WanaJf,
Salaam!
Nauliza wafuatiliaji na wachambuzi wabobezi wa masuala ya utawala, uchumi na siasa JE ni kweli MAMA SAMIA kaupiga mwingi?
(a). Tumpime kwa bei ya mafuta ya kula (cooking oil)?
(b). Tumpime kwa mafuta ya petrol, taa, na vilainishi?
(c). Tumpime kwa mfumuko wa bidhaa za vyakula...