Ni wizi na kutafuta njia za kuiba tu. Umeme wa kusini mwa Tanzania unakuaje mbali kuliko umeme wa Ethiopia?
Lakini pili kuna bomba la gas toka mtwara kwanini wasipeleke bomba kaskazini la gas halafu Dar wakatumia umeme wa bwawa!?
Ukweli ndugu zangu ni mazingira ya wizi kwa watoto na ndugu wa...
Mataifa mengi yakitaka kununua vitu nje ya nchi yanahitaji Dollar ya marekani.
Marekani akihitaji kununua vitu anatumia Dollar. Kitu gani kitamfanya asi-print pesa zake anapohitaji kununua nje?
Tanzania hatuwezi ku-print pesa yetu maana hatuwezi kuitumia kununua mafuta let say Iran...
Kuna mdau anauliza ikitokea mkandarasi alisaini mkataba wa kujenga kilomita 50 za lami labda kutoka Njombe kwenda Ludewa baada ya kufika site anaona mbona kuna njia ya mkato naweza kupunguza kilometa kutoka 50 hadi 48 au 49 na nitaserve almost 3bil.Je hapo serikali itakuwa imelipa kilomita 49...
Hili limenitokea jana tu!
Kama mnavyojua msimu wa sikukuu watu tunakuwa busy na shopping za hapa na pale.
Jana nikaingia super market moja hapa down town .Kusanya mazaga kama yote kwa mbwembwe kibao.
Kucheck pembeni namuona rafiki yangu ambae tulipotezana kitambo.Maongezi kidogo kisha...
Mimi ni muhitimu wa shahada ya kwanza ya uhasibu.
Kwenye maswala ya ajira nimeajiriwa na nafanya kazi za mauzo na masoko kwa miaka 6 sasa. Katika kazi zangu, nimejikuta nikivutiwa sana na maafisa wanunuzi.
Hadi kupelekea kutamani kujifunza zaidi kuhusu manunuzi.
Kwa wataalamu, Ni kwa namna...
Wakuu habari,
Nataka nianze kununua bidhaa mtandaoni hasa kutokea nchini China. Sijawahi kufanya hivyo kabla hivyo naomba mwenye uelewa kidogo anijulishe.
Mfano, nimeona kuna app ya ebay na alibaba ipi itakuwa bora zaidi kuitumia? Na pia kama kuna vitu vya kuzingatia naomba nijulishwe...
Tunaomba wizara husika itutolee ufafanuzi juu ya bei ya ruzuku ya mbolea : Mfano sms hapo chini👇🏾👇🏾
Ndugu XXXXXX Na. ------- umenunua DAP - 50 KG idadi 1 Tsh76701.33 kwa [TFRA-06----1] Kama hutambui manunuzi haya piga namba: 0800110153/4
NOTE: Bei anayopewa mkulima ni hio 76,701.33 ila ki...
Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amewataka watanzania wanaoshiriki kwenye mnyororo wa thamani wa sekta ya madini kuchangamkia fursa kubwa iliyopo ya manunuzi ya bidhaa na utoaji huduma migodini ambayo kwa mwaka wa fedha 2023/24 jumla ya kiasi cha Tsh Trilioni 3.1 zimetumika katika eneo la...
Kuboresha na kuimarisha mifumo ya kieletroniki ya manunuzi ya serikali ya Tanzania ni hatua muhimu katika kupambana na rushwa na ubadhirifu. Hapa nimeeleza baadhi ya njia za kufanya:
Uwazi na Uwajibikaji
Kuongeza uwazi kwa kutoa taarifa za manunuzi hadharani kupitia mifumo ya kieletroniki...
Mwalimu mkuu/Mkuu wa shule anaingiziwa hela kwenye akaunti ya shule. Anaandikiwa barua ya kukaimishwa uafisa masuhuli na mkurugenzi ili asimamie kikamilifu fedha hizo zifanye kazi lengwa. Mpaka hapa, safi tu.
Anatakiwa aunde kamati mbalimbali zinazoshirikisha walimu wenzake, watendaji wa...
Hii...kwakweli ni AIBU Sana na tuna create taifa masikini na OMBA OMBA pale ambapo katika Population ya watu milioni 61 wanaolipa kodi ni ni milioni 3 tu.
Unajua hadi inatia woga hata kule kufikiri tu, kuwa huo ndio ukweli...
Ndio maana Taifa letu tuna shida kubwa sana hilo eneo ili hali...
Nchini Tanzania, hali ya umasikini bado imetamalaki licha ya jitihada mbalimbali kuchukuliwa ili kupunguza umasikini na kukuza uchumi. Jitihada za kupunguza umasikini zimeonekana kuwa na matokeo hafifu kutokana na ongezeko kubwa la watu. Hivi sasa Tanzania inakadiriwa kuwa watu zaidi ya milioni...
Katika ulimwengu wa Teknolojia biashara zimerahisishwa sana,unachohitaji ni taarifa sahihi kwa wakati sahihi.
Kupitia KV dropshipping tunakusaidia kupata taarifa sahihi za biashara yako na kukusaidia kupata bidhaa kwa bei nafuu kutoka Dubai.
Kazi ya Kv dropshipping ni
1.Kupokea order binafsi(...
Katika kada na kazi zinazoigharimu serikali kifedha ni hawa wataalamu wa manunuzi. Akili zao zipo kuwaza asilimia 10 kutoka kwa mzabuni.
Hawa wanufaika ndio wanaoingiza serikali kwenye gharama kubwa sana ili hali wao wakiangalia matumbo.
Machi 15, 2024 katika Mahakama ya Wilaya Muleba mbele ya Mh Lilian Mwambeleko, imeamriwa kesi ya Jinai namba 3/2024.
Kesi hii ni Jamhuri dhidi ya Bw. Masanja Igolola Afisa Manunuzi VETA, Ndorage pamoja na Denis Rwegalulila Mzabuni.
Walishtakiwa kwa kosa la Hongo katika Manunuzi ambapo...
Kutokana na sheria za ushindani ambazo zimekuwa mwiba kwa kuweka vikwazo kwa makampuni makubwa kuyanunua makampuni madogo hasa startups, Adobe imeghairi mpango wake wa kuinunua Figma.
Sheria hizi zinazuia kampuni kuwa monopoly. Mimi ni mpenzi wa Figma nadhani kuiacha ijitegemee ni uamuzi sahihi
Mfumo wa ununuzi wa TANePS pamoja na changamoto zake, ulikuwa mfumo mwepesi kujisajili na kuutumia. Changamoto zilizoifanya TANePS iondolewe, ni hizo hizo zinaikumba NEST kwa sasa.
Mfano ilikuwa inalalamikiwa kwamba mfumo wa TANePs ulipokuwa na hitilafu za kiufundi, ilipaswa kuitafuta kampuni...
Kuna msemo wa Kiswahili usemao: "mali bila daftari, hupotea bila habari." Mfanyabiashara makini hufahamu hili na ndio maana haachi kutunza kumbukumbu za biashara yake.
Utunzaji wa taarifa za mauzo, manunuzi, matumizi, na stoku ni muhimu kwa ukuaji wa biashara, kwani itakusaidia kufahamu...
Najaribu kufanya research ya kuangalia kati ya Aliexpress, Kikuu au Alibaba App ambayo ina uhakika na wanaweza kuniletea bidhaa kwa jina ninalotaka mimi.
Naomba msaada.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.