Habari wana JF!
Kama mnakumbuka mwezi July 2023 utumishi walitoa nafasi za ajira kwa kada mbalimbali zikiwemo za uhasibu na manunuzi kwa MDAs na LGAs. Mwezi huu tarehe 4 kuna kada waliitwa interview isipokua uhasibu na manunuzi, na sababu inasemekana wanasubiri TRA wamalize mchakato ili...
Habari wakuu,
Mimi nimhitimu wa Diploma NTA level 5 katika chuo cha TIA Mbeya kada ya manunuzi na ugavi. Kama ilivyo siku hivi kazi zimekuwa adimu sana, kazi pekee zinazopatikana na zinatanganzwa mara kwa mara ni za AFISA UTENDAJI MADARAJA TOFAUTI.
Moja ya kigezo cha kuitwa kwenye usaili Ni...
"Ibara (75) ya Matumizi ya rasilimali za ndani. Lengo la kupitia sheria ya Manunuzi ya Umma ni ili ziende kuboreshwa. Moja ya kitu ambacho kitakwenda kukinza utekelezaji wa sheria ya Manunuzi ya Umma ni pamoja na kutokufanya tathmini ya kina kwenye miradi iliyojengwa kwa fedha nyingi za Umma" -...
MBUNGE AISHA ULENGE KATIKA KONGAMANO LA WANAWAKE NA MANUNUZI YA UMMA NA FURSA ZA KIBIASHARA KWENYE BOMBA LA MAFUTA
Mbunge wa Viti Maalum (Wanawake) Mkoa wa Tanga, Mhe. Aisha N. Ulenge ameshiriki Kongamano la Wanawake na Manunuzi ya Umma na Fursa za Kibiashara kwenye Bomba la Mafuta...
"Asante sana Mheshimiwa Spika kwa kupata fursa ya kuchangia hoja ya Muswada wa Sheria ya Ununuzi wa Umma ya mwaka 2023" - Mhe. Zainab Athuman Katimba, Mbunge wa Viti Maalum
"Ni dhahiri asilimia 70 ya bajeti ya Serikali inaenda kwenye Manunuzi. Ni dhahiri katika kipindi hiki cha hivi karibuni...
Mwigulu Nchemba amependekeza kwenye Sheria mpya ya Manunuzi Serikali inunue Ndege, Vichwa vya Treni, Mabehewa ya Treni, Meli zilizotumika badala ya kuagiza mpya na wabunge wanasherehekea bungeni kwa sababu wanajua wananufaika na nini kufanya maamuzi hayo.
Sheria hii ikipita iko siku taifa...
AFISA MANUNUZI ANAANDIKIA KUNUNUA VITU AMBAVYO VIPO STOO
"Hospitali ya Wilaya Rorya imejengwa kwa miaka 10, na inashindwa kukamilika kwa sababu ya utaratibu wa manunuzi waliouweka. Na utaratibu huu wanaoufanya Hospitali maana yake ni nini, mtu wa manunuzi ni yuleyule, engineer ni yuleyule ambae...
Nimenunua umeme tarehe 29 mwezi wa sita nimekatwa 1000 huku huko nyuma nilishakatwa tarehe moja. Nilijua wamebadirisha tareha za makato.
Leo nimenunua tena nimekatwa 1000
Afisa manunuzi anaenda kwa muhasibu kuomba kupewa Bilioni 2 amlipe mkandarasi tenda ya ujenzi, hio kazi ya kwenye tenda ni wazi kabisa kiuhalisia haivuki hata milioni 200 lakini muhasibu akijaribu kufungua mdomo ataambiwa afanye kazi yake hayo mambo ya manunuzi hayamhusu, hapo muhasibu anaingia...
Hello Wakuu,
Kwa wale wote wenye mahitaji ya Kontena ama Makontena kwaajili ya kusafirishia Mizigo , Kutengenezea Fremu , Nyumba etc
Karibuni, huu ndiyo uwanja wetu.
Utaweza kupata Containers 20 au 40 Feet kuanzia Grade 1 hadi Grade 3.
Lifuatalo ni Jedwali likionesha Sifa za Grade husika la...
Eti wakuu sana. Haiwezekani kwa serikali kuingia mikataba na wauzaji huko na wadeni wetu ili tuwalipe kwa dhahabu? Maana suala la dola ni mtihani, huko wakishindwa kupandisha silingbodi la madeni dola zinapotea dunia nzima. Kwa nini tusinunue mafuta kutoka Saudi Arabia kwa kutumia dhahabu na...
Najihusisha na huduma za uwakala na Moja ya huduma ninayoitoa ni manunuzi ya umeme ambapo serikali pia hukusanya Kodi ya majengo Kwa TSH 1000 Kwa Kila mwezi,Kuna malalamiko mengi kutoka Kwa wateja.
Mosi, kukatwa Kodi isiyo halali(kuibiwa),mfano Kuna mteja alinunua umeme mwezi machi, Leo Mei...
Ninavyoelewa mimi madai uandaliwa na anayedai na kuwasilisha pamoja na vielelezo Kwa mdaiwa. Kama ndivyo naamini kampuni iliyotengeneza ndege zetu ndiyo iliyowasilisha madai ya kiasi wanachoidai serikali. Kama pia tunakubaliana hapo maana yake aliyepandisha bei ya ndege ikawa mara mbili NI...
Sijui ni kwanini Serikali kwenye suala la manunuzi ya mali zake huwa haipo makini kila manunuzi ya Serikali yanapofanyika kuna pesa ya wizi inapita huko na kuna njia mbalimbali zinazotumika hapa ili kuiibia Serikali
1. Kuagiza vitu kwa idadi kubwa tofauti na mahitaji halisi ya Serikali sasa...
Mama kalalamika kwamba invoice ya mwisho ilikuwa tulipe $37,000,000 lakini ikaja invoice ya $86,000,000 ongezeko la zaidi ya asilimia 100 nje ya mkataba wa awali na mama alipohoji akaambiwa spare zimepanda bei.. Je ni nani wanaruhusu malipo ya serikali yatoke? Hawa wafuatao sahihi zao ndio...
Naomba kuuliza,
Kama nikinunua chochote online kwa mfano Aliexpress, je katika kupokea mziogo wangu posta nahitajika kulipa kodi au malipo niliyofanya online yalikuw tax inclusive?
Kuna wanaoshangaa kwanini nyumba za NHC zina bei sana kulinganisha na kujenga nyumba yako hii ndiyo sababu
Tuchukulie NHC wamejenga nyumba kwa 1
Tsh 100M. Inabidi waongeze faida yao mfano 10% halafu kodi ni 18% Hivyo nyumba ya tsh 100M inabidi iuzwe tsh 128M. Wakati nyumba ile ile ukijenga wewe...
Dar es Salaam. Wakazi 644 wa Magomeni Kota wamegomea kusaini mkataba wa kuanza kununua nyumba hizo, kwa madai kwamba bei waliyoletewa sio rafiki na haiendani na hali ya uchumi wao.
Aidha wamemuomba Rais Samia Suluhu Hassan aingilie kati kwa kuwa bei ya Serikali iliyowasilishwa ni kati ya Sh48...
Sina Mengi ya Kusema hii Article ya Gab Marcoti paints a Better Picture:-
Trying to make sense of Chelsea's transfer spree: big gambles, but big rewards too?
The dust has settled, and the numbers are in. Since June 10, when the summer transfer window opened, Chelsea has spent more than €600...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.