Hakuna kipindi katika maisha yangu nilichokuwa karibu na Mungu kama hiki. Sometimes mpaka najiona nimechelewa sana kuyafanya yale anayotaka kila siku niyafanye.
Mimi nilishakuwaga na mashaka sana na Mungu kwenye kujibu maombi, thats true bro lakini baadaye nikakaa na kujifikiria kwa nini? Watu...
Hawa watu wanamuombea JPM kuliko hata Nyerere. Nadhani hii imekaa kimkakati ili kupandikiza hisia za udini katika jamii, hasa ukizingatia hawa jamaa huwa hawaridhiki nchi ikiwa na uongozi tofauti.
Kinamna wanawapanga waumini wao na wanataka kujigeuza jimbo la uchaguzi.
Busara ya kawaida tu...
Singo maza wanaanza kunyanyasika nyumbani kwao kabisa hali inayowapelekea kuamua kuondoka nyumbani kwenda kupanga ghetto tayari kwa maisha mapya.
Munaijua hali ya maisha ilivyo ngumu duniani kote. Ila Bongo life ni gumu zaidi kwa wanawake maana fursa zote za kipato favorable kwa wanawake ni...
Wakati fulani nilienda South Africa kwenye madeal binafsi na kiofisi. Kule nilipata wasaa wa kuhudhuria ibada ya nabii mmoja anayetokea Tanzania akifanya huduma zake Afrika Kusini.
Siku hiyo ilikuwa ibada ya wahitaji toka nchi mbalimbali za kigeni. Walikuwepo watu kutoka Zambia, Ghana, Africa...
Hello!
Mimi nachukia sana uchawi na ushirikina makazini, kwenye siasa, kwenye soka, vyuoni, na mahali popote pale.
Nimeona kakikundi cha watu leo asubuhi Dar es salaam wakifurahia wakisema mchezo umeisha baada ya mvua kunyesha.
Niwahakikishie, kama Mungu aishivyo uchawi wowote leo hautafanya...
Habari!
Mimi ni mwanafunzi wa Ordinary Diploma In Electrical Engineering, NTA Level 5 ( second year ). Taasisi: Dar es salaam Institute of Technology.
Nina maombi ya kujitolea kufanya kazi katika taasisi, kiwanda, ofisi au karakana yoyote inayohusiana na shughuli za umeme, mpaka mnamo tarehe 5...
Mungu wa Israel ana nguvu kuzidi hao wengine, sio mara ya kwanza amedhihirisha ukuu wake, kila ambaye hujaribu kuwafuta hufutwa yeye, hili tumelishuhudia juzi, magaidi walioingiwa mzuka wa maelekezo ya 'mungu' wao wa kuifuta Israel wamethubutu, kilichowakuta imebidi wakimbilie kulilia ICJ...
Kero kubwa iliyopo kwa saa ni kwamba serikali imeamua kuanzisha sera ya kutumia mfumo wa maombi ya ajira kuhusika katika maombi ya kazi za serikali kwa ngazi zote ikiwemo kazi za maafisa watendaji wa vijiji na kata zinazotangazwa na halmashauri.
Kero iliyopo katika mfumo wa maombi ya ajira wa...
kero kubwa iliyopo kwa saa ni kwamba serikali imeamua kuanzisha sera ya kutumia mfumo wa maombi ya ajira kuhusika katika maombi ya kazi za serikali kwa ngazi zote ikiwemo kazi za maafisa watendaji wa vijiji na kata zinazotangazwa na halmashauri.
Kero iliyopo katika mfumo wa maombi ya ajira wa...
Mwanadamu umeumbwa kwa mfano wa Mungu. Baadhi ya sifa za Mungu ni kufanya kazi. Tena kwa ufanisi na ubora, huu uwezo kila mtu ameumbwa nao maana kila mtu ameumbwa kwa mfano wa Mungu.
Watu wengi wanabagua kazi, na wengine kufanya kazi kwa uvivu bila morali ni kwa sababu wanafikiri dhumuni la...
Nimewaza sana leo!
Yaani watu kabisa wanamuomba Mungu kukemea Mvua isinyeshe! Kwamba mvua inaleta uharibifu!
Bahati mbaya kwenye hayo maombi kulikuwa na watu wazima, wazee hadi watoto wadogo!
Sikatai wao kufanya maombi! Lakini kinachonitisha ni hao watoto watakuwa na mentality ya kukemea vitu...
Habari, Naomba tujadili hili ni sawa?
Tarehe 3 January 2024 bodi ya mikopo ilitangaza kuongeza KOZI mpya tatu zitakazonufaika kwa mikopo diploma na kueleza kuwa maombi ya mikopo yataanza tokea siku hiyo. Katika taarifa hiyo Bodi ya mikopo HESLB haijataja deadline au siku ya kufunga dirisha la...
Sio kila unachokiomba, Sio kila kanisa linachokiomba Mungu ndio huwa anajibu. Mengine yanayokiuka kanuni za maombi hujibiwa na mashetani.
Mfano: Ile tabia ya kuombea watu wafe, wapigwe visukari,presha, wafirisike, wateseke, wasambaratike na kudhaliliika hata kama wamekukosea vipi, maombi haya...
1. Mungu wa Mwaposa nisaidie Makonda nisiwe na Kiherere.
2. Mungu wa Mwamposa nisaidie Makonda nisiwe Jeuri kwa Wakubwa zangu
3. Mungu wa Mwamposa nisaidie Makonda nikamwombe Radhi Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Warioba baada ya Kumpiga na Kumkata Mtama Kipopoma.
4. Mungu wa Mwamposa nisaidie...
Natumaini mu wazima.
Ni takribani week mbili sasa napokea sms katika mtandao wa whatsapp na namba ngeni tofauti tofauti nyingi zikiwa ni za pisi tofauti wakijitambulisha mimi ni flani tuko pamoja kwenye kundi flani naomba usevu namba yangu wakiuliza na wewe nikusevu nani. Kimsingi huwa sisevu...
Kama kisemavyo-kichwa cha habari hapo juu
Majukumu yake ni kama yafuatayo
Kuomba kwa mda mrefu na kwa mzigo kwa ajili ya kutatua changamoto za watu wengine
Kushauri beneficiary (wahitaji/wanaoombewa) kwenye changamoto zao wanazokutana nazo
Kushirikiana na beneficiary (wahitaji/wanaoombewa)...
Unaweza
1: KUOMBA UMESIMAMA NA KUNYOOSHA MIKONO JUU.
2: Kuomba umelala kitandani kama hujiwezi kama mfalme Hezekia.
3: Kulala chini kifudifudi au kulala kama Yesu gethsemane.
4: Kuomba umeketi kama daudi.
5: Kuomba ukiwa katikati ya watu umesimama kama Nehemia, walio na wewe wasijue kama...
Hii vita haishi leo wala kesho sisi Waswahili tuendelee na kilimo mvua zimeshaanza.
=====
Tangu shambulio la Oktoba 7, ambapo zaidi ya watu 1,400 waliuawa na wanamgambo wa Hamas, zaidi ya maombi 120,000 mapya ya leseni ya silaha yamewasilishwa na raia wa Israel.
Harakati za kupata bunduki...
Wakuu najua sisi wote tunapitia changamoto mbalimbali ila tunapofanya maombi na sala zetu naomba tusisahau kuyaombea makundi yafuatayo;
1. Wanawake wote waliobakiza krismasi chache za kusherehekea kabla ya kutimiza umri wa miaka 40 huku wakiwa hawaoni mwelekeo wowote wa kupata mume ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.