Habarini Wakuu, Hatimaye Mama kaupiga mwingi tena.
Kwa Maelezo zaidi pitia pdf mimi nitagusia Vipaumbele tu.
6.0 MAENEO NA PROGRAMU ZA KIPAUMBELE KATIKA UTOAJI WA MIKOPO
6.1 Maeneo ya Kipaumbele
Mkopo utatolewa katika maeneo makuu sita yakiakisi vipaumbele vya Taifa
kama ilivyoainishwa katika...
Copy and Pasted
WARAKA WA MAOMBI YA KUPEWA FURSA YA KUJIENDELEZA KIELIMU KWA KOZI NYINGINE ZA AFYA KWA KUTUMIA CHETI CHA UHUDUMU WA AFYA NGAZI YA JAMII (COMMUNITY HEALTH WORKER).
Kwa Waziri wa afya
Katibu mkuu wizara ya Afya,
Mkurugenzi wa idara ya mafunzo wizara ya afya,
Kwanza kabisa...
Wakuu habari zenu?
Kuna nafasi kadhaa za kazi zimetangazwa na NSSF, naombeni msaada njia ya kutuma maombi ni kupitia posta ama kuna njia nyingine, maana naona kule ajira portal hazipo.
Ahsante in advance.
Kuna siri ya ushindi ukifanya maombi ya vita muda huu. Naingia vitani (maombi ya vita) kisha nakuja kutoa darasa kidogo. Nimerudi sasa.
Ulimwengu huu unatawaliwa na siri nyingi, na siri hizi ziko kwenye mfumo wa namba.
Namba 3,6,9 zina nguvu sana ya kufanya uumbaji wa jambo kimwili na kiroho...
Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuna changamoto ya Watumishi wanaoomba kuhama kushindwa kutekelezewa maombi yao pamoja na kutengenezewa mazingira ya rushwa, Ofisi ya Rais – TAMISEMI imesema imebainika kuwa wanaopewa fedha siyo Watumishi isipokuwa ni watu wengine wenye nia ovu katika...
Kuna kilio kikubwa sana sana kwa wachombaji wadogo maeneo ya songwe na chunya.
Kilio hiki kinasababishwa na watumishi wa tume ya madini kuomba maombi ya leseni ndogo za wachimbaji wadogo ndani ya maombi ya leseni iliyokwishwa kuombwa ili ukilipia ionyeshe aliyeomba awali alichelewa kuomba kwa...
Hii ndio orodha ya wanasiasa na viongozi ambao ninaamini kama akampokea mikoba Rais Samia basi nchi itasonga mbele Kwa Kasi sana:
1. Mzee.Abdulrahman Kinana
2. Prof. Palamagamba Kabudi
3. Dkt Bashiru Ali Kakurwa
4. Dkt. Hussein Mwinyi
5. PM Kassim Majaliwa
Nitarudi Kwa ajili ya Part 2...
Kwa heshima na taadhima, ninaandika kama mdau wa elimu nchini. Tangu kufunguliwa kwa dirisha la maombi ya mkopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu, waombaji wanashindwa kuwasilisha maombi yao kwa wakati. Wengi wanaishia hatua ya demographic information tu.
Wanapowasilisha (submit) hakuna mrejesho...
Wapendwa wana wa nchi! Kupitia viongozi wetu wa kiroho wa dini zote na madhehebu yote nchi nzima,kuchagua siku maalum ambayo itatuweka pamoja kwa ajili ya kumlilia Mungu aliyetujalia kuwa Tanzania na akatupa rasilimali hii muhimu ya bandari,ambayo watawala wasio na haya wameamua kutuuza na...
Msaada wa maombi ya mkopo wa elimu ya juu(HESLB) nilikuwa namuapplyia mkopo mdogo wangu sasa nimefika katika demograhic info nmejaza fomu vizur inalod tu ainipi murejesho naombeni msaada maana nimekwama siwezi endelea mbele.
Naam,
Siku moja Nabii Mussa (a.s) alimueleza MUNGU yakwamba; Ewe Mwenyezi MUNGU nina maombi nataka nikuombe.
Mungu akamjibu, omba ombi lako lolote Mussa, mimi nitakujibu.
Mussa akamueleza Mwenyezi Mungu
Ewe mwenyezi Mungu, ninakuomba hizi habari za kuwachoma watu kwenye moto siku ya mwisho...
MBUNGE CONDESTER SICHALWE ASHIRIKI IBADA KANISA LA MORAVIAN KIJIJI NTINGA KATA YA MSANGANO
Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe, Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe ameshiriki ibada katika Kanisa la Moravian lililopo Kijiji cha Ntinga Kata ya Msangano ambapo amesisitiza watumishi na...
1: Maombi yatakufanya uangalie mambo kama Mungu anavyoaangalia sio kama watu wa kawaida wanavyoona. Hivyo huamasisha uthubutu.
Mwanzo 18:14
Kuna neno gani lililo gumu la kumshinda BWANA?
2: Maombi yatabadilisha mtazamo wako juu ya ukubwa na ugumu wa lengo lako. Yatakufanya uone inawezekana...
1. Naomba katika Siti za Mabasi iwe ni Sheria kwa Abiria Kukaa kwa Jinsia tofauti.
Hapa namaanisha ikitokea GENTAMYCINE nasafiri nitapenda Abiria Mwenzangu awe ni Mrembo cocastic na siyo Dume lenzangu adriz
2. Tukiwa Safarini huku tukiwa tumekaa kwa Jinsia zetu tofauti naomba iwe ni Sheria...
Nchi ya Tanzania inapendwa na Mungu zaidi kuliko hata sisi Watanzania wenyewe. Tumebarikiwa kuwa na bendera yenye yenye rangi nne na kila rangi ina maana yake.
1. Kijani
2. Blue
3. Dhahabu/njano
4. Nyeusi
Tuiombee bendera yetu iendelee kupepea juu, ipande saa 12 asubuhi na ishuke saa 12 jioni...
Kwakweli mimi sio muombaji kifupi nimekata tamaa kabisa kwenda kwenye maombi ya aina yoyote kwasababu sioni matokeo ya wanao omba.
Matokeo yangekuwa ya kweli wala sina mengi ya kuomba zaidi ya fimbo pana na ndefu ili niweze kuchapa matatizo ya akina dada zetu wanaoteseka usiku na mchana...
Misungwi. Wakati mamlaka nchini Kenya kutambua makaburi waliozikwa waumini wa Mchungaji, Paul Mackenzie, Mkuu wa Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, Paulo Chacha ameibaini kuwepo kwa kanisa linaloendesha ibada tata.
Chacha amebaini kuwepo kanisa hilo juzi Juni 8,2023 katika Kijiji cha Nyamayinza...
Ngugu wana JF kama mnavyojua kesho ndio kesho, kama wabunge wataridhia mapendekezo ya Mkataba kati ya TZD na Dubai kuhusu ustawishaji wa bandari, maziwa etc. basi hiyo ndio rasilimali zetu hizo ndio hazitorudi tena mpaka mwisho wa ulimwengu huu.
Yaani miaka elfu moja baadae sisi tutakaojulikana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.