Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania itanunua sukari kutoka Uganda baada ya Rais Museveni kuomba suala hilo.
Aidha Rais amesema kauli ya Waziri kusema hatotoa kibali cha kununua sukari nje ya nchi ni 'Nonsense'
Ameyasema hayo katika kongamano la biashara kati ya Tanzania na Uganda.
Habari za jioni wakuu,
Binafsi nimekuwa nikipitia changamoto sana nifanyaje au ninunue vyakula gani ambayo vitaweza kunifikisha mwezi mzima.
Naombeni uzoefu wenu katika hili, ni nini unazingatia, utaratibu upi unautumia kwenye kufanya manunuzi ya chakula.
Ukiweza kusema ni vyakula gani huwa...
Naisaidia serikali ya awamu ya sita chini ya Mama Samia na Waziri Umy Mwalimu kama waziri wa TAMISEMI.
Inadaiwa Halmashauri ya Mpanda, kuna jamaa anaitwa NYACHIA KUNJU, huyo jamaa anaimiliki IDARA ya manunuzi hasa kwenye miradi iliyochini ya Idara ya Afya na Elimu. Anaamua nani apewe kazi nani...
Poleni na majukumu wana jamiiforum..
Ningependa kufahamu namna y a kufanya malipo kwa supplier wa kichina,maana anahitaji nifanye malipo wa pesa za kichina yani CNY na si usd .
Na ananiuliza km ninaye mtu wa kufanya malipo kwa fedha za kichina sa sijafahamu Apo uzuri.
Hivyo wenye kuelewa haya...
Polepole kasema haoni thamani ya fedhha (value for money) kwenye pesa ya kununulia chanjo. Hakuna aliyejitokeza kutetea thamani ya fecha inayonunulia chanjo ya corona isiyo na uwezo wa kumlinda mtu hata kwa miezi 6 tu
Hoja ya Polepole ni hii; Bei ya chanjo ni Tsh 51,000/=. Watanzania tuko...
Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa, amesema kuwa serikali imefanya malipo ya awali ya shilingi bilioni 212.95 kwa ajili ya Ndege 5, Ndege kubwa 2, za masafa ya kati 2 na Bombardier ndogo 1, pamoja na malipo ya bilioni 50 kwa ajili mradi wa kufua umeme wa katika bwawa la Julius Nyerere...
UCSAF YATAKIWA KUDHIBITI MFUMO WA TARATIBU ZA MANUNUZI NA USAMBAZAJI WA VIFAA VYA TEHAMA MASHULENI
Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Mhandisi Kundo Mathew ameitaka taasisi ya mawasiliano ya Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kuimarisha na kusimamia ipasavyo taratibu za...
Umeme ni hitaji muhimu katika maendeleo ya kila taifa na mtu binafsi,kwa kuwa umeme huzalishwa kwa gharama kubwa na serikali hivyo serikali haina budi kuuza umeme kwa watumiaji kupitia shirika lake la umeme TANESCO.Kwa sasa Tanesco kwa asilimia kubwa ya wateja wake wananunua umeme kupitia...
Hakuna kitu kinafilisi wasanii fasta kama manunuzi ya vitu vya bei ghali ambavyo vinahitaji upkeeping, upgrading na maintenance ya status quo ya gharama zaidi, kwani ukishanunua Rolls-royce la billioni 2.1 la 2021 utakuwa challenged ku maintain status quo na ununue Rolls Royce lingine la 2022...
Manunuzi makubwa anayofanya Diamond kwa sasa yamekua na Gumzo kubwa mtandaoni kukiwa na pande mbili zinavutana. Wako wanaosifu na wanapata kazi ya kukandia.
Kwa namna yeyote ikitokea negative impact sio kwa Pande hizo mbili, bali ni direct kwa Diamond
At this point kuna mawili
1) Kama...
Habari wanajamii?
Poleni na majukumu ya week nzima!
Niende moja kwa moja kwenye uzi husika, mwaka 2013 nilianza mahusiano na binti mmoja ambae familia yao ilikua karibu sana na familia yetu.
Tulidumu kwenye mahusiano kwa muda kidogo mpaka 2017 ambapo tuliamua kuachana, sababu kubwa ikiwa yeye...
Nchi yetu inashuhudia tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa sasa. Basi kutokana na shule nyingi za umma kuwa na idadi kubwa ya wanafunzi basi ni vyema kuajiri Manesi kwa ajili ya kutoa huduma ya dharura ya kitabibu kwa wanafunzi wanaopata matatizo ya afya, wahasibu kushughulikia suala zima la...
Salaam Wakuu,
Hapa chini ni Muhtasari wa ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Mwaka wa Fedha 2019/2020
===
Mhe. Naghenjwa Kaboyoka (Mb), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya PAC; Mhe. Grace Tendega (Mb), Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya LAAC; Mhe. Daniel Sillo (Mb), Mwenyekiti...
Wana bodi hebu saidieni,
Huyu mtumishi wa halmashauri ya Kibondo Idara ya Manunuzi anataka kuhamia halmashauri ya Mpwapwa uhamisho wa kujitegemea bila kudai malipo yoyote afanyeje, hajui hata aanze vipi.
Wasalam
Nimekua nakumbana na neno hili kwenye manunuzi yangu huko kwenye nchi za Wenzetu (FOB) freight on board or free on board.
Please nimejaribu ku Google Sijapata uelewa mzuri naomba mwenye kujua anisaidie kwa utuo.
Asanteni
Cc CONTROLA
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.