) ya Waarabu dhidi ya Tanganyika kuikalia Zanzibar?

    Nimesoma na kusikiliza hoja nyingi zilizojaa hisia kali juu ya hili sakata la DP World ya Uarabuni (Imarati ya Dubai) kukabidhiwa bandari zote za bahari, maziwa, mito na hata nchi kavu, alimradi imehusiana na bandari. Ni mambo ya ajabu sana ukitulia na kusoma kwa kutafakari. Lakini jambo...
  6. Chachu Ombara

    Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na Kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza bandari ya Dar es Salaam

    Kwa mujibu wa Waziri wa Ujenzi na Usafirisha, Profesa Makame Mbarawa, Tanzania na Dubai zinatarajiwa inatarajiwa kujadili na kupitisha Mkataba wa Kiserikali (IGA) kuhusu kuendeleza Bandari ya Dar es Salaam. Habari zaidi, soma: Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa...
  7. Rurakha

    Msaada wa ushauri: Nimekosea kulipia control ya malipo ya mwanafunzi wa Chuo cha CBE

    Habari za Leo wadau, Mimi ni Wakala. Leo dada wa kazini amekosea kulipia control number ambayo ni ada ya mwanafunzi wa CBE akamlipia mwanafunzi mwingine wa CBE ambae sio alietoa pesa. Naomba kuuliza hatua za kufuata Ili nitatue changamoto hii, naomba kuwasilisha. MREJESHO: Nilifuta ushauri wa...
  8. Stephano Mgendanyi

    Wananchi Wanaozunguka Uwanja wa Ndege wa KIA Watakiwa kuwa na Subira ya Malipo ya Maeneo yao

    WANANCHI WANAOZUNGUKA UWANJA WA NDEGE WA KIA WATAKIWA KUWA NA SUBIRA YA MALIPO YAO Serikali imewataka wananchi wanaozunguka uwanja wa ndege wa KIA kuwa na subra wakati wanasubiri malipo ya fidia ya maeneo yao kwani tayari imeshafanya tathmini na uthamini kwasasa wapo katika hatua za mwisho za...
  9. OKW BOBAN SUNZU

    Yanga Princess kuandamana kudai malipo yao

    My Take Utopolo ni kikundi cha wahuni
  10. E

    Tahadhari na ushauri wa ni msaada gani ninaoweza kupata kwa case ya muamala uliofanyika kama malipo ya deni

    Wasalaamu wanajukwaaa. Jana nimekutana na ujanja ujanja ambao kwangu ni mpya kabisa, sijui ninaweza kuita utapeli. Ila ninachoweza kusema ni udhaifu mkubwa sana wa mtandao wa vodacom vodacom upande wa miamala. Ni ivi kuna mtu nilikuwa ninamdai kiasi kadhaa cha pesa, sasa tukapelekana mpaka...
  11. Mtemi mpambalioto

    Serikali imezuia malipo wiki sasa! hakuna malipo yoyote! viongozi hawajali wafanyakazi

    Kuna watu wamefiwa, wengine wana kazi maalumu, wengine wanatoa huduma kwa jamii, mambo yamesimama hakuna malipo yoyote maofisini! Je, ni kweli nchi imefilisika? wiki nzima hakuna malipo yoyote kweli? au ni MWIGULU ndiye anatugombanisha na mama! kuna watu wapo wizara nyeti kama Ulinzi huko...
  12. Roving Journalist

    TASAF yasema dirisha la malipo kwa wanufaika limefunguliwa kuanzia Jumatatu Juni 5, 2023

    Baada ya Wadau wa JamiiForums.com kutoka Moshi Mkoani Kilimanjaro na Kilindi Mkoani Tanga kudai kuwa wanufaika wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) hawajalipwa malipo yao pamoja na wengine kudai wazee wanatumikishwa kufanya kazi, mamlaka ya TASAF imefafanua. Mkuu wa Kitengo cha Habari na...
  13. B

    William Ruto, Rais wa Kenya: Waafrika tuachane sasa na malipo ya kutumia Dola

    Ni muda muafaka sasa kuachana na malipo ya Dola ya Marekani. By William Ruto. Rais wa Kenya, William Ruto ametoa ushauri huo kwa viongozi wa Afrika akisema ni muda wa kuanza kuchukua hatua ya kuachana na malipo ya fedha kwa kutumia Dola ya Marekani badala yake kuwepo na mfumo wa malipo wa...
  14. Donnie Charlie

    Chuo Kikuu cha Iringa chawafukuza wanafunzi zaidi ya 50 kwa kudukua Mfumo wa Malipo ya Ada

    Chuo Kikuu cha Iringa kimelazimika kuwafukuza wanafunzi zaidi ya 50 baada ya kudukua mfumo wa malipo ya ada na kugoma kulipa ada ya kozi ya teknolojia ya habari (IT). Makamu Mkuu wa Chuo, Prof. Ndilirio Urio amesema wanafunzi 256 walifanya udanganyifu wa malipo na Chuo kiliagiza matokeo ya...
  15. Kaita94

    Mstaafu akifariki malipo yake ya kila mwezi hukoma baada ya muda gani?

    Wanajanvi naomba msaada. Ivi mstaafu akishafariki pesa alizokua anazolipwa kila mwezi huwa zinakoma baada ya mda gani? Haswa kwa sheria zao za mafao ya wastafu
  16. JanguKamaJangu

    Nigeria: Madaktari waanza mgomo wa siku 5 kushinikiza malipo bora

    Chama cha Madaktari Wazawa wa Nigeria (Nard) kimesema uamuzi huo unahusisha Madaktari wa Hospitali za Serikali unatokana na Serikali kushindwa kutimiza mahitaji ikiwemo maboresho ya mishahara na malipo mengine. Serikali imedai mgomo huo sio halali na watakaoshiriki hawatalipwa na kudai kuna...
  17. Bushmamy

    DOKEZO Moshi: Wanufaika wa TASAF wanyimwa malipo yao kwa muda wa miezi mitano, watakiwa kukarabati barabara hadi zikamilike

    Wanufaika wa TASAF kutoka katika baadhi ya Kata za Machame Mashariki, pia baadhi ya kata zilizopo katika Wilaya ya Moshi na Moshi Vijijini Mkoani Kilimanjaro wamekosa malipo yao tangu kuanza kwa mwaka huu Januari hadi sasa Mei 2023. Ndani ya hiyo kata hiyo kuna Kijiji kadhaa vikiwemo Narumu...
  18. U

    Namna ya kufungua paypal akaunti yenye uwezo wa kupokea malipo Tanzania

    Imekuwa ni changamoto kwa watanzania Na baadhi ya watu kushindwa kupokea malipo yao kutokana Na PayPal ya Tanzania kushindwa kutoa fedha nchini. Sasa nmekuja Na hili jipya, ni kuwa unaweza kupokea fedha zako bila shida wala Shaka yoyote. Huhitaji kuwa Na laini za Kenya au laini za nje ili...
  19. mtwa mkulu

    Rais Samia naomba ushughulikie Malipo ya Wastaafu Kiwanda cha Karatasi Mgololo

    Mh. Rais, kiwanda cha karatasi kilichopo wilaya ya Mufindi mkoa wa Iringa kiitwacho Mufindi paper mills LTD (MPM) zamani Southern Paper Mills (SPM) kilichokuwa kinamilikiwa na Serikali ya Jamhuri ya Tanzania 100%, chini ya shirika la Maendeleo la Taifa (NDC), kwasasa kinamilikiwa na kampuni ya...
Back
Top Bottom