Utangulizi:
Katika maandiko matakatifu, tunapata maagizo ya wazi kuhusu hali ya wafu na jinsi tunavyopaswa kushughulika nao. Aya za Mhubiri 9:5-6 na Kumbukumbu la Torati 18:10-12 zinatupa mwongozo wa moja kwa moja ambao unaweza kutumika katika mjadala huu. Hata hivyo, bado kuna desturi miongoni...
Ili Yanga iweze kufuzu hatua ya robo fainal basi ndiyo timu inayohitaji maombi zaidi kwasasa.
Maneno hayo yamesemwa na Wilson Oruma a.k.a Mzee wa Jambia
Asalaam aleykum wana jf wengine itifaki imezingatiwa,leo nimeamua kuja na hii mada yakuwa Mungu yupo na anafanya kazi katika Kila sekunde ya saa kama hauamini basi nikwasababu tu umekataa kuamini kuwa yeye yupo na anatenda (God is almighty) pia haangalii dini wala dhehebu ila Imani yako thabiti...
Katika haya Maisha ya ulimwenguni kuna code ambazo ni ngumu kuzielewa.
Wapo wanaotumia namba kufanikisha mambo yao hawa hauwezi kuwakuta kanisani au msikitini.
Hawa wanajua kwenda sawa na mitetemo ya kila mwaka.
Kuna hawa wengine wao wanaamini katika maombi tu yawe maombi ya giza au nuru...
Mungu aifanye roho ya Freeman Mbowe kuwa yenye kuridhika - Mungu anapomuinua Tundu Lissu aifanye njia yake ya uongozi kuzingatia:-
* Kutozidisha miaka 10 katika uongozi huo;
* Kuamini kuwa mbali yake wapo wafuasi wengi wenye uwezo wa kuongoza taasisi hiyo;
* Afahamu kuwa taasisi hiyo siyo ya...
Mheshimiwa Rais Wetu Mpendwa Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania...
Salaam Nyingi Zikufikie Hapo Ulipo. Natumai nawe umepumzika kwa namna fulani katika kipindi hiki cha mwisho wa mwaka, kama ambavyo sisi tumepumzika hapa Serengeti National Park.
Nisikuchoshe sana Mh. Rais..
Maombi Yangu Ni Haya...
Ndugu zangu kwenye jambo lolote unalofanya hutafanikiwa bila kuomba ndugu zangu.
Fanya hilo jambo unalofanya lakini omba sana.
Kila unaye mwona amefanikiwa katika jambo fulani anaomba sio kuombewa kuomba mwenyewe.
Na mkiristo anaye omba yeye kama yeye kuombea jambo lake ndio anafanikiwa...
Kwa nijuavyo kuna aina tofauti za maombi. Maombi binafsi yanayohusu haja zako binafsi. Kuna maombi ya jumla kuombea watu wengine mfano uponyaji na kuna maombi ya vita kama vile kukemea hali fulani.
Swali langu kwa waombaji, je ni sahihi kutumia kipaza sauti wakati wa kuomba maombi binafsi?
Wakuu,
Kawe leo kumezidi kupamba moto
Kama hauna TV usijali, cha msingi nenda kapate maombi ya Mwamposa ili upate vifaa vyako hivyo.
Samsung, LG na Hisense soon zinaenda kuwa out of business maana sasa hivi ukigusa tu kidogo TV unapata
Naomba nisiongee sana nsije kuharibu...
Watu wa dini asilimia kubwa hawafanikiwi Kwa sababu zifuatazo .
Huu ulimwengu unajiendesha wenyewe .
Unachobidi ni kuupelekea ulimwengu ambacho wewe unahitaji ili uweze kukipata .
Mfano haiwezekani wewe kila Ahsubui uianze siku Kwa kugombana na shetani , wachawi n.k then hapo hapo uombe neema...
Kiranga anasemaje kuhusu Mungu.?
Kuna kafir mmoja alidai shetani ndio mungu na mungu ndio shetani.
Waluosomea Cuba watakubaluana nami kuwa Mungu wetu tangu uhuru amejibu maombi nara moja tu mwaka 2021
Hutaki kusemeshwa wala kuongeleshwa na mwanaume yoyote, yet umeng'ang'ana na mikesha ya maombi na maombezi, na sijui kukanyanga mafuta ya nini huko ili upate mume!
Yaan unamkataa kabla halafu kwenye kuombewa, unatoa machozi kabisa kumuhitaji. My friend, utakanyaga mafuta mpaka uote magaga na...
Eee Bwana ni usiku tena asante kwa neema hii. Tuliikabili siku kwa juhudi zetu huku tukiwa na tumaini ndani mwetu.
Yawezekana haikuwa vile tulivyotarajia yawezekana haikuwa fungu letu kesho inaweza kuwa vile tulivyotami leo
Bwana wakati mwingine hili nililopitia leo ni kwasababu ya...
MAOMBI YA WAZAZI WAKO HAYANA MCHANGO WOWOTE KATIKA MAFANIKIO YAKO. MATENDO YAO MEMA NDIO SADAKA KWA MAFANIKIO YAKO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Hata waombe na kubinuka. Hata wafunge 40 kama Yesu. Hata wafunge Ramadhan na Shaban.
Hata wagaregare na Kuvaa magunia. Ni Kazi bure tuu.
Maombi...
habari wadau.
natamani sana watoto wetu wa kizazi cha sasa wafundishwe huu ukweli mapema.. wasije kuwa kama sisi baba zao na babu zao.
mfano ghorofa limedondoka watu wamefukiwa.. watu wengi wanaamini sala na Mungu ndio atawanusuru. jiulize kama Mungu ana nia njema nao mbona Mungu hajazuia...
Katika mkasa wa jengo la Kariakoo kuanguka nimewasikia watu wengi wanaotegemea watu kutolewa au ambao waliangukiwa na jengo wakiomba na kushukuru Mungu, Allah au Yesu katika mkasa huo mkasa. Kila posti niliyosoma mtandaoni, kila clip au maongezi ya kila mtu aliyefukuliwa huwezi kuyakosa haya...
Mungu wangu naomba usiku huu ukawe usiku uliobeba jawabu hitaji langu na ukawe mwanzo wa maisha ya furaha na tabasamu kwangu
Bwana njia zako hazichunguziki za kuwajibu waja wako, wakati mwingine huwajia katika ndoto na kuwapa taswira za kesho zao njema kwa kuwapa taswira ulimwengu wa ndoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.