Karibuni tupeane Updates kuhusu nafasi za kazi zilizotangazwa TRA, tusaidiane jinsi ya kujaza form na kukamilisha maombi kwa pamoja.
Wasilisha hapa changamoto unayokutana nayo katika kufanya maombi yako, kisha wadau watakuja hapa kutoa msaada. karibuni sana
Shem kashtuka kama sister ana chat sana na mtu flani. Anahisi kama ni mchepuko wake. Sister angu mjeuri sana kuna kipindi huwa nasema hata mimi nsingeweza kumuwowa. Huwa natamani nimuwambe makofi. Sema basi tu. Maana mimi ni kaka yake.
Hapa home hakuna amani sister kuna siku kamtukana sana...
MBUNGE ESTHER MALLEKO AWASILISHA MAOMBI YA TEKNOLOJIA KWENYE KILIMO CHA NDIZI, KILIMANJARO
"Tanzania tunazalisha kahawa tani 80,000 kwa sasa, huko nyuma tulikuwa tunazalisha tani 61,000 za kahawa, tumepiga hatua. Lakini pia fedha za kigeni tunazoziingiza kupitia mauzo ya kahawa ni takriban dola...
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Balozi Dkt. Pindi Hazara Chana anayofuraha kuwajulisha Watanzania kuwa kikao cha Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika Kanda ya IV Nazi ya Mawaziri kimeichagua Tanzania kuwa Mako Makuu ya Sekretarieti ya Baraza hilo.
Aidha, wajumbe wa mkutano wameazimia...
Kwema Waungwana!
Leo nilikuwa kwenye interview kama mnavyojua kijana ni taifa la leo, na kijana ni nguvu kazi ya nchi. Nami nikasema nisibweteke mwishowe nisijeitwa majina mabaya. Acha nitafute kazi hata zile nilizoona hazihitaji Vyeti. Maana hizo za Vyeti kiukweli Ngoma ngumu, nimeomba mpaka...
Soma vizuri hasa huko chini kuna ujumbe wako.
Mungu husimamia neno lake. Mungu ni mwaminifu, hadanganyi wala hadanganywi.
Ukiomba kwake usipopata basi usikae kimya ukaanza kusema Mungu hajibu, sijui Mungu hufanya polepole au hata kusema kuwa Mungu hayupo. Muulize Mungu kwanini nimeomba kitu...
Tumechoka. Kila mwaka CAG anasoma hasara ambazo taifa linaingizwa kutokana na kodi za wananchi maskini hawa wanaoishi maisha magumu.
Viongozi wao wanatumia magari ya gharama kubwa ya kifahari. Wananchi hawana madawa hosp, hawapati matibabu bila kuwa na pesa. Shule hazina madawati, walimu...
Wakuuuu kwa anayeweza kutoa msaada au connection ya kazi ya udereva.
Namwombea baba yangu. Ana leseni class D, E, G ni mzoefu wa magari miaka mingi.
Mwenye connection au maelekezo naomba msaada nimtupie mzee taulo, shukrani.
Mwezi huu tangazo la nafasi za kazi lilitolewa na dirisha kufungiliwa. Nilichangamkia. Lakini Leo wakati tukielekea mwishoni mwa zoezi nimetembelea account yangu. Shule yenye ushindani mkubwa tupo 1500+ na nafasi inayotakiwa ni Moja!. Shule yenye ushindani mdogo tupo 200+ nafasi inayotakiwa ni...
Wanyama wanahasiwa Sana...
Hata binadamu pia ila me si shauri kabisa kwa binadamu maana hii hali inaweza ikakupelekea ukatamani uingiliwe maana wewe si unakuwa unataman ila huna uwezo wa kufanya hilo tendo.
Chunguzeni sana mashoga uenda hili Tatizo ndo linawakumba. Natoa taarifa.
Ndugu zangu ningeomba tutumie huu Uzi kutoa maoni Kwa kuwaomba TAMISEMI kuongeza Muda wa watanzania kutuma maombi ya Kazi za ualim na Afya.
Kwanza muda uliotolewa no siku ambazo sio Chini ya 20 na yawezekana wengi wasiombe na kukosa Fursa ya Kuajiriwa(Kwa wale watoto wa maskini) ambao hawana...
Tukiwaambia JPM aliharibu nchi nyie sukuma gang muwe mnaelewa. Chukumia mfano tu huu am ambapo JPM miaka yake yote haajiri Wala kupandisha madaraja lakini kila siku anatupiga fix eti tuko uchumi wa kati.
Sasa angalia madhara yake karundika magraduates mtaani kiasi ya kwamba mama anastrugle sana...
Mimi ni mmoja wa diaspora, nimeishi na kufanya kazi maeneo mengi tu nje ya nchi katika mataifa mbalimbali.
Nilianza kutembea nje ya nchi kupitia safari za maskauti ambazo zilitupeleka huko nje kuona maajabu ya ulimwengu.
Baadae nikaingia vyuoni na kisha kuanza kufanya kazi hukohuko nikizunguka...
Salam wakuu.kuna ndugu yangu amehitimu chuo cha ualimu kwa level ya shule za msingi miaka mitatu iliyopita na sasa kwa zaidi ya miaka miwili anajitolea kwenye shule fulani huo mkoani.
Changamoto iliyopo tangu ajira zimetangazwa mara ya kwanza na hata sasa ameshindwa kuomba kutokana na...
Kama waziri alivyotangaza nami naomba niseme nimechangamkia fulsa. Kwenye akaunti nilitakiwa kuweka barua na machaguo tu. Niwapongeze kwahili maana adha ya kuscan mavyeti Kila wakati imeondoka.
Kam nilivyosema hapo awali kuwa nimehitimu mwaka 2017 masomo history na Kiswahili na nimechoka kukaa...
MHE. TIMOTHEO MNZAVA ASHIRIKI MAOMBI YA KUOMBEA NCHI NA VONGOZI WAKE & KUMUOMBEA RAIS SAMIA
Mbunge Jimbo la Korogwe Vijijini Mhe. Timotheo Mnzava ameshiriki Wiki ya Sikukuu ya Pasaka kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali za Dini, Chama na Serikali huku akiungana na viongozi mbalimbali kuombea...
Tafadhali soma kwa umakini taarifa na mahitaji muhimu ya kuhama kabla hujaanza kufanya maombi ya uhamisho.
Tarehe ya mwisho ya kuomba uhamisho ni 30-04-2022.
Masharti na Sifa kwa Waombaji, Taarifa kwa Waombaji:
1. Mwanafunzi anashauriwa kuhakiki na kufahamu taarifa za msingi za chuo...
Tff fikiri, timu zetu zinaenda kimataifa, ambapo zikishinda Tanzania imeshinda na pia rank za vilabu kimataifa zinapanda.
Hivyo ili kuepusha majeruhi na uchovu tunaomba TFF mlifikirie hili, Yaani mmekaa mnanenepeana hamwangalii ratiba inavyovibana vilabu vyenu ila vikishinda mnakuwa wa kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.