mama polepole

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Mama Polepole: Wamrudishe mwanangu akiwa mzima, lolote litakalotokea na mimi nimezaliwa na Mungu kutoka mbinguni nitajua cha kufanya

    Wakuu Mama yake na aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba (Humphrey Polepole) ameomba arudishiwe mwanawe akiwa mzima na kama lolote baya litamkuta huko alipo basi atajua cha kufanya. Mama Polepole ameeleza kuwa lolote baya likitokea kwa mwanawe huko alipo basi kila aliyemgusa naye atakufa...
  2. JamiiForums Tanzania CHADEMA / MISS SARUNGI anzisheni Mfuko wa Harambee Kwa MAMA POLEPOLE , Ndani yake ubebe na Wahanga wengineo ! Mlifanyeni hili haraka kabla ya MO29

    Palipo na Hazina ya MTU ndio Moyo wake ulipo Nafaham tunao Wahanga wengi sana mamia Kwa maelfu. Lakini ni lazima tuweke UPEKEE katika Uchaguzi wa Jina la Mfuko. Mh Polepole alikua Mwana CCM, Mbunge, Mjumbe wa Tume ya Katiba ya Jaji Warioba, Katibu Muenezi wa CCM, na BALOZI Nchini Cuba...
  3. JamiiForums Tanzania Mama Polepole afika Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo ya Dar es salaam

    Anna Mary ambaye ni Mama Mzazi wa Mwanasiasa Humphrey Polepole amefika katika Mahakama Kuu ya Tanzania Masijala Ndogo ya Dar es salaam asubuhi hii ambako inatarajiwa kuanza kusikilizwa kwa maombi ya kesi juu ya kutekwa kwake maombi ambayo yalipelekwa na Wakili Peter Kibatala kuiomba Mahakama Kuu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…