maombi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meditator

    Dirisha la Masahihisho maombi ya mikopo 2024/2025 kuwa wazi kwa siku 7

    Tunawataarifu waombaji wa mikopo ya Wanafunzi kwa mwaka 2024/2025 kuwa baada ya kufanya uhakiki wa maombi yao, tumebaini baadhi ya maombi hayo yanahitaji kufanyiwa masahihisho ili kuruhusu kuendelea kwa hatua inayofuata. Dirisha la kufanya masahihisho litakuwa wazi kwa siku 7 kuanzia Septemba 15...
  2. Pdidy

    MAOMBI MAALUM KWA AJILI YA DARASA LA SABA MTIHANI

    BABA YETU NA MUNGU WETU TUNAKUSHUKURU KWA UHAI WA WATOTO WETU AHSANTE KWA KUWAWWZESHA KUSOMA NA SASAA WANAENDA KUMALIZALA SABA TUNAOMBA UWAKUMBUSHE KILA KITU WALICHOSOMA WAFANIKIWE NA WAFAULU MITIHAN YAO WAKAWE KICHWA NA SIO MKIA IN JESUS NAME WE PRY AMEN
  3. M

    Mdude Chadema: Tukutane kwa Kibaha kwa Mathias Kanisa la ufufuo na uzima. Maombi maalumu kwa waliotekwa.

  4. Bunchari

    Wenzangu mnaombaje mpaka maombi yenu yanajibiwa?

    Habari ndugu zangu Naomba kuelekezwa namna ya kuomba maombi yangu yakajibiwa,kama kusali nasali sana,kufunga nafunga sana,kutoa sadaka natoa ila maisha yangu yameandamwa na magonjwa ya ajabu,kutofanikiwa na kukosa kazi Sasa wapi ninakosea au mimi sijui kuomba ndugu zangu,kwani ninyi...
  5. Issakson makanga

    Kukwama kwa maombi ya mkopo wa elimu ya juu

    Wandugu habarini, Nina kijana alikuwa mnufaika wa mkopo apo S.U.A Akakutana na changamoto baada ya mzazi kufariki akasitisha Masomo Mwaka jana aka apply akapata tena apo S.U.A Sasa changamoto iko kwenye kuomba tena mkopo Aliambiwa alipe 25% ya deni lake la nyuma na ameshalilipa Changamoto...
  6. E

    Maombi ya internship kada ya mazingira

    Habari... Napenda kutanguliza shukrani zangu za dhati na kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa pumzi anayotupatia mpaka saa hii🙏..... Mimi ni mhitimu kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo SUA (Sokoine University of Agriculture), with Bsc. Environmental Sciences and Management (recent graduate). Niko hapa...
  7. MIXOLOGIST

    MAOMBI: Uongozi wa Jamii Forums uanzishe Forum ya Yanga, ili mashabiki wa mabingwa tubadilishane mawazo

    Kiroho safi tu Nawasilisha Povu ruska
  8. Meditator

    Hivi kuna kipengele cha ku-attach affidavit unapofanya maombi Bodi ya Mikopo (HESLB)?

    Habari wanajamvi, Kama kichwa cha habari kinavo jieleza tajwa hapo awali. Mimi ni kaka na nina wadogo zangu wawili, mmoja kamaliza Kidato cha sita mwaka huu na mwingine yupo Kidato cha nne. Mi Sina elimu kubwa sana kitu ambacho huwa na wapambania sana madogo wasome wafike mbali ili watimize...
  9. Carasco Putin

    Huu mwezi ushakua mwezi wa shetani kwangu

    Huu mwezi ushakua mwezi wa shetani kwangu Leo ilikuwa uhakika mademu watatu walijaa kwenye kilengeo Nimeshapaka zangu viksi lotion nimejiboost uhakika Aisha msomali Irene komwe Judi mlaaniwe huko mlipo Hapa nipo chumbani tu nawashwa kichwa Sebuleni yupo X wa mama mkwe wangu Usiku mwema nyote...
  10. R

    Historia ya Kiwanda cha Tanganyika packers mpaka kuja kuwa Kanisa la maombi

    SERIKALI YA CCM KAMA SIYO KUROGWA NI NINI? Tanganyika Packers LTD, Kawe, Dar es Salaam 1945-1975. Kilikuwa kiwanda cha kuchakata na kusindika nyama kwa ajili ya kuuza ndani na nje ya nchi. Eneo lote la Mloganzila (Muhimbili) lilikuwa ni eneo la Tanganyika Packers na ndilo eneo lililokuwa...
  11. Stephano Mgendanyi

    Kamati ya Bunge Yapongeza Zoezi la Ufutaji Leseni na Maombi Yasiyokidhi Vigezo

    Kamati ya Bunge yapongeza zoezi la ufutaji wa leseni na maombi yasiyokidhi vigezo. ● Maombi 2648 ya utafutaji wa madini yafutwa. Dodoma Imeelezwa kuwa katika kipindi cha kuanzia mwezi Oktoba 2023 hadi Julai 2024 kiasi cha maombi 2648 ya utafutaji wa madini yamefutwa na kuondolewa kutokana na...
  12. Roving Journalist

    Serikali yafuta maombi 2648 ya utafutaji wa madini kwa kutokidhi vigezo vya Sheria ya Madini

    Maombi 2648 ya utafutaji wa madini yafutwa katika kipindi cha kuanzia mwezi Oktoba 2023 hadi Julai 2024 kutokana na kutokidhi vigezo vilivyowekwa kwa mujibu wa Sheria ya Madini Sura 123. Hayo yamesemwa leo Agosti 14 , 2024 na Waziri wa Madini Anthony Mavunde wakati akiwasilisha taarifa kwa...
  13. Kiby

    Maombi na dua yangu kwa taifa la Tanzania kwa yale yanayoendelea

    Basi sasa, Ee Mungu wetu, yasikilize maombi ya mtumishi wako, na dua zake, ukaangazishe uso wako juu ya patakatifu pako palipo ukiwa, kwa ajili ya Bwana. Ee Mungu wangu, tega sikio lako, ukasikie; fumbua macho yako ukautazame ukiwa wetu, na nchi ile ulioitwa kwa jina lako; maana hatukutolei...
  14. BabaMorgan

    Kwenye maombi yako usiwasahau yatima

    Yatima wengi hawana msaada kutokana na ubinafsi wa wengi kudhamini watoto wao wa kuwazaa pekee kama unaweza kufunga basi fanya hivyo kwa ajili yao ili mungu awafanyie njia. Walio kata tamaa na maisha hili kundi ni kubwa sana na issue inayosumbua hili kundi ni pesa waweke kwenye maombi yako...
  15. Mwamuzi wa Tanzania

    Vitu kama vyeti vya kuzaliwa na barua ya maombi ya kazi vimepitwa na wakati kwenye mfumo wa kuajiri

    Kijana ana NIDA/NIN ambayo ina details zote muhimu. Kitambulisho cha NIDA hakijaandikwa vitu vingi ila kwenye database ya NIDA Kuna taaarifa zote za huyo kijana. Sasa cheti cha kuzaliwa cha nini tena? Kuna usaili, huko pimeni writing skil na speaking skil. Barua ya nini huku tumehamia digital...
  16. J

    KERO RITA badilikeni, toeni majibu ya uhakiki wa vyeti kwa wakati

    Habari wadau poleni na utekelezaji wa majukumu ya Kila siku katika harakati za kulijenga taifa Kero yangu ya leo inatoka kwa mamlaka inayohusika na usajili wa vizazi na vifo Tanzania RITA RITA wamekuwa Wana makosa yake Yale Kila mwaka yanayojirudia na hivyo kukwamisha baadhi ya watu kupata Haki...
  17. Roving Journalist

    Madai ya kuchelewesha Vyeti, RITA yasema imepokea maombi 143,157, yaliyofanyiwa kazi ni 61.2%

    TAARIFA KWA UMMA ZOEZI LA UHAKIKI WA VYETI VYA VIZAZI NA VIFO VYA WANAFUNZI WANAOOMBΑ ΜΙΚΟΡΟ YA ELIMU Wakala wa Usajili Ufilisi na Udhamini (RITA) umepokea jumla ya maombi uhakiki 143,157 ambapo kati ya hayo, maombi 87,665 sawa na asilimia 61.2 yameshafanyiwa kazi na majibu kutumwa kwa...
  18. The Supreme Conqueror

    Kagame Cup: Maombi yangu Red Arrows awe Bingwa ili lengo lao la Dar Kagame Cup ife rasmi kwani Rwanda ni Puppet wa US,UK na France yule mkimbizi JWTZ

    Kagame Cup: Maombi yangu Red Arrows awe Bingwa ili lengo lao la Dar Kagame Cup ife rasmi kwani TAzara na Tazama ni muhimu zaidi kuliko wao, Rwanda ni Puppet wa US,UK na France yule mkimbizi JWTZ wamalize mchezo.Watoto wa St Petersburg nani awafute machozi? Ni kheri kumuenzi Keneth Kaunda na...
  19. GENTAMYCINE

    Tafadhali Wakatoliki Wenzangu mliokomaa katika Ukatoliki naomba huu ufafanuzi wa nani hasa anatakiwa kwenda kula Ekaristi Takatifu Siku za Maombi

    Kama ni kweli kutokana na Mkatoliki Mmoja kuniambia kuwa anayetakiwa kwenda kula Ekaristi Takatifu / Mkate wa Bwana hasa Siku za Ibada za Jumapili na nyinginezo ni yule tu ambaye Kaungama dhambi zake Siku ya Alhamisi ya Wiki husika basi nina uhakika wa 100% Dhambi ambazo GENTAMYCINE ninazo mpaka...
  20. Pdidy

    Maombi maalum kwa madada wa vyuoni mmezidi kutuaibisha

    Usiache kuombea madada wa vyuoni Mungu awape nguvu ya kushinda kujirahisisha kwa wanaumeee Yaan hali sio nzuri ukijutana na madada kwenye basi akitaja chuo ukapata namba weekend ukonae Najua bumu nk haliwasaidii sana ila mjitahidi kujitynza maana nyie n taifa la kesho Tusitengeneze taifa la...
Back
Top Bottom