manispaa ya kahama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Shule ya msingi iliyo karibu na Halmashauri ya Kahama na Mahakama siku watoto wakifa mnataka mueleze vipi.

    Nimepata kupita kikazi hapa Kahama.Ila sipendi kupita kama raisi au viongozi wanavyo tufanyia sisi wananchi wa chini. Kuna shule hapa Kahama ipo harmashauri ya Kahama, Mahakama na nyuma ya kanisa Katoliki. Kiukweli hapa nyuma kuna wachimba mawe na kupasua kokoto na kuna mashimo na makorongo...
  2. O

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya Ndegesera–Mwime–Machimboni, Manispaa ya Kahama ni mbovu sana

    Barabara ya Ndegesera–Mwime–Machimboni katika Manispaa ya Kahama imekuwa kero kubwa kwa wananchi kutokana na hali yake kuwa mbaya kwa muda mrefu. Ubovu wa barabara hiyo unasababisha usumbufu na changamoto mbalimbali kwa watumiaji, hususan kina mama wajawazito, wagonjwa na waendesha vyombo vya...
  3. O

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Manispaa ya Kahama, Kijiji cha Kiyinza, Kata ya Kilango hakuna ofisi ya Kijiji

    Watanzania wenzangu, inasikitisha kuona kuwa katika Wilaya ya Kahama, ambayo inakusanya mapato kwa kiwango kikubwa, bado kuna baadhi ya maeneo ya kiutawala ambayo hayana ofisi za viongozi wa serikali za mitaa. Kwa mfano, Kijiji cha Kiyinza, Kata ya Kilago, hakina ofisi ya kijiji. Hali hii...
  4. O

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto za rushwa na ukiritimba wanaokutana nao Wajawazito katika Kituo cha Afya cha NYASUBI , Kahama

    Ndugu Watanzania, kumekuwa na malalamiko kuhusu ukiukwaji wa haki za wajawazito kupata huduma za afya, ambapo baadhi yao wanalazimishwa kulipia vipimo ambavyo vinapaswa kutolewa bila malipo. Vipimo vinavyodaiwa kulipishwa ni pamoja na: Hemoglobin (HB) – kipimo cha kiwango cha damu. ABO/Rh –...
  5. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video: Hali ilivyo manispaa ya Kahama leo Desemba 9, wananchi wameendelea na shughuli zao

    Hii ndiyo hali ya mitaa mbalimbali ya Manispaa ya Kahama kama unavyoona pichani. Baadhi ya watu wameendelea na shughuli zao kama kawaida huku idadi kubwa ya biashara zikiwa zimefungwa, Vikosi vya ulinzi vimetanda kuimarisha usalama.
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Mwenge wa uhuru kutembelea miradi yenye thamani ya zaidi bilioni 6.4 manispaa ya Kahama 2025

    Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, inatarajiwa kuupokea Mwenge wa Uhuru kimkoa Agosti 3, 2025 ukitokea mkoani Tabora, na kuanza kukimbizwa siku hiyo katika Halmashauri ya Manispaa ya Kahama. Mwenge wa Uhuru 2025 utapokelewa katika viwanja vya kituo cha mabasi Kagongwa ukitokea...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna foleni kubwa ofisi ya vizazi na vifo Manispaa ya Kahama, unaweza kutumia siku nzima kupata huduma

    Manispaa ya kahama, ofisi ya vizazi na vifo kuna changamoto kubwa ya foleni, kwani unaweza kutumia siku mzima kupata huduma! Nashauri mamlaka husika kuongeza watendaji, kwani kuna mtoa huduma mmoja tuu na idadi ya watu ni kubwa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…