maombi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Maombi ya kazi

    Kwa majina naitwa kelvin ramson joseph kama kuna mtu ana connection ya kazi naomba anisaidie nipo dar es salaam nina degree ya bachelor of adult education with community education kama kuna sehemu na fit naomba unisaidie ikiwa moro ni vizur zaidi hususani kwenye hizi NG'O tafadhali tusaidiane
  2. Pdidy

    Wana Yanga Tumejiandaa kwa Maombi ya Mheshimiwa Rais na Taifa Tarehe 8 Machi, Mungu azidi kumlinda

    Wana YANGA mpooo Wana YANGA tumeamuaaa kumpongeza na kumwombea Mungu ambariki MH RAISI MAMA SAMIA HASSAN SULUHU WA Tanzania Mungu azidi kumlinda na kumbariki ampe nguvu ktk kuongeza MAENDELEO ya nchi yetu Tar 8 MARCH... Pamoja na hayo tumepanga kutembelea jamii mbalimbali kutoa misaada tar 7...
  3. Cute Wife

    Pre GE2025 Wananchi wasusia intro ya maombi ya viongozi wa dini kuomuombea Rais Samia, wajitokeza wao na bodyguards wao!

    Wakuu, Kunazidi kuchangamka huko, maombi ya kina kuhani Mussa na chawa wengine kwenye dini yana dalili kubwa ya kubuma kesho, leo wamejitokeza wao na bodyguards wao kupiga maombi kwaajili ya Rasi Samia. Wananchi wanazidi kuamka... mpaka mama anamuita waziri Mh. Rais mchezo!
  4. L

    Papa Francis akutwa na Nimonia

    Ndugu zangu Watanzania, Vatican imethibitisha kuwa Kiongozi wa Kanisa Katoliki Papa Francis ameugua nimonia (bilateral pneumonia) hali inayohusisha maambukizi kwenye mapafu yote mawili. Kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka Vatican Madaktari wake wamebaini ugonjwa huo baada ya vipimo vya...
  5. Rula ya Mafisadi

    Tetesi: Viongozi wa juu wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao Tundu Lissu kuhudhuria maombi ya kuliombea Taifa yatakayofanyika Leaders Club

    NI IJUMAA YA TAREHE 28.02.2025 Pamoja na mambo mengine maombi hayo yatahusu Uchaguzi Mkuu Ujao ambapo kwa maelezo ya mmoja wa Mitume watakao kuwepo Apostle Boniface Mwamposa amesema Taifa la Tanzania linaenda kurudishwa kwenye ramani yake ambapo Sasa kutakuwa na Uchaguzi Huru na Haki...
  6. upupu255

    Ni wakati wa kuiweka Manchester United kwenye maombi isishuke daraja msimu huu!

    Man U hivi sasa sio tena Mashetani bali ni vibonde wa EPL Goodison Park nyumbani kwa Everton tayari wamekalia chumba 2 na ni Half Time
  7. Last sentinel

    Award verification number na computer programming classes

    AWARD VERIFICATION NUMBER(AVN)ni namba inayomsaidia mhitimu wa Diploma kuitumia na kuweza kuendelea na masomo ya Degree.Ili kuipata matokeo ya mhitimu yanatakiwa yaweyametumwa na chuo husika anachosoma na baadae anaweza kuiomba,kwa matatizo na changamoto za AVN number piga 0759-124378
  8. Waufukweni

    Pre GE2025 VIDEO: Viongozi wa dini wamfanyia maombi mazito ya ulinzi Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche

    Akiwa nyumbani kwao Tarime, John Heche Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Viongozi wa dini wamfanyia maombi mazito ya ulinzi pamoja na familia yake
  9. Hypersonic WMD

    Mwenye sample ya barua ya maombi ya kufunga ndoa za kiserikali

    Mliofunga ndoa ya serikali nipeni mwanga. Mfano wa barua ya maombi ya kuomba kufunga ndoa ya kiserikali. Niwekeeni nicheki anuani zinapangwaje!
  10. Harvey Specter

    Mahakama Kuu yatupilia mbali ombi la kibali cha kupeleka maombi ya kufanyia mapitio uhalali wa Makamu wa Rais, Dr. Mpango kuendelea kubaki madarakani

    Mahakama Kuu imetupilia mbali ombi la Wakili Tenzi Anthony Nyundulwa (Mleta Maombi) la kuomba kibali cha kupeleka maombi Mahakama Kuu kufanyia mapitio uhalali wa Makamu wa Rais, Dr. Philip Mpango kuendelea kubakia madarakani kufuatia taarifa za kuwasilisha barua ya kujiuzulu katika nafasi hiyo...
  11. Harvey Specter

    Kesi baina ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC na Rwanda kusikilizwa Leo 12 na 13 Februari katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu

    Kesi baina ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo, DRC na Rwanda kuanza kusikilizwa leo Februari 12 na 13, 2025 katika Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu. Kesi hiyo iliwasilishwa mahakamani hapo Agosti 21, 2023 dhidi ya Rwanda kwa madai ya ukiukwaji wa haki. Tuhuma za Congo dhidi ya Rwanda...
  12. Tlaatlaah

    Unatoka kuzini au kufanya uasherati unaenda kwa nabii au mtume kwenye maombi na maombezi akuombee upate, gari, mume au mke kweli utapata?

    Unatoka geto kwako kupiga punyeto au kusagana moja kwa moja madhabahuni kwa nabii akuombee upate kazi na ukirudi home moja kwa moja breki bafuni kupiga nyeto au kusagana, kweli? hujui nyeto na kusagana ni kujipaka nuksi, unajisi na mikosi? Baraka na Neema za Mungu utaziskia kwa wenzako tu, we...
  13. Stability

    Nilifanya maombi maalum mara kadhaa, mtumishi hadi kuja kwangu, sadaka za kujimaliza ila bado nateseka mnyororo huu, eeh Mungu nifanye nini sasa?

    Jana nimeleta uzi huu https://www.jamiiforums.com/threads/kwa-muda-mrefu-sasa-naota-sana-kurudishwa-kurudi-shule-kama-leo-nimeota-nachapwa-parade.2307099/ Samahani kwa kuanzisha nyuzi nyingine, atleast nyie mtakuwa faraja yangu lakini pia fundisho kwa wengine kama nitapata msaada humu. Kusema...
  14. Stability

    Nilifanya maombi maalum mara kadhaa, mtumishi hadi kuja kwangu, sadaka za kujimaliza ila bado nateseka mnyororo huu, eeh Mungu nifanye nini sasa?

    Jana nimeleta uzi huu https://www.jamiiforums.com/threads/kwa-muda-mrefu-sasa-naota-sana-kurudishwa-kurudi-shule-kama-leo-nimeota-nachapwa-parade.2307099/ Samahani kwa kuanzisha nyuzi nyingine, atleast nyie mtakuwa faraja yangu lakini pia fundisho kwa wengine kama nitapata msaada humu. Kusema...
  15. sanalii

    Naanza maombi maalum kwa dhulma wanazofanyiwa wapalestina

    Naamini Mungu aliehai, mmiliki wa kila kitu, alpha na omega, yeye atamkae kikawa, bas naamini anamajibu yote, naamini atawafuta machozi waja wake hawa wanaoteseka na kuonewa. Maombi haya pia yakawaadhibu wale wote wanaochangia maumivu na dhulma hii, yakianza na Trump na Netanyahu. Mungu...
  16. Meneja Wa Makampuni

    Mfumo wa kufanya maombi ya ajira wa TRA unaleta errors wataalam wa IT wa TRA urekebisheni

    Mfumo unaleta internal saver error. Hapo inakua ni ngumu kufanya usajili ili uweze kufanya maombi ya ajira.
  17. ZVI ZAMIR

    Maombi Maalum kwa Uchaguzi wa CHADEMA.

    Ee Mungu mwenye uwezo wote, tunakuja mbele zako kwa unyenyekevu na shukrani kwa nafasi ya kuwa sehemu ya mchakato wa kidemokrasia ndani ya chama cha Chadema. Mwenyezi Mungu mwenye rehema na neema, Tunakuja mbele zako leo tukiwa na mioyo ya shukrani kwa fursa hii ya kuchagua viongozi wa CHADEMA...
  18. G Sam

    Mbowe sasa aamua kutufungia maombi ya siku moja tuliomkataa

    Tumefungiwa maombi ya siku moja turudi kwa baba. Kwa niaba ya tuliomkataa Mbowe nasema kwamba huyu mchungaji anapoteza muda wake bure. Mbowe tulimkataa, tunamkataa na tutamkataa katu hatutarudi kwake kama ataendelea kuwa Mwenyekiti wa Chama baada ya huu uchaguzi mkuu wa Chama. Sababu za...
  19. R

    MAOMBI YA MUDA MREFU: Upumbavu wa imani yetu ya kikristo ambao hata mahusiano ya kibinadamu hayakubaliani nayo!

    Wewe una mzazi wako halafu unaenda kukaa hapo mlangoni usiku kumpigia maombi ya kuomba ada au hela ya kununua daftari au kalam au pesa ya mtaji wa biashara. Usiku kucha unampigia mzazi makelele......baaba....... baaaaba. Au una mpenzi wako kitandani unampigia makele usiku kucha unaomba...
  20. M

    Mungu asikia maombi ya wanandoa wa kimarekani na kuikoa nyumba yao dhidi janga la moto

    Hakika Mungu yupo kwa hili lililowatokea wanandoa wawili nchini marekani katika hili janga la Moto linaloendelea,walikuwa na dakika 30 pekee za kuokoa maisha yao lkn kwa maombi na sala Mungu aliwanusuru wao na nyumba yao
Back
Top Bottom